Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,986
- 189,584
katika ubora wako hahahahaNina kiwanja
Nina simu
Nilikuwa na bodaboda
Acha vitu vingine vidogodogo.
Mpango wa kando samtaim unasaidia sana
katika ubora wako hahahahaNina kiwanja
Nina simu
Nilikuwa na bodaboda
Acha vitu vingine vidogodogo.
Mpango wa kando samtaim unasaidia sana
Jamaa yangu alipewa pafyumu na kimada wake kufika home mke wake kaipenda ikabidi ampe dada wa watu akashukuru.laiti angejua kuwa imetoka kwa mwanamke mwenzake hata
Hii inafanana na jamaa yangu nse alinunuliwa Saa.. kufika home wifi akaing'ang'ania.. jamaa kila akienda kwa mchepuko amevaa saa nyingine. Mchepuko anaulizia mbona huvai saa yangu niliyokununulia.. Aisee jamaa akiabidi akanunue saa inayofanana na ile ...kazi kweli kweli
Kama kawaidakatika ubora wako hahahaha
Hii inafanana na jamaa yangu nae alinunuliwa Saa.. kufika home wife akaing'ang'ania.. jamaa kila akienda kwa mchepuko amevaa saa nyingine. Mchepuko anaulizia mbona huvai saa yangu niliyokununulia.. Aisee jamaa akiabidi akanunue saa inayofanana na ile ...kazi kweli kweliJamaa yangu alipewa pafyumu na kimada wake kufika home mke wake kaipenda ikabidi ampe dada wa watu akashukuru.laiti angejua kuwa imetoka kwa mwanamke mwenzake hata asingepokea.
hapo alitoa madundu yote hadi puani maana duhUlimpa nini! [emoji15]
Kasema alimpata sijui mtandao wa Manji.hapo alitoa madundu yote hadi puani maana duh