Zawadi Siku Ya Send-off?

Zawadi Siku Ya Send-off?

Akili Pesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
617
Reaction score
854
Wadau habarin za wknd?
Naomba niulize kuna ulazima wa zawadi sku ya send off kutoka kwa wadada kwnda kwa mumewe mtarajiwa kuwa SAA???
Naona hii zawadi ya SAA kama ni zawadi moja maarufu sana yan kila send off unakutana na zawadi hii sasa nijiulize inamaana hakuna zawadi mbadala jamani? Wadada kwanin msitupe zawadi tofauti na saa siku yenu ya kuagwa??
Au mnakosa kujiandaa kabla ya siku ile?
NAOMBA KUULIZA SASA ZAWADI GANI AMBAYO ULIPEWA(MEN) NA ULITOA(WOMEN) KATIKA SEND OFF YAKO/MWENZA WAKO?
au kwa wale ambao bado ungependa upewe zawadi gani au utoe zawadi gani kwa mwenza wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too monotonous, sasa ilivyofika kolomije hatupumui kidogo tu unaona binti katoa saa.
1:siwezi toa saa naweza toa kitu unique ambacho hakiko kwenye kabila lao.cha kimila zaidi.eg Dada yangu nilimshauri atowe the so called " ebyanzi" watengenezaji wanaweza design kwa matumizi tofauti, kimjini Mjini tofauti na matumizi yake halisi inaeza tumia kama decoration ndani ya nyumba it was very unique. Mm naweza toa tofauti na hiki......

2: mwingine wa hapa town aliniuliza amnunulie nini, nikamwambia hupendi nini kwa mmeo? Akasema vaa yake nikamuuliza una sh. Ngapi kasema laki 100000 nikasema tafuta lakini 3 twende sehemu, maana nguo za kiume na viatu bei zake sio mchezo.

Tulinunua vitu vichache lakini quality. Na nikamwambia wewe Siku hiyo mkabidhi hili box bila kufungua.
 
pia kuhusu suala la zawadi me naona zawadi ya upendo ndio zawadi kubwa zaidi kuliko zote ambazo naweza kufurahia kutoka kwa mke wangu (siku nikioa)

Sent using Jamii Forums mobile app
OK. Hebu tushirikishe namna utakavyompa hiyo zawadi ya upendo.Maana upendo siyo kitu unachoweza kusimana sehemu na kusema..."upendo uleeee"...au..."shika huu upendo nimeufunga kwenye gazeti"...au..."yule paleee ana upendo mwilini mwake"...!Tushirikishe mkuu.
 
OK. Hebu tushirikishe namna utakavyompa hiyo zawadi ya upendo.Maana upendo siyo kitu unachoweza kusimana sehemu na kumsema..."upendo uleeee"...au..."shika huu upendo nimeufunga kwenye gazeti"...au..."yule paleee ana upendo mwilini make"...!Tushirikishe mkuu.
upendo ni care tu na wala si kingine!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom