Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 11,505
- 5,378
Alaf mkuu zayd alikuwa mtoto wa kufikia wa mtume na sio wa Damu.
Pili alimuoa baada ya kutalikiana Ana zayd lengo lilikuwa ni kufuta mila ya waarabu inayowakataza wanaume kuwaowa wake wa watoto wao wakufikia baada ya talaka
hao hawaulizi kwa kujifunza wanakazania ubishi , mimi nimewastukia zamani nawajibu kwa staili yao ya ubishi