Heargy da Best
Member
- Jun 23, 2015
- 48
- 10
Kuna mke mmoja hivi alikua kila akiniona ananidai zawadi hivyo siku moja nikamletea zawadi ya chu.pi na tangu siku hiyo nilipompatia hiyo zawadi haniulizi tena kitu.
Swali, hivi kina dada mnakua mnajisikiaje pale mme ambae hana uhusiano wa kimapenzi anapokuletea zawadi ya chu.pi?
Swali, hivi kina dada mnakua mnajisikiaje pale mme ambae hana uhusiano wa kimapenzi anapokuletea zawadi ya chu.pi?