ZBC2 mechi mnazotuonesha ni "live" au "recorded?"

ZBC2 mechi mnazotuonesha ni "live" au "recorded?"

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,711
Reaction score
1,738
Kwanza nawapa hongera kwa kuanzisha channel nyingine ikiwa kusudio lake ni burudani, si haba kwa sie tunaokerwa na 'politiki' zetu uchwara tumefurahi. Kwa kuwa hakuna jema lisilo na kasoro basi kasoro yake ni kwenye kutuonesha mechi za soka bila kuonesha 'live' au 'recorded'. Ni sawa na kuangalia 'movies' kwenye Africa Magic channel! Hebu jaribuni kufanya mambo kama mmeenda shule kusoma si mmeenda shule kuhudhuria darasani tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom