Zawadi yangu kwa WCB

Undava King

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,181
5,317
Leo nimeamua nikiguse kiwanda cha muziki wa Tanzania ambao unaweza sema tumepiga hatua kwa kiasi fulani tokea enzi za zeze ya TID au leo ya AY na Salome ya Dully na hii bongo fleva ya akina konde gang,kings na wcb bila shaka tokea 2000's mpaka sasa kuna hatua fulani kubwa imepigwa.

Ila sipo hapa kuiongelea bongo fleva kama kiwanda bali nadiss kikundi fulani cha muziki alimaarufu WCB;

Kuimba nyimbo zenye maudhui yale yale kwa mitindo ile ile yaki-local(simaanishi kitanzania bali mediocre) kiasi cha kukera sikio la muziki, mf ukiona rayvanny kaimba tetema next bashiri ataimba tekenya, pepeta,n.k na wakizibukia miziki ya kinaijeria basi wote ni huko huko na kama ni mikito ya south the same hivyo hivyo ubunifu bado ni zero.

Wazee wa marangi rangi yakuwaka na kuvuruga haiba nzuri ya mavazi kiuvaaji na upambaji; kwa lugha nyingine wcb wanaweza kukufanya uchukie au ukinai kuvaa nguo zenye rangi fulani au dizaini fulani especially miongoni mwa zile rangi kuu saba za upinde wa mvua,

yaani ukimwona lavalava au rayvanny katupia utadhani ni mshamba mmoja toka huko mwandiga au mfanyakazi wa kiwanda cha karoti au rangi katupia yaani kama ni nyeupe,kijani,nyekundu au pinki itatingwa full mpaka boxer achilia mbali mpaka jukwaa la shoo ni marangi hayo hayo mpaka shabiki unaumia macho.

Video za kishamba, ubunifu hafifu nakurudia staili zile zile zakizamani zakupanga mistari nakukata viuno, kushutia video ndani kwenye makochi,kifua wazi au kuweka mapazia ya marangi rangi

kama mnapiga passport size na nguo zenu za kukoza mirangi mkiisi huo ndo usafi wenyewe mnaishia kuchezwa kwenye mabasi ya mikoani sawa na bongo movies, mbona kuna shooting nyingi nzuri wanafanya wanaija,afrika kusini, america hazina mbwembwe, hazitabiriki,hazirudii location,hazina haja ya kushuku msanii kamkopi fulani vitu fulani fulani, kila msanii anajisikia fahari kuja na mavazi,mitindo,mandhari, mtizamo,stori na video yenye ubunifu tofauti ili mradi kujitofautisha na mwenzake.

Kuigana mitindo,ala za miziki, ladha/vionjo vya miziki mpaka uwasilishaji; huu ni udhaifu mkubwa sana katika muziki kwa maana ikitokea mkafulia inakuwa ni mtungo achilia mbali mnazoeleka haraka masikioni mwa mashabiki, mnajilemaza katika ubunifu nakufanya wote

wanaowahusudu nyie kama waliofanikiwa kwenye muziki waishie kuimba nyimbo zenye mfanano sawa na nyie ndo watoboe mwisho wa siku soko linajaa haina moja ya muziki, mnachosha wasikilizaji ambao hawana budi kuswitch na miziki ya nchi zingine kupata ladha na vionjo tofauti.

Mmekuwa kikwazo kwa wasanii wenye vipaji halisi,wenye mitindo tofauti ya muziki,wabunifu na wenye ndoto za kwenda kimataifa kupewa attention inayostahili na kiwanda pamoja na mashabiki badala yake airtime mnapewa nyie na wana-eastafrica nzima mnabaki kupuyanga tu hapa kila siku mko local na bongo fleva inashindwa kukua na kuitawala afrika na soko la dunia kiujumla.
 
Kwenye hiki kiwanda cha Muziki WCB almost wako 7 tu...yanini kuutesa moyo na masikio yako kwa kuendelea kusikiliza miziki yao? kwanini usisikilize tu hao wanaoimba vizuri?

Mimi ningekuwa wewe ningeweka na kuandika uzi juu ya wale ninaowapenda tu Ili habari zao zijulikane...sasa wewe unawapa WCB promotion ya bure bila hata kulipwa..mbaya zaidi unawachukia sasa

Note : Publicity is always a publicity, there is no bad publicity
 
kwako mtoa mada

baba unajua kudiss, alafu unadiss kwa ma fact tu... kweli ni undavaa, wasafi wajipangee
 
Leo nimeamua nikiguse kiwanda cha muziki wa Tanzania ambao unaweza sema tumepiga hatua kwa kiasi fulani tokea enzi za zeze ya TID au leo ya AY na Salome ya Dully na hii bongo fleva ya akina konde gang,kings na wcb bila shaka tokea 2000's mpaka sasa kuna hatua fulani kubwa imepigwa.

Ila sipo hapa kuiongelea bongo fleva kama kiwanda bali nadiss kikundi fulani cha muziki alimaarufu WCB;

Kuimba nyimbo zenye maudhui yale yale kwa mitindo ile ile yaki-local(simaanishi kitanzania bali mediocre) kiasi cha kukera sikio la muziki, mf ukiona rayvanny kaimba tetema next bashiri ataimba tekenya, pepeta,n.k na wakizibukia miziki ya kinaijeria basi wote ni huko huko na kama ni mikito ya south the same hivyo hivyo ubunifu bado ni zero.

Wazee wa marangi rangi yakuwaka na kuvuruga haiba nzuri ya mavazi kiuvaaji na upambaji; kwa lugha nyingine wcb wanaweza kukufanya uchukie au ukinai kuvaa nguo zenye rangi fulani au dizaini fulani especially miongoni mwa zile rangi kuu saba za upinde wa mvua,

yaani ukimwona lavalava au rayvanny katupia utadhani ni mshamba mmoja toka huko mwandiga au mfanyakazi wa kiwanda cha karoti au rangi katupia yaani kama ni nyeupe,kijani,nyekundu au pinki itatingwa full mpaka boxer achilia mbali mpaka jukwaa la shoo ni marangi hayo hayo mpaka shabiki unaumia macho.

Video za kishamba, ubunifu hafifu nakurudia staili zile zile zakizamani zakupanga mistari nakukata viuno, kushutia video ndani kwenye makochi,kifua wazi au kuweka mapazia ya marangi rangi

kama mnapiga passport size na nguo zenu za kukoza mirangi mkiisi huo ndo usafi wenyewe mnaishia kuchezwa kwenye mabasi ya mikoani sawa na bongo movies, mbona kuna shooting nyingi nzuri wanafanya wanaija,afrika kusini, america hazina mbwembwe, hazitabiriki,hazirudii location,hazina haja ya kushuku msanii kamkopi fulani vitu fulani fulani, kila msanii anajisikia fahari kuja na mavazi,mitindo,mandhari, mtizamo,stori na video yenye ubunifu tofauti ili mradi kujitofautisha na mwenzake.

Kuigana mitindo,ala za miziki, ladha/vionjo vya miziki mpaka uwasilishaji; huu ni udhaifu mkubwa sana katika muziki kwa maana ikitokea mkafulia inakuwa ni mtungo achilia mbali mnazoeleka haraka masikioni mwa mashabiki, mnajilemaza katika ubunifu nakufanya wote

wanaowahusudu nyie kama waliofanikiwa kwenye muziki waishie kuimba nyimbo zenye mfanano sawa na nyie ndo watoboe mwisho wa siku soko linajaa haina moja ya muziki, mnachosha wasikilizaji ambao hawana budi kuswitch na miziki ya nchi zingine kupata ladha na vionjo tofauti.

Mmekuwa kikwazo kwa wasanii wenye vipaji halisi,wenye mitindo tofauti ya muziki,wabunifu na wenye ndoto za kwenda kimataifa kupewa attention inayostahili na kiwanda pamoja na mashabiki badala yake airtime mnapewa nyie na wana-eastafrica nzima mnabaki kupuyanga tu hapa kila siku mko local na bongo fleva inashindwa kukua na kuitawala afrika na soko la dunia kiujumla.
We ponda tu wenzako wanamesaini deal la 12 billion juzi tu hapo.
 
Nasubiri waimbe tingisha tyako beibii... Au nikune dia mpaka ndani shindiliaaaa. Huu ndio mziki tunaotaka sisi.

Sasa nyie wazee mnataka waimbe.....
Watanzania tuwe wazalendooo, aaaahaa tulipe kodi, tudumishe amani iii , ...nyoo
 
MKUU ENZI ZAKO ZA TWIST SIJUI TWISTA ZIMEPITWA.JARIBU KUWAACHIA VIJANA MAMBO MEMGINE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom