Zawadi yangu kwenu on Valentines day...

Ahsante sana KOKUTONA...

Ngoja na sisi wa analogia tuangalie jinsi ya kujikumbusha kupendana...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu mapenzi hayana analogy wala digital, when they are pure and clean from the heart.

Na mnavyopendana na bibi.........sipati picha.

Ahsante kwa salamu KOKUTONA....

Analogia ipo bwana, ....hapa naanza kufikiria matenga ya kuku, mikaa na matunda matunda wakati wenzenu wa digitali wanahangaika na cards, maua na mizawadi ya nguvu....

Tena nimekumbuka kuwa hatujachapa kiti moto siku nyingi......I wish tungekuja pale White House tukapime kama kilo 5 hivi!!

Chochote unachokiandaa kw aupendo babau chafaa kwa zawadi.

Babu umetaja kitimoto, salivation imeshatake place lol...... Kuna kiwanja kingine babu chaitwa KIBO, KIT MOT yake bab kubwa.

Karibuni na bibi jamani eeeh babu
 
Thax much KOKUTONA for this nice wishes ... uendelee kubarikiwa.

Nimependa hii...Kumbuka VALENTINE ni upendo, uaminifu, uvumilivu, utu wema, fadhila,kujali (kwa tafsiri yangu)ambavyo huleta furaha, amani na raha katika maisha. (Coz tunachotaka ni furaha na amani)

Hii imenichekesha lolz: Kwa wale multipurposes, wenye valentines kumi kidogo, hakikisha hugonganishi magari, tumeshudia watu wamepigana disko, wamerushiana chupa, wamevujunjana viungo n.k, valentine maana yake si hii, km una wasi wasi baki nyumbani tuu. (hawa wa type inabidi wajipange next valintine wasiwe tena na status hii haha hahaaa).
 
Thanks to u too neggirl. Unajua tunapaswa kujifunza na kukummbuka nyajibu zetu kupitia matukio na siku muhimu km hizi rafiki. Km kuna tulipoteleza basi tuamke na kusimama tena katika nafasi zetu kwenyw mapenzi, mahusiano, urafiki, ujirani na undugu.
neggirl hii ya multipurpose mbona ipo, usishangae kesho ukaambiwa naenda Lindi kikazi, kumbe ni katika kuwapunguza lol
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaa............inakuhusu charminglady hiyo red?

Kribu rafiki.

Yan acha tu bidada... Yan hapa naona nyotanyota... Sijui nikajilaze hospital kuwa naumwa? Mmmh hapana naweza fuatwa huko huko... Sijui nilale home.. hapana pia ntafuatwa home.. Sijui nitorokee wapi mie.... Nishauri baasi!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Yan acha tu bidada... Yan hapa naona nyotanyota... Sijui nikajilaze hospital kuwa naumwa? Mmmh hapana naweza fuatwa huko huko... Sijui nilale home.. hapana pia ntafuatwa home.. Sijui nitorokee wapi mie.... Nishauri baasi!!!!!

Pole shosti, sina experience sana na mambo hayo........but unaweza ukawaalika woote ktk valentine's dinner, afu unawaeleza ukweli wooote kuhusu wao na wewe na ulivyokuwa unawapanga.

Yule atakayevumilia kubaki na wewe ndio valentine wako wa ukweli, wakiondoka wote rudi nyumbani kapumzike ukisikiliza mziki mororona kupata mvinyo tartibu

Hakikiasha umeandaa security guard in case of anything.......

Ha ha haaa, akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
ahahahaaa.... hunitakii mema kabisa weww....!! Nway ngoja nichanganye na za kwangu"?!!
 
Sisi siku ya Valentine tumekubaliana kubadilishana line za simu. Atachukua line yangu na yeye atanipa yake one day before, kisha kila mtu atakuwa kwake siku nzima, tutarudishiana the following day. Nadumisha upendo, naruhusu kupiga na kupokea simu. Acheni unafiki wa kupeleka vi maua tu, go further.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom