min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,402
- 177,967
Kiazi weweUpo shallow kwel !!
Kiazi weweUpo shallow kwel !!
Kite doNaongezea tu; huyu nabii aliyeandika haya ulionukuu (nabii aliyetabiri haya ) aliishi miaka 750 BC, yaani alitabiri tukio la kupigwa na kudhalilishwa Yesu miaka 750 kabla Yesu mwenyewe hajaja; tafsiri yake ni kwamba, Kuzaliwa, kuishi na kufa kwa Yesu Kristo kulitabiriwa kabla hata hajaja and hence, alikuja kuyaishi na kumalizia mambo yaliokua kwenye road map already. Je? Mohammed nae kuna sehemu alitabiriwa atakavyo zaliwa, kukua kwake, kuupata utume wake na kwamba atakufa kwa sumu itakayowekwa kwenye chakula kilicho pikwa na mchepuko?gnu
😂nonsenseMuddy hakutabiriwa vituko vyake kama usemavyo, jamaa alikuwa ni firahuni tu aliyejipa madaraka kiholela.
Me sijui nambie mkuuNakuonea huruma tu, ujuwe sikushangai, naomba nikuulize ndugu yangu Muislam kwa jina la mbakaji Muddy. Hivi kibaka Muddy aliuwawa na nini? Vipi kuhusu ubakaji wake, uuwaji watu kiholela ili alale na wake zao, kubaka katoto Aisha, wizi wa chupi za wanawake, kulala na kuoa mtoto wa mwanaye, ni hisia hii, sema tu ulikuw hujuwi ukweli kuhusu Muddy.
Nonsensical brayingHii ni historia fupi ya ujasusi wa Kiyahudi toka nyakati za kale hadi mauaji ya Mtume wa Uislamu
Wayahudi, kama taifa lililopitia mateso na vita kwa karne nyingi, wamejijengea hifadhi kupitia sanaa ya kujipenyeza, kutumia akili kuliko nguvu, na kutegemea maarifa ya kivuli kuliko mapanga ya wazi. Tangu enzi za kale, walitumia ujasusi kama silaha ya kujilinda au kulipiza, na hilo linaonekana dhahiri katika maandiko ya kale. Daudi, mfalme wa Israeli, alipokuwa akiwakimbia maadui zake, alijipenyeza kwa ujanja kwa Wafilisti, akajifanya mkimbizi, lakini aliendelea kufanya mashambulizi ya siri kwa niaba ya Israeli (1 Samweli 27). Alikuwa mpiganaji, lakini pia jasusi mwenye akili ya kisiasa.
Mbinu hizo hazikukoma. Katika karne za hivi karibuni, Israel imeendeleza sanaa ya ujasusi kupitia Mossad, shirika ambalo limefanikiwa kufanya kile hata mataifa makubwa kama Marekani hushindwa. Katika Iran, walipenyeza ndani ya taasisi nyeti, wakajua ramani za kiwanda cha nyuklia, wakawaua wanasayansi wa ndani, wakapora mafaili ya siri, na kumwua kamanda Qassem Soleimani kwa drone. Hakika, huu ni muendelezo wa sanaa ya kivuli ambayo Wayahudi wameihifadhi kwa karne nyingi.
Viongozi wa Hamas, Hezbollah na wanamgambo wengine wameuawa kwa njia za kushangaza kwa sumu, risasi zisizoonekana, mashambulizi ya kimya kimya ambayo hata vyombo vya ulinzi vya hali ya juu hushindwa kuzuia. Operesheni za Israel zimekuwa na mafanikio ya ajabu kwa sababu ya uwezo wao wa kutumia watu wa kawaida, wa karibu, au wanawake kama silaha zisizotiliwa shaka.
Katika muktadha huo, tukio la Zaynab bint al-Harith linachukua nafasi ya kipekee. Mwanamke huyu wa Kiyahudi kutoka Khaybar alikuwa mjane wa mwanajeshi aliyeuawa na Waislamu. Baada ya kabila lake kushindwa, alipewa nafasi ya kupika chakula kwa Mtume Muhammad ﷺ. Hapa ndipo historia ilipoandikwa kwa ustadi wa kimyakimya.
Muhammad alikuwa mtu wa kawaida kwa mambo mengi, lakini alikuwa mtu wa totozi sana ,alipenda sana wanawake. Alioa wake wengi, na riwaya nyingi za Kiislamu zinaonyesha kuwa alipendelea sana wanawake warembo, vijana, na pia alijivunia kupenda wanawake.
Mapenzi haya ya dhati kwa wanawake na kupenda penda totozi, yalimweka katika mazingira yakuuliwa na Zaynab ambaye alitumia hulka hiyo ya asili ya Mtume ya kupenda penda wanawake, ovyo, kumlisha sumu.
Alipika kondoo, akahakikisha sehemu ya bega (sehemu aliyojua Mtume anaipenda zaidi) imewekwa sumu ya polepole. Mtume alipoanza kula, alitafuna na kusema
“Nyama hii inanieleza kuwa ina sumu.” Ilikuwa tayari ameimeza. Bishr ibn al-Bara’, sahaba aliyekula naye, alikufa papo hapo. Muhammad alinusurika kwa muda lakini alianza kuhisi maumivu ya ndani yaliyodumu hadi kifo chake.
Katika siku za mwisho za maisha yake, alisema wazi: “Ninahisi maumivu kutoka kwa chakula nilichokula Khaybar na sasa kinakata aorta yangu.” Hii ni kauli inayodhihirisha kuwa sumu hiyo ilifanya kazi kwa polepole lakini kwa uhakika.
Zaynab alipoulizwa kwa nini alifanya hivyo, alijibu kwa sauti ya kijasusi: “Nilitaka kuona kama ni kweli wewe ni Nabii; kama ni kweli, utaokolewa. Kama siyo, utakufa.”
Hakutumia panga. Hakupiga kelele. Alitumia zawadi chakula kilichopikwa kwa mikono ya mjane. Na kama ilivyo kwa mashambulizi ya Mossad leo, sumu yake haikuua mara moja — bali ilitenda kazi kimyakimya.
Kifo cha Muhammad si cha kawaida. Alifariki si kwa mapanga ya vita wala kwa mishale ya adui, bali kwa mikono ya mwanamke wa kawaida, aliyeficha kisasi katika upishi wake. Na alinaswa katika mazingira ya amani, ndani ya dhana ya ukarimu wa kijamii, chini ya kivuli cha mapenzi kwa wanawake.
Ujasusi wa Wayahudi haukuwa wa bunduki tu bali wa akili, upole, kujipenyeza na sumu. Kama walivyommaliza Soleimani kwa drone, walimmaliza Muhammad kwa nyama yenye sumu. Na historia ikajifunza kwamba silaha hatari zaidi, si upanga mkali bali tabasamu lililojaa hila.
Kuna vitu vya kujifunza ,tuache kupenda penda ovyo wanawake
Waislam bwana kwa kujifanya mataahira hawajambo, hivi mashoga (kina Aunty Muddy) waliojaa hapa mjini ni nani anawalawiti vyuoni (madrasat)? Oneni Muddy hapa akiwa anakwenda kumla kitukuu chake (Aisha).Unaona raha kuolewa na mchungaji mzungu
View attachment 3401794View attachment 3401796
Vicar to marry a black gay in a London church
Ni utaahira tu, mtu anajulikana kabisa ni mbakaji bado wanamuamini kama si utaahira ni nini?Hii husababisha nipate kichefu chefu cha kutaka kutapika, hivi watu ambao huabudu huyu mtu huwaza nini kwa kweli adriz Malaria 2 Webabu kimsboy THE BIG SHOW
Siko hapa kwa ajili ya kushindana bali kufungua watu macho, inaonekana ulikuwa hujuwi kuwa Muddy alikuwa mbakaji.Unaonekana kabisa akili yako ndogo,.. tufanye umeshinda.
Uko sahihi, hizi dini za kuletewa kwa kweli ni laana kwetu Waafrika, hazitufai hata kidogo.Waislamu Waktisto wote ni wale wale tena eti mtu anaamini Yesu yupo hai, ukimwambie nionyeshe anasema anaishi moyoni mwake si upumbavu huo, Yesu mwenye nguvu, lakini anaangalia tu watu wake wakifa kwa majanga, awakiishi kwa Shida kama wasiamini Acheni ujinga, Hakuna mwenye Uhakika.
Waliomuua yesu ni wayahudi ambao mpaka leo wanatuona wendawazimu tunaomuamini yesuHalafu akafufuka akapaa mbinguni
Yesu alijua atauwawa, na waliomuua ni warumi
Mwisho wa siku amefufuka ,kaburi ni tupu
Vipi mbona unataka kujiua, uamini kuwa Muddy alikuwa firahuni aliyezungukwa na watu wasio na akili mpaka kuwatawala? Wewe hapo ulipo unaweza kutomba mke wa mwanao na kusingizia Mungu kakupa? Au utombe katoto ka mfuasi wako Aisha? Kama huwezi na kuona uchafu kwanini Muddy nabii wako alifanya hivyo na bado unamsujudu, huoni kama ujinga? Pinga uongo usipinge ukweli.Kite do
😂nonsense
Anza na hizo fununu hapo juu kisha jiulize hivi ilikuwaje nabii wangu niliyekuwa namuamini siku zote kuwa mwizi wa chupi za watu, mbakaji, muongo? Jiulize tu kisha soma upate kujuwa ukweli wake Muddy wako.Me sijui nambie mkuu
Ilq kobazi akili zenu mnazijua wenyewe. Mudi kawalisha ujinga mwingiSawa Malkia Zumaridi tumekusikia, inaonesha hapa Jamii forum kuna kampeni maalum dhidi ya Uislamu, kila siku nyuzi mpya za kukashifu Mtume, lakini mtapata tabu sana kwa vile sisi Waislamu tunaujua ukweli .
Muhammad angekua sio Mtume angeshauawa kitambo tu asingechukua ata mwezi, wakati anahamia Madina alijificha kwenye pango ambalo Mungu aliliwekea utando tu wa buibui na makafiri walipoona utando wakadharau wakaondoka.
Hoja ya kusema alikua anapenda wanawake haina mashiko yoyote, Mtume mke wake wa mwanzo alikua Bi Khadija ambae alikua ni mtu mzima, na wanawake wote aliwaoa baada ya kufa Bi Khadija na wengi ni wajane ambao kwa kipindi hicho walikua ni wengi sana.
Hoja ya kusema Mayahudi wamebobea kwenye ujasusi nayo haina nguvu sote tunajua mayahudi wanavyopata msaada kutoka mataifa mbali mbali ambayo ni maadui wa Uislamu, lakini Mayahudi hawana maajabu yoyote ndio maana wanamgambo wa Hamas waliwapa kichapo cha mbwa koko Octoba 7, waliwakamata makamanda wao kama kuku, na mpaka leo wameshindwa kujua mateka wao wako wapi mbali ya kua wanasaidiwa na UENGEREZA NA MAREKANI
Ukiwa kafiri utakua na akili?
Mtume Muhammad hakuliwa kwa simu wacheni uwongo. Aliulizwa na malaika Gabriel kwamba Allah Amenituma Kwako Mtume Muhammad Nikuulize Unataka Kuondoka Ulimwengu huu au baki hapa kwa Sababu Mwenyezi Mungu Anakungoja wewe na Mtume akachagua Kuondoka.
Kumbuka, Uislamu unadumisha msimamo kuhusu kifo cha mitume.
Manabii wamechaguliwa na Mungu. Kwa hiyo wao ni wanadamu wasio na makosa, Mungu hatawahi kumdharau nabii wake, Kwa mfano, Yesu anafikiriwa kusulubiwa na Wakristo lakini Waislamu hawakufikiri hivyo hata siku moja. Kwa sababu kusulubiwa kwenyewe kulikuwa ni mauaji yasiyo na heshima. Kwa hiyo Waislamu hawaamini kusulubiwa kwake. Badala yake alipandishwa na ALLAH mbinguni.
Ukiwa kafiri utakua na akili?
Huna akili ndio maana unasema hivyo, umeona wapi kafiri akiwa na akili?Kwa hivyo kuwa na akili ni kuabudu mtu aliyeuawa kisa umalaya wake kwa mwanamke wa kiyahudi, kuwa na akili ni kuabudu mtu aliyekua anadinya katoto ka miaka tisa uchafu wote huo unasababisha kichefu chefu Cha kutaka kutapika
Huna akili ndio maana unasema hivyo, umeona wapi kafiri akiwa na akili?
Una mjua Shetani ? Je unajua kwa nini Mungu umtaja sana shetani ?unajua kwa nini Mungu anasema yeye yupo na kamtambulisha na shetani kwa wanadamu,... kuwa na shetani yupo? Hivyo hoja na logic yako ni mbovu kwa maana inaongea kinyume kana kwamba "MUNGU YUPO ILA SHETANI HAYUPO" je muislamu au mkristo asemaye Mungu yupo ila shetani hayupo, huyo muislamu au mkristo yupo sahihi ? Muhammad alikuwa anaongozwa na roho za shetani ibilisi na majini na alikuwa na majini na mwenyewe kasema kuwa majini yana mwongoza hivyo Muhammad ni mission mojawapo kubwa ya Ibilisi shetani, hivyo kufanikiwa kwake kusikushangaze wala miujiza aliyo fanya kwa kuwa Mungu aliye mtambulisha shetani alionya juu ya nguvu za huyo shetani pia.Sawa Malkia Zumaridi tumekusikia, inaonesha hapa Jamii forum kuna kampeni maalum dhidi ya Uislamu, kila siku nyuzi mpya za kukashifu Mtume, lakini mtapata tabu sana kwa vile sisi Waislamu tunaujua ukweli .
Muhammad angekua sio Mtume angeshauawa kitambo tu asingechukua ata mwezi, wakati anahamia Madina alijificha kwenye pango ambalo Mungu aliliwekea utando tu wa buibui na makafiri walipoona utando wakadharau wakaondoka.
Hoja ya kusema alikua anapenda wanawake haina mashiko yoyote, Mtume mke wake wa mwanzo alikua Bi Khadija ambae alikua ni mtu mzima, na wanawake wote aliwaoa baada ya kufa Bi Khadija na wengi ni wajane ambao kwa kipindi hicho walikua ni wengi sana.
Hoja ya kusema Mayahudi wamebobea kwenye ujasusi nayo haina nguvu sote tunajua mayahudi wanavyopata msaada kutoka mataifa mbali mbali ambayo ni maadui wa Uislamu, lakini Mayahudi hawana maajabu yoyote ndio maana wanamgambo wa Hamas waliwapa kichapo cha mbwa koko Octoba 7, waliwakamata makamanda wao kama kuku, na mpaka leo wameshindwa kujua mateka wao wako wapi mbali ya kua wanasaidiwa na UENGEREZA NA MAREKANI
Ni kweli yesu aliuliwa na watu wa torati tena viongozi wa dini ya torati siyo warumi aliuliwa na wana wa Israel wenzake 100% hapa hamis77 analeta uongo na ushabiki.Mrumi gani alietoa hukumu si alinawa mikono ila wayahudi ndio wakasema damu yake iwe mikononi mwao. So basically waliotaka auwawe ni wayahudi wenyewe, mrumi anakua mtekelezajitu.
Ni sawa na mtu atume majambazi alafu aseme yeye hakuua kisa alituma watu!!