mangonjoli
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 154
- 110
Ningependa kutoa uchungu wangu kuhusiana na kitendo cha Television ya Taifa ya Zanzibar ZBC zamani TVZ. Kuzima matangazo tokea mchana. Lakini chakushangaza mara baada ya mkutano wa kufungua kampeni Chama cha upinzani cha CUF kumalizika ghafla matangazo ya television hiyo yakarudi Ghafla. Lkn chakushangaza TV nyengine mwenza ya ZBC yaani ZBC2 Ilikuwa hewani muda wote ikionyesha mawaidha na baadae Film.
Je kuzimwa kwa matangazo kwa TV hii ya serikali ni kukwepa uzinduzi wa kampeni wa CUF? Kama ni kweli basi naweza kusema viongozi wa CUF ni dhaifu sana. Matatizo yapo makubwa lakini wamekaa kimyaa kama hakuna kilichotokea. Je Kwenye mkutano wa CCM pia ZBC watazima matangazo?
Ni kitu cha kusubiri na kuona.
Tatizo kila kitu unahusisha na siasa. Vitu vingine ni technical. Suala hapa ni kusubiri maelezo kutoka chombo husika. Kuna siku hata mkeo atakunyima unyumba usingizie ccm kumbe yupo kwenye siku.
Ningependa kutoa uchungu wangu kuhusiana na kitendo cha Television ya Taifa ya Zanzibar ZBC zamani TVZ. Kuzima matangazo tokea mchana. Lakini chakushangaza mara baada ya mkutano wa kufungua kampeni Chama cha upinzani cha CUF kumalizika ghafla matangazo ya television hiyo yakarudi Ghafla. Lkn chakushangaza TV nyengine mwenza ya ZBC yaani ZBC2 Ilikuwa hewani muda wote ikionyesha mawaidha na baadae Film.
Je kuzimwa kwa matangazo kwa TV hii ya serikali ni kukwepa uzinduzi wa kampeni wa CUF? Kama ni kweli basi naweza kusema viongozi wa CUF ni dhaifu sana. Matatizo yapo makubwa lakini wamekaa kimyaa kama hakuna kilichotokea. Je Kwenye mkutano wa CCM pia ZBC watazima matangazo?
Ni kitu cha kusubiri na kuona.
Ningependa kutoa uchungu wangu kuhusiana na kitendo cha Television ya Taifa ya Zanzibar ZBC zamani TVZ. Kuzima matangazo tokea mchana. Lakini chakushangaza mara baada ya mkutano wa kufungua kampeni Chama cha upinzani cha CUF kumalizika ghafla matangazo ya television hiyo yakarudi Ghafla. Lkn chakushangaza TV nyengine mwenza ya ZBC yaani ZBC2 Ilikuwa hewani muda wote ikionyesha mawaidha na baadae Film.
Je kuzimwa kwa matangazo kwa TV hii ya serikali ni kukwepa uzinduzi wa kampeni wa CUF? Kama ni kweli basi naweza kusema viongozi wa CUF ni dhaifu sana. Matatizo yapo makubwa lakini wamekaa kimyaa kama hakuna kilichotokea. Je Kwenye mkutano wa CCM pia ZBC watazima matangazo?
Ni kitu cha kusubiri na kuona.
Kama isingekuwa Star Tv kurusha mkutano ingekuwa aibu kubwaVyombo vyetu vya umma vinahitaji ukomboz, ili tuwe na fursa sawa ktk uwanja wa Democrasia hilo halina ubishi