650
JF-Expert Member
- Jun 6, 2024
- 298
- 403
Koo yule swahaba mwengine alikufa na nini ?Sumu iliwekwa kwenye bega tu ,Soma Hadith zenu taratibu
Koo yule swahaba mwengine alikufa na nini ?Sumu iliwekwa kwenye bega tu ,Soma Hadith zenu taratibu
Kwahyo Hadi Babu zetu huku AFRIKA walihusika? Embu fafanua hapaHata hivyo, kwa mtazamo wa kiroho, si Wayahudi wala Warumi pekee waliohusika bali ni sisi wanadamu wote.
Dhambi zetu ndizo zilizosababisha Yesu afe msalabani. Alikufa kwa ajili yetu, ili atuokoe.
Kama Biblia inavyosema,
“Alijeruhiwa kwa makosa yetu, alichubuka kwa maovu yetu” (Isaya 53:5).
Kwa hiyo, mwisho wa siku, waliomuua Yesu si tu Warumi au Wayahudi bali ni sisi wadhambi, ambao alikuja kutukomboa.
Hadithi hizo hapo juu.Sahih al-Bukhari (Hadith No. 4428)
Riwaya ya Aisha (r.a):
"Mtume wa Mwenyezi Mungu alisema wakati wa ugonjwa wa kifo chake: 'Nilihisi maumivu kutoka kwa chakula nilichokula huko Khaybar. Na sasa nahisi mshipa wangu wa damu unakatika kwa sababu ya sumu hiyo.'"
Chanzo: Sahih al-Bukhari, Juzuu ya 5, Kitabu cha Magonjwa, Hadith 4428.
Sunan Abu Dawud (Hadith No. 4512)
Riwaya ya Ibn Mas'ud:
"Mwanamke Myahudi alileta mbuzi aliyekuwa na sumu, na Mtume wa Mwenyezi Mungu akala sehemu yake... Alipoambiwa ni mwenye sumu, alisema: 'Mwenyezi Mungu hatamruhusu kuniua, lakini ikiwa nitakufa basi muue huyo mwanamke.'"
Chanzo: Sunan Abu Dawud, Kitabu cha Chakula, Hadith 4512. Imesahihishwa na Al-Albani.
Sunan Ibn Majah (Hadith No. 1622)
Riwaya ya Anas bin Malik:
"Mwanamke Myahudi alimletea Mtume mbuzi aliyekuwa na sumu, naye akala. Mtume akasema: 'Mkutaneni na huyu mwanamke.' Akamuuliza kwa nini alifanya hivyo. Mwanamke akasema: 'Nilitaka kuona kama wewe ni Nabii, basi sumu haitakuathiri. Lakini kama siyo, basi nitakuwa nimekuua.'”
Chanzo: Sunan Ibn Majah, Kitabu cha Tiba.
Musnad Ahmad bin Hanbal (Riwaya ya Ibn Abbas):
"Mtume wa Mwenyezi Mungu alisema: 'Wakati wa ugonjwa wangu wa mwisho, nilihisi maumivu kutokana na kipande cha chakula kilichokuwa na sumu nilichokula huko Khaybar.’”
Ufafanuzi wa Wanazuoni wa Hadith:
Wanazuoni wengi wa hadith wanasema athari ya sumu hiyo ilikuwepo mwilini mwake kwa muda mrefu, na ingawa haikumwua papo hapo, lakini ilisababisha maumivu yaliyodumu hadi kifo chake.
Mtoa mada angeeleza, hiyo habari inapatikana kwenye HADITH gani, iliyothibitishwa na imam yupi na swahiba gani na wanazuoni wanasemaje kuhusu hadithi hiyo
Asa mkuu miaka 2025 iliyopita ulifanya dhambi gani ?Hata hivyo, kwa mtazamo wa kiroho, si Wayahudi wala Warumi pekee waliohusika bali ni sisi wanadamu wote.
Dhambi zetu ndizo zilizosababisha Yesu afe msalabani. Alikufa kwa ajili yetu, ili atuokoe.
Kama Biblia inavyosema,
“Alijeruhiwa kwa makosa yetu, alichubuka kwa maovu yetu” (Isaya 53:5).
Kwa hiyo, mwisho wa siku, waliomuua Yesu si tu Warumi au Wayahudi bali ni sisi wadhambi, ambao alikuja kutukomboa.
Hujajibu swali,...Sumu iliwekwa kwenye bega tu ,Soma Hadith zenu taratibu
Ipo hekima ya kwa nini Yesu alipaswa kusulubiwa na waovu ..tena hekima kubwa sana je mfano kuna wachamungu wawili mmoja akamcha mungu na kufanikiwa sana duniani kimali, afya, kupendwa, na mwisho wa siku akapalizwa mbinguni na mungu ...na mchamungu wa pili yeye alichukiwa akapigwa vita akateswa sana akawa masikini na mwisho akauliwa yote hayo yaka mpata kwa sababu ya uchamungu wake ....wewe unadhani ni yupi mwenye dhawabu kubwa mbinguni ? Maana muhammad ana pinga sana kuuliwa kwa Yesu kana kwamba kuuliwa huko ni kinyume cha utimilifu wa dhawabu .kwani yesu angeuliwa na wayahudi ingebatilisha uchamungu wake na kumfanya kuwa ni kafiri ? Waislam tumieni akili zenu vizuri kumjua muhammad kuwa ni shetani ndiyo maana anapinga sana kifo cha yesuHasa tushangae nini wakat ipo waz kabisa mkuu kwamba yupo hai mpaka shida ni kwamba mnadhan aliyesulubiwa alikuwa ni Isa nabii wa Allah
Tuambie mkuu hatukijuiWaislamu wengi hawajua chanzo cha kifo cha mtume wao .
Hata hivyo, kwa mtazamo wa kiroho, si Wayahudi wala Warumi pekee waliohusika bali ni sisi wanadamu wote.
Dhambi zetu ndizo zilizosababisha Yesu afe msalabani. Alikufa kwa ajili yetu, ili atuokoe.
Kama Biblia inavyosema,
“Alijeruhiwa kwa makosa yetu, alichubuka kwa maovu yetu” (Isaya 53:5).
Kwa hiyo, mwisho wa siku, waliomuua Yesu si tu Warumi au Wayahudi bali ni sisi wadhambi, ambao alikuja kutukomboa
Hadi yeye alihusika kumuua 😂?Kwahyo Hadi Babu zetu huku AFRIKA walihusika? Embu fafanua hapa
Kumbuka nabii kuuliwa kwa ajili ya kulicha jina la allah ni ibada na dhawabu kubwa kuliko kutokuuliwaHasa tushangae nini wakat ipo waz kabisa mkuu kwamba yupo hai mpaka shida ni kwamba mnadhan aliyesulubiwa alikuwa ni Isa nabii wa Allah
😂😂 kaka ww Ndo unayetoa thawabu twambie nani Mwenye nyingi 😂Ipo hekima ya kwa nini Yesu alipaswa kusulubiwa na waovu ..tena hekima kubwa sana je mfano kuna wachamungu wawili mmoja akamcha mungu na kufanikiwa sana duniani kimali afya kupendwa na mwosho wa siku akapalizwa mbinguni na mungu ...na mchamungu wa pili yeye alichukiwa akapigwa vita akateswa sana akawa masikini na mwisho akauliwa yote hayo yakamopata kwa sababu ya uchamungu wake ....wewe unadhani ni yupi mwenye dhawabu kubwa mbinguni ? Maana muhammad anaopinga sana kuuliwa kwa Yesu kana kwambq kuuliwa huko ni kinyume cha utimilifu wa dhawabu .kwani yesu angeuliwa na wayahudi ingebatilisha uchamungu wake na kumfanya kuwa ni kafiri ? Waislam tumieni akili zenu vizuri kumjua muhammad kuwa ni shetani ndiyo maana anapinga sana kifo cha yesu
😂 umeitoa wap hii fatwa yako mkuuKumbuka nabii kuuliwa kwa ajili ya kulicha jina la allah ni ibada na dhawabu kubwa kuliko kutokuuliwa
Hallelujah! He is alive. He came and died instead of us, three days latter he rose again. He came to our place, he took our place, and now he is inviting us to his glory through his word. Thank you JESUS for your salvation.Halafu akafufuka akapaa mbinguni
Yesu alijua atauwawa, na waliomuua ni warumi
Mwisho wa siku amefufuka ,kaburi ni tupu
Kasome Hadith tenaHujajibu swali,...
Nimeuliza hivi,..kwanini mmoja alikufa papo hapo na mwingine haikua hivyo?
Kama mtu na akili zako timamu unaweza kuweka picha ya mzungu wa kwenye filamu kanisani na majumbani na kumuita mungu, hagushangai mkija na vihadithi vyenu vya kutungwa na kuviamini kwani ndio kawaida ya makafir duniani kote na ndio maana kwenu kila mtu nabii na mnamuaminiHii ni historia fupi ya ujasusi wa Kiyahudi toka nyakati za kale hadi mauaji ya Mtume wa Uislamu
Wayahudi, kama taifa lililopitia mateso na vita kwa karne nyingi, wamejijengea hifadhi kupitia sanaa ya kujipenyeza, kutumia akili kuliko nguvu, na kutegemea maarifa ya kivuli kuliko mapanga ya wazi. Tangu enzi za kale, walitumia ujasusi kama silaha ya kujilinda au kulipiza, na hilo linaonekana dhahiri katika maandiko ya kale. Daudi, mfalme wa Israeli, alipokuwa akiwakimbia maadui zake, alijipenyeza kwa ujanja kwa Wafilisti, akajifanya mkimbizi, lakini aliendelea kufanya mashambulizi ya siri kwa niaba ya Israeli (1 Samweli 27). Alikuwa mpiganaji, lakini pia jasusi mwenye akili ya kisiasa.
Mbinu hizo hazikukoma. Katika karne za hivi karibuni, Israel imeendeleza sanaa ya ujasusi kupitia Mossad, shirika ambalo limefanikiwa kufanya kile hata mataifa makubwa kama Marekani hushindwa. Katika Iran, walipenyeza ndani ya taasisi nyeti, wakajua ramani za kiwanda cha nyuklia, wakawaua wanasayansi wa ndani, wakapora mafaili ya siri, na kumwua kamanda Qassem Soleimani kwa drone. Hakika, huu ni muendelezo wa sanaa ya kivuli ambayo Wayahudi wameihifadhi kwa karne nyingi.
Viongozi wa Hamas, Hezbollah na wanamgambo wengine wameuawa kwa njia za kushangaza kwa sumu, risasi zisizoonekana, mashambulizi ya kimya kimya ambayo hata vyombo vya ulinzi vya hali ya juu hushindwa kuzuia. Operesheni za Israel zimekuwa na mafanikio ya ajabu kwa sababu ya uwezo wao wa kutumia watu wa kawaida, wa karibu, au wanawake kama silaha zisizotiliwa shaka.
Katika muktadha huo, tukio la Zaynab bint al-Harith linachukua nafasi ya kipekee. Mwanamke huyu wa Kiyahudi kutoka Khaybar alikuwa mjane wa mwanajeshi aliyeuawa na Waislamu. Baada ya kabila lake kushindwa, alipewa nafasi ya kupika chakula kwa Mtume Muhammad ﷺ. Hapa ndipo historia ilipoandikwa kwa ustadi wa kimyakimya.
Muhammad alikuwa mtu wa kawaida kwa mambo mengi, lakini alikuwa mtu wa totozi sana ,alipenda sana wanawake. Alioa wake wengi, na riwaya nyingi za Kiislamu zinaonyesha kuwa alipendelea sana wanawake warembo, vijana, na pia alijivunia kupenda wanawake.
Mapenzi haya ya dhati kwa wanawake na kupenda penda totozi, yalimweka katika mazingira yakuuliwa na Zaynab ambaye alitumia hulka hiyo ya asili ya Mtume ya kupenda penda wanawake, ovyo, kumlisha sumu.
Alipika kondoo, akahakikisha sehemu ya bega (sehemu aliyojua Mtume anaipenda zaidi) imewekwa sumu ya polepole. Mtume alipoanza kula, alitafuna na kusema
“Nyama hii inanieleza kuwa ina sumu.” Ilikuwa tayari ameimeza. Bishr ibn al-Bara’, sahaba aliyekula naye, alikufa papo hapo. Muhammad alinusurika kwa muda lakini alianza kuhisi maumivu ya ndani yaliyodumu hadi kifo chake.
Katika siku za mwisho za maisha yake, alisema wazi: “Ninahisi maumivu kutoka kwa chakula nilichokula Khaybar na sasa kinakata aorta yangu.” Hii ni kauli inayodhihirisha kuwa sumu hiyo ilifanya kazi kwa polepole lakini kwa uhakika.
Zaynab alipoulizwa kwa nini alifanya hivyo, alijibu kwa sauti ya kijasusi: “Nilitaka kuona kama ni kweli wewe ni Nabii; kama ni kweli, utaokolewa. Kama siyo, utakufa.”
Hakutumia panga. Hakupiga kelele. Alitumia zawadi chakula kilichopikwa kwa mikono ya mjane. Na kama ilivyo kwa mashambulizi ya Mossad leo, sumu yake haikuua mara moja — bali ilitenda kazi kimyakimya.
Kifo cha Muhammad si cha kawaida. Alifariki si kwa mapanga ya vita wala kwa mishale ya adui, bali kwa mikono ya mwanamke wa kawaida, aliyeficha kisasi katika upishi wake. Na alinaswa katika mazingira ya amani, ndani ya dhana ya ukarimu wa kijamii, chini ya kivuli cha mapenzi kwa wanawake.
Ujasusi wa Wayahudi haukuwa wa bunduki tu bali wa akili, upole, kujipenyeza na sumu. Kama walivyommaliza Soleimani kwa drone, walimmaliza Muhammad kwa nyama yenye sumu. Na historia ikajifunza kwamba silaha hatari zaidi, si upanga mkali bali tabasamu lililojaa hila.
Kuna vitu vya kujifunza ,tuache kupenda penda ovyo wanawake
Duh nadhani hapa kuna changamoto ya akili,...Kasome Hadith tena
Dhambi ni asili ya mwanadamu ,tunarithi matokeo ya dhambi kutoka adamu,Asa mkuu miaka 2025 iliyopita ulifanya dhambi gani ?
Hivi hizi Hadith zinazosema ALIKUFA kwa sumu Leo hamziamini 😂Kama mtu na akili zako timamu unaweza kuweka picha ya mzungu wa kwenye filamu kanisani na majumbani na kumuita mungu, hagushangai mkija na vihadithi vyenu vya kutungwa na kuviamini kwani ndio kawaida ya makafir duniani kote na ndio maana kwenu kila mtu nabii na mnamuamini
wengine wanasema wanafufua watu pia mnaamini ,hakika ukafir ni mzigo mzito
Hakuna haja ya kukasirika mkuu. Naomba unisaidie haya mawili aliyoyaandika huyu member. Ingawa zaidi ni moja maana hili la pili ni kweli mtume alikuwa na wanawake kadhaa. Swali, Je, ni kweli mtume aliuwawa kwa sumu? kama ni uongo kanusha ili member asitupoteze. Na kama unakasirika kwa kuwa jamaa kaweka ukweli hadharani sawa.Pumbavu kweli
Laanakum wewe
Mkiamini nyie makafir inatoshaHivi hizi Hadith zinazosema ALIKUFA kwa sumu Leo hamziamini 😂
Mbona kawaida sana tu hata hapa tanzania kuna matukio ya familia kula chakula chenye sumu na baadhi yao wanaponq na wengine wanakufa tena kwa wakati tofauti tofauti ...ila hata hao walio pona ile athari ya sumu inaweza kufanya maisha yao yawe mafupi wakaishi miaka 5 au 10 nk ....hivyo ni ukweli kuwa sumu ndiyo iliyo muua muhammadUpo sahihi,.. ndiyo nimemuuliza hapo kilichopelekea hiyo situation ni nini? yaani watu wawili wanywe sumu mmoja afe papo hapo mwingine asife,
Tumia akili😂😂 kaka ww Ndo unayetoa thawabu twambie nani Mwenye nyingi 😂