Zawadi ya Tiketi ya Daladala Kutolewa

Zawadi ya Tiketi ya Daladala Kutolewa

Hayo madaraja mbona hatari hivyo?
Hao watoto masikini wakigoma kwenda shule wala wasilaumiwe
 
ukiweza kugundua hapa ni wapi utajipatia zawadi tajwa hapo juu:

cc; Zitto Kabwe, Pasco, Mwangahikaji, Yanga wote, Liverpool wote, Simba wote, CCM wote, CHADEMA wote, Ulimakafu, Mzizimkavu, Ndetichia, Watu8, Mwita Maranya, Charminglady, Nyani Ngabu, Mbuzi Mzee (kama yu hai) taamu, Makoye Matale, Belo, Bujibuji, bysange, Kenedy, nitonye, (kama nimekuacha jiongeze) View attachment 131032

Amavubi,zawadi yenyewe kama tukiipata tunatakiwa tupite hapa mimi siitaki lol
 
Last edited by a moderator:
Nimeshindwa kupata jibu ila nimewahurumia watu hao kwa tabu wanazo zipata
 
Hayo madaraja mbona hatari hivyo?
Hao watoto masikini wakigoma kwenda shule wala wasilaumiwe

hapo ukiumwa tumbo la kuhara tu unatega shule maksudically Ennie
 
indonesia21n-1-web.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom