Zaynab, jasusi wa Kiyahudi aliyemuua Mtume Muhammad

Hawa ukiwapa mwanamke tu umemaliza.

Cha ajabu walivyo na bongo lala, wanafuata kila alichofanya mudi.

Badilikeni ndugu kuoa wanawake wengi sio suna ni tamaa za kingono.

Kuoa vitoto vidogo ambavyo vinahaki ya kupata elimu na haki zingine za msingi sio suna ni ubakaji.
 
Kitabu gani cha kwetu?
Sahih al-Bukhari (Hadith No. 4428)

Riwaya ya Aisha (r.a):
"Mtume wa Mwenyezi Mungu alisema wakati wa ugonjwa wa kifo chake: 'Nilihisi maumivu kutoka kwa chakula nilichokula huko Khaybar. Na sasa nahisi mshipa wangu wa damu unakatika kwa sababu ya sumu hiyo.'"

Chanzo: Sahih al-Bukhari, Juzuu ya 5, Kitabu cha Magonjwa, Hadith 4428.

Sunan Abu Dawud (Hadith No. 4512)

Riwaya ya Ibn Mas'ud:
"Mwanamke Myahudi alileta mbuzi aliyekuwa na sumu, na Mtume wa Mwenyezi Mungu akala sehemu yake... Alipoambiwa ni mwenye sumu, alisema: 'Mwenyezi Mungu hatamruhusu kuniua, lakini ikiwa nitakufa basi muue huyo mwanamke.'"
Chanzo: Sunan Abu Dawud, Kitabu cha Chakula, Hadith 4512. Imesahihishwa na Al-Albani.

Sunan Ibn Majah (Hadith No. 1622)

Riwaya ya Anas bin Malik:
"Mwanamke Myahudi alimletea Mtume mbuzi aliyekuwa na sumu, naye akala. Mtume akasema: 'Mkutaneni na huyu mwanamke.' Akamuuliza kwa nini alifanya hivyo. Mwanamke akasema: 'Nilitaka kuona kama wewe ni Nabii, basi sumu haitakuathiri. Lakini kama siyo, basi nitakuwa nimekuua.'”

Chanzo: Sunan Ibn Majah, Kitabu cha Tiba.

Musnad Ahmad bin Hanbal (Riwaya ya Ibn Abbas):
"Mtume wa Mwenyezi Mungu alisema: 'Wakati wa ugonjwa wangu wa mwisho, nilihisi maumivu kutokana na kipande cha chakula kilichokuwa na sumu nilichokula huko Khaybar.’”

Ufafanuzi wa Wanazuoni wa Hadith:

Wanazuoni wengi wa hadith wanasema athari ya sumu hiyo ilikuwepo mwilini mwake kwa muda mrefu, na ingawa haikumwua papo hapo, lakini ilisababisha maumivu yaliyodumu hadi kifo chake.
 
Wewe kweli kichwa nazi,unaniambia kitu ambacho kipo wazi wala sina shaka nacho..Huyo mpuuzi tunapopingana naye ni pale aliposema Rasulullah alikuwa akipenda sana wanawake na vitabu vimeandika hivyo!
 
Hii ni historia fupi ya ujasusi wa Kiyahudi toka nyakati za kale hadi mauaji ya Mtume wa Uislamu

Wayahudi, kama taifa lililopitia mateso na vita kwa karne nyingi, wamejijengea hifadhi kupitia sanaa ya kujipenyeza, kutumia akili kuliko nguvu, na kutegemea maarifa ya kivuli kuliko mapanga ya wazi. Tangu enzi za kale, walitumia ujasusi kama silaha ya kujilinda au kulipiza, na hilo linaonekana dhahiri katika maandiko ya kale. Daudi, mfalme wa Israeli, alipokuwa akiwakimbia maadui zake, alijipenyeza kwa ujanja kwa Wafilisti, akajifanya mkimbizi, lakini aliendelea kufanya mashambulizi ya siri kwa niaba ya Israeli (1 Samweli 27). Alikuwa mpiganaji, lakini pia jasusi mwenye akili ya kisiasa.

Mbinu hizo hazikukoma. Katika karne za hivi karibuni, Israel imeendeleza sanaa ya ujasusi kupitia Mossad, shirika ambalo limefanikiwa kufanya kile hata mataifa makubwa kama Marekani hushindwa. Katika Iran, walipenyeza ndani ya taasisi nyeti, wakajua ramani za kiwanda cha nyuklia, wakawaua wanasayansi wa ndani, wakapora mafaili ya siri, na kumwua kamanda Qassem Soleimani kwa drone. Hakika, huu ni muendelezo wa sanaa ya kivuli ambayo Wayahudi wameihifadhi kwa karne nyingi.

Viongozi wa Hamas, Hezbollah na wanamgambo wengine wameuawa kwa njia za kushangaza kwa sumu, risasi zisizoonekana, mashambulizi ya kimya kimya ambayo hata vyombo vya ulinzi vya hali ya juu hushindwa kuzuia. Operesheni za Israel zimekuwa na mafanikio ya ajabu kwa sababu ya uwezo wao wa kutumia watu wa kawaida, wa karibu, au wanawake kama silaha zisizotiliwa shaka.

Katika muktadha huo, tukio la Zaynab bint al-Harith linachukua nafasi ya kipekee. Mwanamke huyu wa Kiyahudi kutoka Khaybar alikuwa mjane wa mwanajeshi aliyeuawa na Waislamu. Baada ya kabila lake kushindwa, alipewa nafasi ya kupika chakula kwa Mtume Muhammad ﷺ. Hapa ndipo historia ilipoandikwa kwa ustadi wa kimyakimya.

Muhammad alikuwa mtu wa kawaida kwa mambo mengi, lakini alikuwa mtu wa totozi sana ,alipenda sana wanawake. Alioa wake wengi, na riwaya nyingi za Kiislamu zinaonyesha kuwa alipendelea sana wanawake warembo, vijana, na pia alijivunia kupenda wanawake.

Mapenzi haya ya dhati kwa wanawake na kupenda penda totozi, yalimweka katika mazingira yakuuliwa na Zaynab ambaye alitumia hulka hiyo ya asili ya Mtume ya kupenda penda wanawake, ovyo, kumlisha sumu.

Alipika kondoo, akahakikisha sehemu ya bega (sehemu aliyojua Mtume anaipenda zaidi) imewekwa sumu ya polepole. Mtume alipoanza kula, alitafuna na kusema

“Nyama hii inanieleza kuwa ina sumu.” Ilikuwa tayari ameimeza. Bishr ibn al-Bara’, sahaba aliyekula naye, alikufa papo hapo. Muhammad alinusurika kwa muda lakini alianza kuhisi maumivu ya ndani yaliyodumu hadi kifo chake.

Katika siku za mwisho za maisha yake, alisema wazi: “Ninahisi maumivu kutoka kwa chakula nilichokula Khaybar na sasa kinakata aorta yangu.” Hii ni kauli inayodhihirisha kuwa sumu hiyo ilifanya kazi kwa polepole lakini kwa uhakika.

Zaynab alipoulizwa kwa nini alifanya hivyo, alijibu kwa sauti ya kijasusi: “Nilitaka kuona kama ni kweli wewe ni Nabii; kama ni kweli, utaokolewa. Kama siyo, utakufa.”

Hakutumia panga. Hakupiga kelele. Alitumia zawadi chakula kilichopikwa kwa mikono ya mjane. Na kama ilivyo kwa mashambulizi ya Mossad leo, sumu yake haikuua mara moja — bali ilitenda kazi kimyakimya.

Kifo cha Muhammad si cha kawaida. Alifariki si kwa mapanga ya vita wala kwa mishale ya adui, bali kwa mikono ya mwanamke wa kawaida, aliyeficha kisasi katika upishi wake. Na alinaswa katika mazingira ya amani, ndani ya dhana ya ukarimu wa kijamii, chini ya kivuli cha mapenzi kwa wanawake.

Ujasusi wa Wayahudi haukuwa wa bunduki tu bali wa akili, upole, kujipenyeza na sumu. Kama walivyommaliza Soleimani kwa drone, walimmaliza Muhammad kwa nyama yenye sumu. Na historia ikajifunza kwamba silaha hatari zaidi, si upanga mkali bali tabasamu lililojaa hila.

Kuna vitu vya kujifunza ,tuache kupenda penda ovyo wanawake

kwanza kabisa Quran 69:44-46 ni uthibitisho kwa utume wa nabii Muhammad kwani hakuna chochote kati ya haya kilichotokea kupitia mahubiri yake ya Uislamu.

pili, Nabii hakufa kwa sumu hiyo ... mara moja mwanamke wa Kiyahudi alimtolea nabii nyama ya kondoo, lakini alitumia sumu kali sana ili aweze kumtia nabii sumu. nabii alikufa miaka 3 baadaye baada ya tukio hilo

tatu Hadith hapa inatumia lugha ya sitiari pale mtume aliposema “ kana kwamba aota yangu imekatwa” ,, kwa hiyo sio kwamba mshipa wa aorta umekatwa badala yake anaeleza hisia zake ni kama kusema “ninahisi kama tumbo langu linakatwa” ambao ni usemi unaotumika sana kwa Kiarabu .. ni usemi wa maumivu na kile kilichotokea miaka iliyopita

kwa hivyo kuchukua maneno kama hayo kama maelezo halisi ni ujinga

na dai hili ni jaribio la kukata tamaa kutoka kwa wamisionari wa Kikristo ili kuhalalisha imani yao, wanapaswa kuzingatia mungu wao ambaye tayari alikuwa amedhalilishwa uchi aliyepigwa msalabani.
 
So Nyama ilimwqmbia inasumu?
 
Nataman kusikia story na maisha ya kifo cha babu zako
 
Sahih al-Bukhari (Hadith No. 4428)

Riwaya ya Aisha (r.a):
"Mtume wa Mwenyezi Mungu alisema wakati wa ugonjwa wa kifo chake: 'Nilihisi maumivu kutoka kwa chakula nilichokula huko Khaybar. Na sasa nahisi mshipa wangu wa damu unakatika kwa sababu ya sumu hiyo.'"

Chanzo: Sahih al-Bukhari, Juzuu ya 5, Kitabu cha Magonjwa, Hadith 4428.

Sunan Abu Dawud (Hadith No. 4512)

Riwaya ya Ibn Mas'ud:
"Mwanamke Myahudi alileta mbuzi aliyekuwa na sumu, na Mtume wa Mwenyezi Mungu akala sehemu yake... Alipoambiwa ni mwenye sumu, alisema: 'Mwenyezi Mungu hatamruhusu kuniua, lakini ikiwa nitakufa basi muue huyo mwanamke.'"
Chanzo: Sunan Abu Dawud, Kitabu cha Chakula, Hadith 4512. Imesahihishwa na Al-Albani.

Sunan Ibn Majah (Hadith No. 1622)

Riwaya ya Anas bin Malik:
"Mwanamke Myahudi alimletea Mtume mbuzi aliyekuwa na sumu, naye akala. Mtume akasema: 'Mkutaneni na huyu mwanamke.' Akamuuliza kwa nini alifanya hivyo. Mwanamke akasema: 'Nilitaka kuona kama wewe ni Nabii, basi sumu haitakuathiri. Lakini kama siyo, basi nitakuwa nimekuua.'”

Chanzo: Sunan Ibn Majah, Kitabu cha Tiba.

Musnad Ahmad bin Hanbal (Riwaya ya Ibn Abbas):
"Mtume wa Mwenyezi Mungu alisema: 'Wakati wa ugonjwa wangu wa mwisho, nilihisi maumivu kutokana na kipande cha chakula kilichokuwa na sumu nilichokula huko Khaybar.’”

Ufafanuzi wa Wanazuoni wa Hadith:

Wanazuoni wengi wa hadith wanasema athari ya sumu hiyo ilikuwepo mwilini mwake kwa muda mrefu, na ingawa haikumwua papo hapo, lakini ilisababisha maumivu yaliyodumu hadi kifo chake.
Niliwai kuwaambia waislamu hapa kuwa Muhammad kauliwa na mwanamke wakabisha na niliwaambia kuwa Muhammad kapewa utume na myahudi mganga wa kienyeji wakabisha
 
Kama unaamini hiki
Wewe ni Kichwa Pumbu
Inatosha kusema hivyo...
Swali ?...kipi ni kitu kikuuu zaidi ...kufufuka au kutokufa hadi leo ? Kwa mujibu wa,muhammad, Yesu akufa bali alipalizwa mbinguni yupo hai hadi leo sasa kipi cha kushangaza ni "kufa na kufufuka" au "kuishi bila ya kufa hadi leo mbinguni" ...
kwa mujibu wa uislamu wanasema Issa alifufua wafu kwa uwezo wa allah hivyo tunaona waliokufa wakifufuka hivyo hakuna ajabu kwa muislamu kuona kufukuka kwa uwezo wa allah ni kitu kisicho wezekana ...sasa inashangaza kilogic kuona waislamu wanashangaa kufufuka na awashangai yesu kuwa hai hadi leo hii zaidi ya miaka 2000 kama usemavyo msahafu wao😏
 
Back
Top Bottom