ZBC waleta aibu Zanzibar!

Masikini ZBC imekufa kifo cha kujitakia kwa kujigeuza tv ya propaganda za ccm.
 
Tatizo kila kitu unahusisha na siasa. Vitu vingine ni technical. Suala hapa ni kusubiri maelezo kutoka chombo husika. Kuna siku hata mkeo atakunyima unyumba usingizie ccm kumbe yupo kwenye siku.

acha kutetea upumbavu,yani watanzania kama tulirogwa vile.
 
tatizo kila kitu unahusisha na siasa. Vitu vingine ni technical. Suala hapa ni kusubiri maelezo kutoka chombo husika. Kuna siku hata mkeo atakunyima unyumba usingizie ccm kumbe yupo kwenye siku.

hakuna lolote hii ccm tunaijua vizuri hata pale jangwani ikiwa ni vyama vingine vinataka kutumia uwanja wanaleta magumash......

Iondokeeeee
 
Tatizo kila kitu unahusisha na siasa. Vitu vingine ni technical. Suala hapa ni kusubiri maelezo kutoka chombo husika. Kuna siku hata mkeo atakunyima unyumba usingizie ccm kumbe yupo kwenye siku.

Wewe ni taahira chapa jogoo!
 
Maalim akiapishwa ataifanyia overhauling
 
Wewe ulikuwepo huko studioni kwao ukaona kama wamezima kusudi au ndo umetumwa na hao UKAWA? Acha kuongopea watu hapa ndani.
 
Wewe ulikuwepo huko studioni kwao ukaona kama wamezima kusudi au ndo umetumwa na hao UKAWA? Acha kuongopea watu hapa ndani.

We umetumwa na nani? Tabia yao iko hivyo sawa na TBC. Kujitoa fahamu hakujengi nchi, kunabomoa
 
Wewe ulikuwepo huko studioni kwao ukaona kama wamezima kusudi au ndo umetumwa na hao UKAWA? Acha kuongopea watu hapa ndani.

Wawe wamezima au hawakuzima makusudi hii ni juu yao na mitawi wao! Haina IMPACT yeyote maana CUF inajiuza wenyewe kwa wazanzibar wenye akili timamu na wala haihitaji kupigiwa kampeni kupitia kituo cha TV maskani!

Hivyo vitendo vya ZBC dhidi ya CUF havikuanza leo, we we na wao jiulizeni jee wamefanikiwa kuudhoofisha CUF!!????

KIZURI CHAJIUZA NA KIBAYA CHAJITEMBEZA.
 
Well said.
 
Watanzania tumechoka na mambo yao, hawajuhi kuwa ndiyo wanaongeza chuki kwa wazalendo?
 
Msihofu muda na.nyakati za majira zikifika awana chakufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…