Zawadi Siku Ya Send-off?

Zawadi Siku Ya Send-off?

I think Viatu pia is okay, kama unajua size yake.
Inapendeza zawadi ikiwa ya kuoneshea palepale matumizi,ndomana wanachagua saa. Ni simple kumvalisha mtu wake.
Kuna moja nliona tofaut kidogo,alinunua zawadi ya kifaa cha kufanyia mazoez (hubby to be kibonge ivi)

Sent using Jamii Forums mobile app
Nice yani huu ubunifu umezngatia uhalosia bhan. ila nahs jamaa alijiskia noma kupewa kitairi cha mazoez [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Dada mmoja siku ya Send-off alimpa Mume wake mtarajiwa Apple.
 
Back
Top Bottom