Zawadi ya mpenzi wangu Munkari

Zawadi ya mpenzi wangu Munkari

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Posts
15,145
Reaction score
5,573
01w.jpg
Mpenzi wangu Munkari hii ndio zawadi yako kutoka kwangu. Sio kwamba nakuonga ila nakupenda kwa dhati ya moyo wangu. Hii zawadi ni kukuonyesha ni jinsi gani nakupenda, nakupenda na nakupenda. Wewe ndie asali wa moyo wangu, mpenzi wa moyo wangu, barafu wa moyo wangu. Njoo utulie na mimi achana na maneno ya kinafiki ya jirani zetu hapa JF. Nakupenda kwa dhati mumie Munkari.....
 
looh! Hadi cha kusema nimeshindwa!..aaa..aah..!
 
01w.jpg
Mpenzi wangu Munkari hii ndio zawadi yako kutoka kwangu. Yaani switie asante saaanaaa! Daladala tena baathi! What a hell! Sio kwamba nakuonga ila nakupenda kwa dhati ya moyo wangu.Hii zawadi ni kukuonyesha ni jinsi gani nakupenda, nakupenda na nakupenda...... Yani dah hapa nimekosa cha kusemaaa! Wewe ndie asali wa moyo wangu, mpenzi wa moyo wangu, barafu wa moyo wangu......kaaaa! Yani ndo umenimaliza kabisaaaaaa! Njoo utulie na mimi achana na maneno ya kinafiki ya jirani zetu hapa JF,....yani nimezibaa pamba mwenye wivu ajinyongee! Nakupenda kwa dhati mumie Munkari..... Aaaah sina halii!
 
aaah Munkari hata kujifaragua unashindwa jamani au hujaupenda mkoko!!!!!

haaah! We acha tu! Kitu cha toyota vitz chezeya Surprise ! Looh! Mengine sisemi wataigilizia ntakutana na mwandani wangu chumbaaniii!
 
Last edited by a moderator:
wivu tayari jamani. bebiiiiiii njoo pande hii na mie nataka kama hiyo,
 
hahahahaha kweli mapenzi upofu, Mzee Kaizer leo amekuwa bebi
si amekwambia uzee mwisho chalinze jamani, hujamuelewa au kiburi? after all ww unaaongea saa ngapi na bebi yako Munkari. kutwa kucha kuchunguza malavi navi yetu?
 
si amekwambia uzee mwisho chalinze jamani, hujamuelewa au kiburi? after all ww unaaongea saa ngapi na bebi yako Munkari. kutwa kucha kuchunguza malavi navi yetu?

DEMBA, mupenzi wangu Munkari yupo ubavuni mwangu hapa anasinzia, kajichokeaje....huyo Mzee wako Kaizer bado yupo kona bar?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom