Zawadi yako Miss Chagga

gwijimimi hebu muulize mkeo kwangu anakuja kufuata nini na kanga moko kila siku
Na anasema hana mtu ndo maana tumempenda na tunaprovide kwake kila kitu miss chagga huyo gwijimimi ni nani kwani mbona mimi na binamu yako Bulldog hatumfaham kabisa
Mr Rocky my darling dont worry your one and only relax... wahenga walisema mfa maji aishi kutapa tapa ... ila jua kila mtu anaweza maanisha tofauti
 
gwijimimi hebu muulize mkeo kwangu anakuja kufuata nini na kanga moko kila siku
Na anasema hana mtu ndo maana tumempenda na tunaprovide kwake kila kitu miss chagga huyo gwijimimi ni nani kwani mbona mimi na binamu yako Bulldog hatumfaham kabisa

Hapa ndo ulipojikatia ticket ya mabwepaNde uwiiii nilikua nakusubiria uthibitishe uwiiii
Kibali cha kuua ninacho
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndo ulipojikatia ticket ya mabwepaNde uwiiii nilikua nakusubiria uthibitishe uwiiii
Kibali cha kuua ninacho

Mume wangu leo wapi twende basi savanna leo jion tukanywe wine twende hny napendaga unavyokuwa.umelewa huwa unanifurahisha
 
Eti nini?

Tized uko wapi aise umwambie utafiti kuwa binti yake anachuna mabuzi humu ndani mara kwa gwijimimi mara kwa Ntuzu mara kwa Mr Rocky mara kwa binamu nyama ya hamu Bulldog
Yani mtoto hatulii kila mtu anaambiwa honey kwa wakati wake na anachunwa kwa wakati wake
Mke wangu kipenzi Dena Amsi uko wapi njoo huku kuna katoto kalikuwa kanataka kunidanganya hapa na weupe wake ila nimekashtukia kuwa hakafai ni mapepe Ntuzu nakuachia miss chagga aise mpambane na gwijimimi huu mchanganyiko siuwezi aise
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky jamani nakupenda ypur one and only
 
Mume wangu nakupenda upo wapi mbona sikuoni ..... hny naomba hela ya saluni kesho... achana na hao nawadanganya tu wewe ndo kama roho yangu usiniache.ukiniacha nitakufa mie

Haya maneno kaambiwa gwijimimi na usinidanganye kwa kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa nishashtuka hapa hakatwi mtu miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Mume wangu nakupenda upo wapi mbona sikuoni ..... hny naomba hela ya saluni kesho... achana na hao nawadanganya tu wewe ndo kama roho yangu usiniache.ukiniacha nitakufa mie

Mr Rocky jamani nakupenda ypur one and only

Mr Rocky weeeee jamani mbona maneno hivyo

Nishashtuka aise miss chagga hapa naona kfaransa tuu wakati mimi sikijui
Haya maneno anaambiwa gwijimimi mara yanageuzwa anaambiwa Ntuzu mara yanageuzwa anaambiwa Mr Rocky sasa yupi ni yupi na no one ni nani hapa
Nisijejikuta mimi ni no 100
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…