miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
kama ni wahudumu wa afya sioni tatizo.........
Teh teh angempa gloves.....
kama ni wahudumu wa afya sioni tatizo.........
inaonekana ina kazi nyingi kutokana na swali lako..wacha nitafute jibu la swal lako
Teh teh angempa gloves.....
kama sio mhudum wa afya
itakuwa Gia ya kutongezea......
hahaaaa kuna clip niliona huyo kaka alipelekewa zawadi ya condom
na yule mtu akamwambia sababu ni amekuwa Kicheche sanaa
mmh utani kwel uu?okey am takin it easyTake it easy bhana, ni utani tu. hata mimi hua natania watu
Ukifikiria mbali utaumiza mtima wako bure, there is nothing hidden Dear. Akikuletea gari pia utauliza kanionaje mpaka kaniletea gari!!!
i
teh,kwanin sasa sio gloves na nii nanii