Zaynab, jasusi wa Kiyahudi aliyemuua Mtume Muhammad

Hii ni historia fupi ya ujasusi wa Kiyahudi toka nyakati za kale hadi mauaji ya Mtume wa Uislamu

Wayahudi, kama taifa lililopitia mateso na vita kwa karne nyingi, wamejijengea hifadhi kupitia sanaa ya kujipenyeza, kutumia akili kuliko nguvu, na kutegemea maarifa ya kivuli kuliko mapanga ya wazi. Tangu enzi za kale, walitumia ujasusi kama silaha ya kujilinda au kulipiza, na hilo linaonekana dhahiri katika maandiko ya kale. Daudi, mfalme wa Israeli, alipokuwa akiwakimbia maadui zake, alijipenyeza kwa ujanja kwa Wafilisti, akajifanya mkimbizi, lakini aliendelea kufanya mashambulizi ya siri kwa niaba ya Israeli (1 Samweli 27). Alikuwa mpiganaji, lakini pia jasusi mwenye akili ya kisiasa.

Mbinu hizo hazikukoma. Katika karne za hivi karibuni, Israel imeendeleza sanaa ya ujasusi kupitia Mossad, shirika ambalo limefanikiwa kufanya kile hata mataifa makubwa kama Marekani hushindwa. Katika Iran, walipenyeza ndani ya taasisi nyeti, wakajua ramani za kiwanda cha nyuklia, wakawaua wanasayansi wa ndani, wakapora mafaili ya siri, na kumwua kamanda Qassem Soleimani kwa drone. Hakika, huu ni muendelezo wa sanaa ya kivuli ambayo Wayahudi wameihifadhi kwa karne nyingi.

Viongozi wa Hamas, Hezbollah na wanamgambo wengine wameuawa kwa njia za kushangaza kwa sumu, risasi zisizoonekana, mashambulizi ya kimya kimya ambayo hata vyombo vya ulinzi vya hali ya juu hushindwa kuzuia. Operesheni za Israel zimekuwa na mafanikio ya ajabu kwa sababu ya uwezo wao wa kutumia watu wa kawaida, wa karibu, au wanawake kama silaha zisizotiliwa shaka.

Katika muktadha huo, tukio la Zaynab bint al-Harith linachukua nafasi ya kipekee. Mwanamke huyu wa Kiyahudi kutoka Khaybar alikuwa mjane wa mwanajeshi aliyeuawa na Waislamu. Baada ya kabila lake kushindwa, alipewa nafasi ya kupika chakula kwa Mtume Muhammad ﷺ. Hapa ndipo historia ilipoandikwa kwa ustadi wa kimyakimya.

Muhammad alikuwa mtu wa kawaida kwa mambo mengi, lakini alikuwa mtu wa totozi sana ,alipenda sana wanawake. Alioa wake wengi, na riwaya nyingi za Kiislamu zinaonyesha kuwa alipendelea sana wanawake warembo, vijana, na pia alijivunia kupenda wanawake.

Mapenzi haya ya dhati kwa wanawake na kupenda penda totozi, yalimweka katika mazingira yakuuliwa na Zaynab ambaye alitumia hulka hiyo ya asili ya Mtume ya kupenda penda wanawake, ovyo, kumlisha sumu.

Alipika kondoo, akahakikisha sehemu ya bega (sehemu aliyojua Mtume anaipenda zaidi) imewekwa sumu ya polepole. Mtume alipoanza kula, alitafuna na kusema

“Nyama hii inanieleza kuwa ina sumu.” Ilikuwa tayari ameimeza. Bishr ibn al-Bara’, sahaba aliyekula naye, alikufa papo hapo. Muhammad alinusurika kwa muda lakini alianza kuhisi maumivu ya ndani yaliyodumu hadi kifo chake.

Katika siku za mwisho za maisha yake, alisema wazi: “Ninahisi maumivu kutoka kwa chakula nilichokula Khaybar na sasa kinakata aorta yangu.” Hii ni kauli inayodhihirisha kuwa sumu hiyo ilifanya kazi kwa polepole lakini kwa uhakika.

Zaynab alipoulizwa kwa nini alifanya hivyo, alijibu kwa sauti ya kijasusi: “Nilitaka kuona kama ni kweli wewe ni Nabii; kama ni kweli, utaokolewa. Kama siyo, utakufa.”

Hakutumia panga. Hakupiga kelele. Alitumia zawadi chakula kilichopikwa kwa mikono ya mjane. Na kama ilivyo kwa mashambulizi ya Mossad leo, sumu yake haikuua mara moja — bali ilitenda kazi kimyakimya.

Kifo cha Muhammad si cha kawaida. Alifariki si kwa mapanga ya vita wala kwa mishale ya adui, bali kwa mikono ya mwanamke wa kawaida, aliyeficha kisasi katika upishi wake. Na alinaswa katika mazingira ya amani, ndani ya dhana ya ukarimu wa kijamii, chini ya kivuli cha mapenzi kwa wanawake.

Ujasusi wa Wayahudi haukuwa wa bunduki tu bali wa akili, upole, kujipenyeza na sumu. Kama walivyommaliza Soleimani kwa drone, walimmaliza Muhammad kwa nyama yenye sumu. Na historia ikajifunza kwamba silaha hatari zaidi, si upanga mkali bali tabasamu lililojaa hila.

Kuna vitu vya kujifunza ,tuache kupenda penda ovyo wanawake
"Kuna vitu vya kujifunza , tuache kupenda penda ovyo wanawake."

Mkuu, hapa unapotosha watu. Kumbuka Muddy alikuwa mbakaji, muuwaji na mroho mno. Kila alipovamia vijiji vya watu alikuwa anaua wanaume na kubaka wake zao kisha alilazimisha kupikiwa vyakula yeye na wafuasi (wanajeshi) wake. Watu wengi haswa wanawake walimchukia sana Muddy na ndiyo maana hawakuona shida kumuua adui yao aliyekuwa anaua waume zao. Nawaunga mkono wanawake wanaoua vibaka kama Muddy, wanastahili pongezi kwa kweli.
 
Niliwai kuwaambia waislamu hapa kuwa Muhammad kauliwa na mwanamke wakabisha na niliwaambia kuwa Muhammad kapewa utume na myahudi mganga wa kienyeji wakabisha
Waislam wengi hawaelewi undani wa uislam wala Muddy mwenyewe, wao wanaamini tu kwa kuwa wameaminishwa upuuzi na kuhisi kuwa ukweli na ndiyo maana ukiwaambia ukweli kuwafungua macho wanalia na wengine wanadiriki kabisa kukuambia watakusomea albaidiri kwa kuwafungua macho na akili, ni kama hawataki kujuwa ukweli vile.
 
Nikama wakristo wengi nao wanaenda makanisani ila awajui maandiko miaka na miaka sasa najiuliza wana abudu mungu gani huku ujui alicho kisema mungu? Ndivyo walivyo waislamu wanaenda misikitini kama misukule tu kufanya ibada bila ya kujua icho wanacho kiabudu kimesemaje
 
Halafu akafufuka akapaa mbinguni

Yesu alijua atauwawa, na waliomuua ni warumi

Mwisho wa siku amefufuka ,kaburi ni tupu
Dunia nzima inajua yesu aliuawa akatundikwa masalabani kama paka na kuvalishwa boksa.
 
kwanza kabisa Quran 69:44-46 ni uthibitisho kwa utume wa nabii Muhammad kwani hakuna chochote kati ya haya kilichotokea kupitia mahubiri yake ya Uislamu.

pili, Nabii hakufa kwa sumu hiyo ... mara moja mwanamke wa Kiyahudi alimtolea nabii nyama ya kondoo, lakini alitumia sumu kali sana ili aweze kumtia nabii sumu. nabii alikufa miaka 3 baadaye baada ya tukio hilo

tatu Hadith hapa inatumia lugha ya sitiari pale mtume aliposema “ kana kwamba aota yangu imekatwa” ,, kwa hiyo sio kwamba mshipa wa aorta umekatwa badala yake anaeleza hisia zake ni kama kusema “ninahisi kama tumbo langu linakatwa” ambao ni usemi unaotumika sana kwa Kiarabu .. ni usemi wa maumivu na kile kilichotokea miaka iliyopita

kwa hivyo kuchukua maneno kama hayo kama maelezo halisi ni ujinga

na dai hili ni jaribio la kukata tamaa kutoka kwa wamisionari wa Kikristo ili kuhalalisha imani yao, wanapaswa kuzingatia mungu wao ambaye tayari alikuwa amedhalilishwa uchi aliyepigwa msalabani.
ACHA UPOTOSHAJI ndugu
 
Hahahaaa! Eti masia anapigika namna ile upuuzi mtupu
Isaya 53
4 Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa.

5 Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

6 Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na Bwana ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote.

7 Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake.

8 Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa; Na maisha yake ni nani atakayeisimulia? Maana amekatiliwa mbali na nchi ya walio hai; Alipigwa kwa sababu ya makosa ya watu wangu.

9 Wakamfanyia kaburi pamoja na wabaya; Na pamoja na matajiri katika kufa kwake; Ingawa hakutenda jeuri, Wala hapakuwa na hila kinywani mwake.
 
Hii ni historia fupi ya ujasusi wa Kiyahudi toka nyakati za kale hadi mauaji ya Mtume wa Uislamu

Wayahudi, kama taifa lililopitia mateso na vita kwa karne nyingi, wamejijengea hifadhi kupitia sanaa ya kujipenyeza, kutumia akili kuliko nguvu, na kutegemea maarifa ya kivuli kuliko mapanga ya wazi. Tangu enzi za kale, walitumia ujasusi kama silaha ya kujilinda au kulipiza, na hilo linaonekana dhahiri katika maandiko ya kale. Daudi, mfalme wa Israeli, alipokuwa akiwakimbia maadui zake, alijipenyeza kwa ujanja kwa Wafilisti, akajifanya mkimbizi, lakini aliendelea kufanya mashambulizi ya siri kwa niaba ya Israeli (1 Samweli 27). Alikuwa mpiganaji, lakini pia jasusi mwenye akili ya kisiasa.

Mbinu hizo hazikukoma. Katika karne za hivi karibuni, Israel imeendeleza sanaa ya ujasusi kupitia Mossad, shirika ambalo limefanikiwa kufanya kile hata mataifa makubwa kama Marekani hushindwa. Katika Iran, walipenyeza ndani ya taasisi nyeti, wakajua ramani za kiwanda cha nyuklia, wakawaua wanasayansi wa ndani, wakapora mafaili ya siri, na kumwua kamanda Qassem Soleimani kwa drone. Hakika, huu ni muendelezo wa sanaa ya kivuli ambayo Wayahudi wameihifadhi kwa karne nyingi.

Viongozi wa Hamas, Hezbollah na wanamgambo wengine wameuawa kwa njia za kushangaza kwa sumu, risasi zisizoonekana, mashambulizi ya kimya kimya ambayo hata vyombo vya ulinzi vya hali ya juu hushindwa kuzuia. Operesheni za Israel zimekuwa na mafanikio ya ajabu kwa sababu ya uwezo wao wa kutumia watu wa kawaida, wa karibu, au wanawake kama silaha zisizotiliwa shaka.

Katika muktadha huo, tukio la Zaynab bint al-Harith linachukua nafasi ya kipekee. Mwanamke huyu wa Kiyahudi kutoka Khaybar alikuwa mjane wa mwanajeshi aliyeuawa na Waislamu. Baada ya kabila lake kushindwa, alipewa nafasi ya kupika chakula kwa Mtume Muhammad ﷺ. Hapa ndipo historia ilipoandikwa kwa ustadi wa kimyakimya.

Muhammad alikuwa mtu wa kawaida kwa mambo mengi, lakini alikuwa mtu wa totozi sana ,alipenda sana wanawake. Alioa wake wengi, na riwaya nyingi za Kiislamu zinaonyesha kuwa alipendelea sana wanawake warembo, vijana, na pia alijivunia kupenda wanawake.

Mapenzi haya ya dhati kwa wanawake na kupenda penda totozi, yalimweka katika mazingira yakuuliwa na Zaynab ambaye alitumia hulka hiyo ya asili ya Mtume ya kupenda penda wanawake, ovyo, kumlisha sumu.

Alipika kondoo, akahakikisha sehemu ya bega (sehemu aliyojua Mtume anaipenda zaidi) imewekwa sumu ya polepole. Mtume alipoanza kula, alitafuna na kusema

“Nyama hii inanieleza kuwa ina sumu.” Ilikuwa tayari ameimeza. Bishr ibn al-Bara’, sahaba aliyekula naye, alikufa papo hapo. Muhammad alinusurika kwa muda lakini alianza kuhisi maumivu ya ndani yaliyodumu hadi kifo chake.

Katika siku za mwisho za maisha yake, alisema wazi: “Ninahisi maumivu kutoka kwa chakula nilichokula Khaybar na sasa kinakata aorta yangu.” Hii ni kauli inayodhihirisha kuwa sumu hiyo ilifanya kazi kwa polepole lakini kwa uhakika.

Zaynab alipoulizwa kwa nini alifanya hivyo, alijibu kwa sauti ya kijasusi: “Nilitaka kuona kama ni kweli wewe ni Nabii; kama ni kweli, utaokolewa. Kama siyo, utakufa.”

Hakutumia panga. Hakupiga kelele. Alitumia zawadi chakula kilichopikwa kwa mikono ya mjane. Na kama ilivyo kwa mashambulizi ya Mossad leo, sumu yake haikuua mara moja — bali ilitenda kazi kimyakimya.

Kifo cha Muhammad si cha kawaida. Alifariki si kwa mapanga ya vita wala kwa mishale ya adui, bali kwa mikono ya mwanamke wa kawaida, aliyeficha kisasi katika upishi wake. Na alinaswa katika mazingira ya amani, ndani ya dhana ya ukarimu wa kijamii, chini ya kivuli cha mapenzi kwa wanawake.

Ujasusi wa Wayahudi haukuwa wa bunduki tu bali wa akili, upole, kujipenyeza na sumu. Kama walivyommaliza Soleimani kwa drone, walimmaliza Muhammad kwa nyama yenye sumu. Na historia ikajifunza kwamba silaha hatari zaidi, si upanga mkali bali tabasamu lililojaa hila.

Kuna vitu vya kujifunza ,tuache kupenda penda ovyo wanawake
Sawa Malkia Zumaridi tumekusikia, inaonesha hapa Jamii forum kuna kampeni maalum dhidi ya Uislamu, kila siku nyuzi mpya za kukashifu Mtume, lakini mtapata tabu sana kwa vile sisi Waislamu tunaujua ukweli .

Muhammad angekua sio Mtume angeshauawa kitambo tu asingechukua ata mwezi, wakati anahamia Madina alijificha kwenye pango ambalo Mungu aliliwekea utando tu wa buibui na makafiri walipoona utando wakadharau wakaondoka.

Hoja ya kusema alikua anapenda wanawake haina mashiko yoyote, Mtume mke wake wa mwanzo alikua Bi Khadija ambae alikua ni mtu mzima, na wanawake wote aliwaoa baada ya kufa Bi Khadija na wengi ni wajane ambao kwa kipindi hicho walikua ni wengi sana.

Hoja ya kusema Mayahudi wamebobea kwenye ujasusi nayo haina nguvu sote tunajua mayahudi wanavyopata msaada kutoka mataifa mbali mbali ambayo ni maadui wa Uislamu, lakini Mayahudi hawana maajabu yoyote ndio maana wanamgambo wa Hamas waliwapa kichapo cha mbwa koko Octoba 7, waliwakamata makamanda wao kama kuku, na mpaka leo wameshindwa kujua mateka wao wako wapi mbali ya kua wanasaidiwa na UENGEREZA NA MAREKANI
 
Waislamu wengi hawajua chanzo cha kifo cha mtume wao .
 
Hii ni historia fupi ya ujasusi wa Kiyahudi toka nyakati za kale hadi mauaji ya Mtume wa Uislamu

Wayahudi, kama taifa lililopitia mateso na vita kwa karne nyingi, wamejijengea hifadhi kupitia sanaa ya kujipenyeza, kutumia akili kuliko nguvu, na kutegemea maarifa ya kivuli kuliko mapanga ya wazi. Tangu enzi za kale, walitumia ujasusi kama silaha ya kujilinda au kulipiza, na hilo linaonekana dhahiri katika maandiko ya kale. Daudi, mfalme wa Israeli, alipokuwa akiwakimbia maadui zake, alijipenyeza kwa ujanja kwa Wafilisti, akajifanya mkimbizi, lakini aliendelea kufanya mashambulizi ya siri kwa niaba ya Israeli (1 Samweli 27). Alikuwa mpiganaji, lakini pia jasusi mwenye akili ya kisiasa.

Mbinu hizo hazikukoma. Katika karne za hivi karibuni, Israel imeendeleza sanaa ya ujasusi kupitia Mossad, shirika ambalo limefanikiwa kufanya kile hata mataifa makubwa kama Marekani hushindwa. Katika Iran, walipenyeza ndani ya taasisi nyeti, wakajua ramani za kiwanda cha nyuklia, wakawaua wanasayansi wa ndani, wakapora mafaili ya siri, na kumwua kamanda Qassem Soleimani kwa drone. Hakika, huu ni muendelezo wa sanaa ya kivuli ambayo Wayahudi wameihifadhi kwa karne nyingi.

Viongozi wa Hamas, Hezbollah na wanamgambo wengine wameuawa kwa njia za kushangaza kwa sumu, risasi zisizoonekana, mashambulizi ya kimya kimya ambayo hata vyombo vya ulinzi vya hali ya juu hushindwa kuzuia. Operesheni za Israel zimekuwa na mafanikio ya ajabu kwa sababu ya uwezo wao wa kutumia watu wa kawaida, wa karibu, au wanawake kama silaha zisizotiliwa shaka.

Katika muktadha huo, tukio la Zaynab bint al-Harith linachukua nafasi ya kipekee. Mwanamke huyu wa Kiyahudi kutoka Khaybar alikuwa mjane wa mwanajeshi aliyeuawa na Waislamu. Baada ya kabila lake kushindwa, alipewa nafasi ya kupika chakula kwa Mtume Muhammad ﷺ. Hapa ndipo historia ilipoandikwa kwa ustadi wa kimyakimya.

Muhammad alikuwa mtu wa kawaida kwa mambo mengi, lakini alikuwa mtu wa totozi sana ,alipenda sana wanawake. Alioa wake wengi, na riwaya nyingi za Kiislamu zinaonyesha kuwa alipendelea sana wanawake warembo, vijana, na pia alijivunia kupenda wanawake.

Mapenzi haya ya dhati kwa wanawake na kupenda penda totozi, yalimweka katika mazingira yakuuliwa na Zaynab ambaye alitumia hulka hiyo ya asili ya Mtume ya kupenda penda wanawake, ovyo, kumlisha sumu.

Alipika kondoo, akahakikisha sehemu ya bega (sehemu aliyojua Mtume anaipenda zaidi) imewekwa sumu ya polepole. Mtume alipoanza kula, alitafuna na kusema

“Nyama hii inanieleza kuwa ina sumu.” Ilikuwa tayari ameimeza. Bishr ibn al-Bara’, sahaba aliyekula naye, alikufa papo hapo. Muhammad alinusurika kwa muda lakini alianza kuhisi maumivu ya ndani yaliyodumu hadi kifo chake.

Katika siku za mwisho za maisha yake, alisema wazi: “Ninahisi maumivu kutoka kwa chakula nilichokula Khaybar na sasa kinakata aorta yangu.” Hii ni kauli inayodhihirisha kuwa sumu hiyo ilifanya kazi kwa polepole lakini kwa uhakika.

Zaynab alipoulizwa kwa nini alifanya hivyo, alijibu kwa sauti ya kijasusi: “Nilitaka kuona kama ni kweli wewe ni Nabii; kama ni kweli, utaokolewa. Kama siyo, utakufa.”

Hakutumia panga. Hakupiga kelele. Alitumia zawadi chakula kilichopikwa kwa mikono ya mjane. Na kama ilivyo kwa mashambulizi ya Mossad leo, sumu yake haikuua mara moja — bali ilitenda kazi kimyakimya.

Kifo cha Muhammad si cha kawaida. Alifariki si kwa mapanga ya vita wala kwa mishale ya adui, bali kwa mikono ya mwanamke wa kawaida, aliyeficha kisasi katika upishi wake. Na alinaswa katika mazingira ya amani, ndani ya dhana ya ukarimu wa kijamii, chini ya kivuli cha mapenzi kwa wanawake.

Ujasusi wa Wayahudi haukuwa wa bunduki tu bali wa akili, upole, kujipenyeza na sumu. Kama walivyommaliza Soleimani kwa drone, walimmaliza Muhammad kwa nyama yenye sumu. Na historia ikajifunza kwamba silaha hatari zaidi, si upanga mkali bali tabasamu lililojaa hila.

Kuna vitu vya kujifunza ,tuache kupenda penda ovyo wanawake
Lengo lako ni kuchokoza uone watasemaje vipenzi wa mtume Muhammad, ngoja tukuache ulivyo.
 
Angalia usijechinjwa na jambia weye. Huogopi? Wavaa kobazi ni wakali ukimzungumzia mudi in a negative-fashion.
 
Sisi Waislamu hatuwezi kuhamaki mtume kufa kwa sababu yoyote ile. Akifa kwenye uwanja wa vita, kafa shahidi
Akifa kwa kuwekewa sumu, pia kafa shahidi.
Akifa kwa maradhi ya kawaida basi hivyo ndivyo alivyopanga Mwenyezi Mungu.

Je Jasusi wa Kiyahudi anapata ujiko kwa kumuwekea sumu mtume, hapana hapati ujiko bali inathibitisha lile neno la "HUWA WANAUA MANABII".
 
Hii ni historia fupi ya ujasusi wa Kiyahudi toka nyakati za kale hadi mauaji ya Mtume wa Uislamu

Wayahudi, kama taifa lililopitia mateso na vita kwa karne nyingi, wamejijengea hifadhi kupitia sanaa ya kujipenyeza, kutumia akili kuliko nguvu, na kutegemea maarifa ya kivuli kuliko mapanga ya wazi. Tangu enzi za kale, walitumia ujasusi kama silaha ya kujilinda au kulipiza, na hilo linaonekana dhahiri katika maandiko ya kale. Daudi, mfalme wa Israeli, alipokuwa akiwakimbia maadui zake, alijipenyeza kwa ujanja kwa Wafilisti, akajifanya mkimbizi, lakini aliendelea kufanya mashambulizi ya siri kwa niaba ya Israeli (1 Samweli 27). Alikuwa mpiganaji, lakini pia jasusi mwenye akili ya kisiasa.

Mbinu hizo hazikukoma. Katika karne za hivi karibuni, Israel imeendeleza sanaa ya ujasusi kupitia Mossad, shirika ambalo limefanikiwa kufanya kile hata mataifa makubwa kama Marekani hushindwa. Katika Iran, walipenyeza ndani ya taasisi nyeti, wakajua ramani za kiwanda cha nyuklia, wakawaua wanasayansi wa ndani, wakapora mafaili ya siri, na kumwua kamanda Qassem Soleimani kwa drone. Hakika, huu ni muendelezo wa sanaa ya kivuli ambayo Wayahudi wameihifadhi kwa karne nyingi.

Viongozi wa Hamas, Hezbollah na wanamgambo wengine wameuawa kwa njia za kushangaza kwa sumu, risasi zisizoonekana, mashambulizi ya kimya kimya ambayo hata vyombo vya ulinzi vya hali ya juu hushindwa kuzuia. Operesheni za Israel zimekuwa na mafanikio ya ajabu kwa sababu ya uwezo wao wa kutumia watu wa kawaida, wa karibu, au wanawake kama silaha zisizotiliwa shaka.

Katika muktadha huo, tukio la Zaynab bint al-Harith linachukua nafasi ya kipekee. Mwanamke huyu wa Kiyahudi kutoka Khaybar alikuwa mjane wa mwanajeshi aliyeuawa na Waislamu. Baada ya kabila lake kushindwa, alipewa nafasi ya kupika chakula kwa Mtume Muhammad ﷺ. Hapa ndipo historia ilipoandikwa kwa ustadi wa kimyakimya.

Muhammad alikuwa mtu wa kawaida kwa mambo mengi, lakini alikuwa mtu wa totozi sana ,alipenda sana wanawake. Alioa wake wengi, na riwaya nyingi za Kiislamu zinaonyesha kuwa alipendelea sana wanawake warembo, vijana, na pia alijivunia kupenda wanawake.

Mapenzi haya ya dhati kwa wanawake na kupenda penda totozi, yalimweka katika mazingira yakuuliwa na Zaynab ambaye alitumia hulka hiyo ya asili ya Mtume ya kupenda penda wanawake, ovyo, kumlisha sumu.

Alipika kondoo, akahakikisha sehemu ya bega (sehemu aliyojua Mtume anaipenda zaidi) imewekwa sumu ya polepole. Mtume alipoanza kula, alitafuna na kusema

“Nyama hii inanieleza kuwa ina sumu.” Ilikuwa tayari ameimeza. Bishr ibn al-Bara’, sahaba aliyekula naye, alikufa papo hapo. Muhammad alinusurika kwa muda lakini alianza kuhisi maumivu ya ndani yaliyodumu hadi kifo chake.

Katika siku za mwisho za maisha yake, alisema wazi: “Ninahisi maumivu kutoka kwa chakula nilichokula Khaybar na sasa kinakata aorta yangu.” Hii ni kauli inayodhihirisha kuwa sumu hiyo ilifanya kazi kwa polepole lakini kwa uhakika.

Zaynab alipoulizwa kwa nini alifanya hivyo, alijibu kwa sauti ya kijasusi: “Nilitaka kuona kama ni kweli wewe ni Nabii; kama ni kweli, utaokolewa. Kama siyo, utakufa.”

Hakutumia panga. Hakupiga kelele. Alitumia zawadi chakula kilichopikwa kwa mikono ya mjane. Na kama ilivyo kwa mashambulizi ya Mossad leo, sumu yake haikuua mara moja — bali ilitenda kazi kimyakimya.

Kifo cha Muhammad si cha kawaida. Alifariki si kwa mapanga ya vita wala kwa mishale ya adui, bali kwa mikono ya mwanamke wa kawaida, aliyeficha kisasi katika upishi wake. Na alinaswa katika mazingira ya amani, ndani ya dhana ya ukarimu wa kijamii, chini ya kivuli cha mapenzi kwa wanawake.

Ujasusi wa Wayahudi haukuwa wa bunduki tu bali wa akili, upole, kujipenyeza na sumu. Kama walivyommaliza Soleimani kwa drone, walimmaliza Muhammad kwa nyama yenye sumu. Na historia ikajifunza kwamba silaha hatari zaidi, si upanga mkali bali tabasamu lililojaa hila.

Kuna vitu vya kujifunza ,tuache kupenda penda ovyo wanawake
hayo matango pori uliyolishwa huko kwenye taasisi yenu ya dini basi yameharibika.

Munatunga hadithi za uongo halafu munazieneza kwa manufaa ya nani?
 
Back
Top Bottom