Zawadi ya Tiketi ya Daladala Kutolewa

Zawadi ya Tiketi ya Daladala Kutolewa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
ukiweza kugundua hapa ni wapi utajipatia zawadi tajwa hapo juu:

cc; Zitto Kabwe, Pasco, Mwangahikaji, Yanga wote, Liverpool wote, Simba wote, CCM wote, CHADEMA wote, Ulimakafu, Mzizimkavu, Ndetichia, Watu8, Mwita Maranya, Charminglady, Nyani Ngabu, Mbuzi Mzee (kama yu hai) taamu, Makoye Matale, Belo, Bujibuji, bysange, Kenedy, nitonye, (kama nimekuacha jiongeze) 1536540_749825435044969_1849589565_n.jpg
 
Sina jibu zaidi ya kumuhurumia huyo mtoto anaevuka aisee hatari sana sijui alivuka salama..
 
Sina jibu zaidi ya kumuhurumia huyo mtoto anaevuka aisee hatari sana sijui alivuka salama..

hapo huongelei huyo mtoto, unaongelea maisha ya watu/watoto hao ya kila siku.....usisahau wenye ulemavu hapo
 
ujenzi wa daraja la kivukoni hili, naomba zawadi yangu please
ukiweza kugundua hapa ni wapi utajipatia zawadi tajwa hapo juu:

cc; Zitto Kabwe, Pasco, Mwangahikaji, Yanga wote, Liverpool wote, Simba wote, CCM wote, CHADEMA wote, Ulimakafu, Mzizimkavu, Ndetichia, Watu8, Mwita Maranya, Charminglady, Nyani Ngabu, Mbuzi Mzee (kama yu hai) taamu, Makoye Matale, Belo, Bujibuji, bysange, Kenedy, nitonye, (kama nimekuacha jiongeze) View attachment 131032
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom