Zawadi uliyopewa na mpango wa kando

Zawadi uliyopewa na mpango wa kando

Mm alinipa boxer mbili ingawa nilimind sana sababu nilihisi km aliniona mm sina wakati ninazo,Mm nijuavyo mtu anakupa kitu ambacho hauna
 
Nilikuwa naumwa na yeye ndiye alikuwa First GF kwangu huwezi amini jioni alikuja na Azam Mango lita na nusu, baada ya hapo sikuona zawadi yoyote ikabaki mizinga.
Dah pole sana mkuu, japo mizinga mmeumbiwa wanaume [emoji23][emoji125]
 
Mm alinipa boxer mbili ingawa nilimind sana sababu nilihisi km aliniona mm sina wakati ninazo,Mm nijuavyo mtu anakupa kitu ambacho hauna
Zawad ni zawadi mkuuu.. ukipewa kitu haimaanishi ya kuwa huna
 
nakumbuka nilipewa mkungu wa ndizi za kuiva kutoka kwake,nikaona sina majibu ya maana nikifika home maana sikywa na uwezo huo wa kununua mkungu mzima,nilichokifanya nilienda kuugawa kwa walinzi na wafanya usafi ofisini,halafu kidogo nikapeleka home.
 
Lolest.. ungesema umeokota mkungu wa ndizi
 
Back
Top Bottom