Zawadi ya mlima Kilimanjaro ilipaswa tuichambue

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
244
312
Historia inaonyesha mlima Kilimanjaro ulikuwa Kenya na Mombasa ilikuwa Tanganyika. Ila ukoo wa ufalme wa Uingereza ukapeana zawadi. Mlima ukaja Tanganyika na Bandari ya Mombasa ikaenda Kenya. La sivyo Kenya ingekuwa haina Bandari na Mlima Kilimanjaro na wachaga ungekuwa Kenya.

Nasema tungeichambua hii zawadi yetu ya Mlima tusingekuwa na hii shida ya vurugu za hawa wachaga. Tungepokea mlima lakini wakazi wake tungeomba malkia waendelee kubaki Kenya. Msishangae wanasifia Kenya kwa kila kitu! Ni nchi yao ya asili! Ndio maana Kenya wakinunua Dreamliner wanashangilia! Tanzania ikinunua Dreamliner wanapinga! Tanzania ikijenga SGR wanadai ni matumizi mabaya. Kenya ikijenga SGR wanaongeza kuwa ni ya umeme!

Wee chukulia mifano ya karibuni. Mchaga anadai ana kiberiti na nchi imelowa petrol! Eti ikiwaka Moto asitafutwe! Atakuwa kwao Kenya?
Sasa kaamka Mzee wa kiraracha. Anataka Serikali impe bilioni 2 taslimu! Eti awamu ya Mkapa ilimfungulia kesi za uongo! Asafishwe jina kwa bilioni 2 taslimu!
Wachaga! Kwa kweli tungepokea mlima lakini wao tungewaacha kwao. Au mnasemaje waungwana mabibi na mabwana?
 
Kenya wangekosa vp bandari? Lamu haipo Kenya?

As for mlima Kilimanjaro kuwa Kenya ingekuwa bora mara trillion 100 maana Tanganyika ni mkusanyiko wa wawachawi na wajinga. Hawatafanikiwa kwa lolote. Hata Zanzibar hawawapendi Watanganyika.

Na ipo siku Kilimanjaro itakuwa nchi kamili. InshaAllah
tz_chagga2.gif

Nchi hiii inaongozwa na wachawi na wajinga, ndio maana wachawi wa Gamboshi waliposema wataua, hamna aliyewakemea.
Mwenge pia Ni kielelezo Cha uchawi unavyohusudiwa
 
Matokeo ya kidato cha nne umeyaone ndo uje na huu usenge wako hapa soma hapo chini
Historia inaonyesha mlima Kilimanjaro ulikuwa Kenya na Mombasa ilikuwa Tanganyika. Ila ukoo wa ufalme wa Uingereza ukapeana zawadi. Mlima ukaja Tanganyika na Bandari ya Mombasa ikaenda Kenya. La sivyo Kenya ingekuwa haina Bandari na Mlima Kilimanjaro na wachaga ungekuwa Kenya.

Nasema tungeichambua hii zawadi yetu ya Mlima tusingekuwa na hii shida ya vurugu za hawa wachaga. Tungepokea mlima lakini wakazi wake tungeomba malkia waendelee kubaki Kenya. Msishangae wanasifia Kenya kwa kila kitu! Ni nchi yao ya asili! Ndio maana Kenya wakinunua Dreamliner wanashangilia! Tanzania ikinunua Dreamliner wanapinga! Tanzania ikijenga SGR wanadai ni matumizi mabaya. Kenya ikijenga SGR wanaongeza kuwa ni ya umeme!

Wee chukulia mifano ya karibuni. Mchaga anadai ana kiberiti na nchi imelowa petrol! Eti ikiwaka Moto asitafutwe! Atakuwa kwao Kenya?
Sasa kaamka Mzee wa kiraracha. Anataka Serikali impe bilioni 2 taslimu! Eti awamu ya Mkapa ilimfungulia kesi za uongo! Asafishwe jina kwa bilioni 2 taslimu!
Wachaga! Kwa kweli tungepokea mlima lakini wao tungewaacha kwao. Au mnasemaje waungwana mabibi na mabwana?
Screenshot_2020-01-13-11-01-13.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa nchi utaharibika sana mkuu.
 
Back
Top Bottom