zawadi gani nzuri

Ni vizuri akamchunguza mwenyewe. Maana kitu kama saa mimi hua sivai mtu akinipa ntapokea ila hatokaa anione nayo. Kwasababu ni mwanafunzi anaweza akamnunulia vitu vinavyohusiana na shule.Au nguo/viatu kama anajua style na size yake.Kitu kingine ambacho kila mtu anahitaji ni chakula kama alivyosuggest Boss, sema hii inategemea anaishi na wazazi au la, na kama anaishi na wazazi wawe wanamjua mshkaji.Au amkabidhi cash msichana aangalie mwenyewe nini anahitaji.
yy cyo mwanafunzi.
 
Fuata ushauri wa The Boss,kiroba cha mchele na kuku wako mkononi. Try to be romantic in an african way.
 
ndio maana tf anajaribu kila njia kukupata ila unaweka pozi..! ndio maana huna mpenzi...! twende.. twende..twende.. kichwa kammmmma... ilooooooo:eyebrows:
Kaka naona taratibu unataka kuvamia nyumba yangu....Lizzy nimemgharamikia sana zawadi zake hamna mtu JF anayeweza kumpelekea...
 
Hedmasta wa mazawadi umerudi?
Leo Lizzy umemficha wapi anaonekana kwa manati kweli

Kaka naona taratibu unataka kuvamia nyumba yangu....Lizzy nimemgharamikia sana zawadi zake hamna mtu JF anayeweza kumpelekea...
 
jamani mm natokea masomoni.ntafka kwetu ck ya jumatano....najiuliza nimpelekee zawadi gani mpenzi wangu wa kike ambayo ataiona ni nzuri kwake? nishaurini jamani......

umepotea ndugu. kama hujui mpenzi wako anapenda nini , kweli ni mpenzi wako huyo?
 
We nenda kamkabidhi Visa/master card yako itatosha. Hayo mengine mbwembwe tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom