NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
offcourse ni vitu vinavyovutia,lakini kwa mfano kama hatujaonnana kwa mwaka mzima,ni zwadi gani utafurahia zaidi?
Kama ni moja ktk hiyo ni Saa, na zaidi ya hayo nikuakikisha nakupikia mwenyewe mapenzi ndio usiseme 🙈ikiwezekana nipate week nzima bila ngo ngo ngo yani Mimi na yeye....