Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,451
- 8,432
Sio pombe tu mkuu wanasingiziaga walipiwa na shetani.Umnunulie dada yako pichu! Hicho kipimo unakipatia wapi?
Akitofa bafuni unamtulizia?
Au unazitiming zile alizoziaka chooni?
Au inakuwaje anakupa kipimo au anakupa sample?
...
Huanza kama hivi ndugu wa familia moja, then 'tumpambe' analiwa afu unaskia pombe ndio imesababisha!
Dada kumnunulia kaka sio mbaya sana kama kaka kumnunulia dada.
Ni sawa na mama kumnunulia mwanae wa kiume(under 20)boxer tofauti na baba kumnunulia binti yake undies. Its just not right.
Umnunulie dada yako pichu! Hicho kipimo unakipatia wapi?
Akitofa bafuni unamtulizia?
Au unazitiming zile alizoziaka chooni?
Au inakuwaje anakupa kipimo au anakupa sample?
...
Huanza kama hivi ndugu wa familia moja, then 'tumpambe' analiwa afu unaskia pombe ndio imesababisha!
Naomba kusaidiwa jamani.
Je, mila na desturi zetu zinasemaje kuhusu mwanamke/msichana kumnunulia zawadi za nguo za ndani kaka yake?
Hivyo hivyo kwa mwanaume/mvulana kumnunulia dada yake zawadi ya nguo za ndani. Je, inakubalika?

Je suruali ya jeans unaweza mnunulia?
Hahahahahahahaaaa!
Apo tuiteje sasa?
Kavaa pichu au kavaliwa na pichu?
Naomba kusaidiwa jamani.
Je, mila na desturi zetu zinasemaje kuhusu mwanamke/msichana kumnunulia zawadi za nguo za ndani kaka yake?
Hivyo hivyo kwa mwanaume/mvulana kumnunulia dada yake zawadi ya nguo za ndani. Je, inakubalika?
Jibu zuri hilo, unajua tumezoea kununua nguo za ndani mpaka uishikeshike huku unajipimia au unampimia yule unaemnunulia na ndio maana hizi sijui mila zina apply, but all in all mtu amekwambia ninunulie chupi yenye label ya Jodoki, size flani na rangi ya dhambarau, hapa kuna shida gani na endapo mtu ameingia kwenye duka la kueleweka ambalo halina longolongo kwenye product zakeMila na desturi hazina katiba, hazilingani baina ya jamii na jamii, kada na kada au koo na koo...
Kama kwa desturi ya watu wa kwenu ni swa kufanya hivyo basi fanya, kama si sawa sidhani kama haya maswali yangelikuwepo hapa.