zawadi gani nzuri

Hahahahaah
Tutabishana mpaka kuhusu muda wa kuoga.
Fynest nae ataulizwa maswali mpaka "kwanini anataka kunywa cha saa moja na nusu na sio saa mbili". Sidhani kama tutasurvive.

sifa kubwa ya NN na Lizzy....
ni kuwa cheating is unforgivable....sasa hiyo naona ni best match so far..
 
Ha ha ha, nimecheka sana reaction zenu Lizzy na TF

nimewagongea like hapo
 
sifa kubwa ya NN na Lizzy....
ni kuwa cheating is unforgivable....sasa hiyo naona ni best match so far..

Hahahaha.Thats a good one. . .kwahiyo mmoja akienda kucheat anajua kabisa kinachomsubiria.Akirudi hata hasemi anachukua kilicho chake huyoooooo.

@Fynest hahahahaha.Asha Ngedere si atakuua wewe?
 
Nauliza jamani wanaJf hivi kama mwanamke katoka kubleed baada ya siku moja uka sex naye je anaweza kupata mimba? mwenye aidia anisaidie japo mi nahusika sana na maabara vipimo
 
Hahahaha.Thats a good one. . .kwahiyo mmoja akienda kucheat anajua kabisa kinachomsubiria.Akirudi hata hasemi anachukua kilicho chake huyoooooo.

@Fynest hahahahaha.Asha Ngedere si atakuua wewe?

umeona yaani ikitokea cheating
kila mtu anajua whats next....lol mkataba uko very clear...
 
Maswali haya hapa unatuchosha kwa kweli hebu give us a break, puleez

anyway, hapati up to alteast 10th day kutegemeana na mahesabu yake

Nauliza jamani wanaJf hivi kama mwanamke katoka kubleed baada ya siku moja uka sex naye je anaweza kupata mimba? mwenye aidia anisaidie japo mi nahusika sana na maabara vipimo
 
Hahahaha.Thats a good one. . .kwahiyo mmoja akienda kucheat anajua kabisa kinachomsubiria.Akirudi hata hasemi anachukua kilicho chake huyoooooo.

@Fynest hahahahaha.Asha Ngedere si atakuua wewe?
Aisee anaweza kunichoma moto kabisa...lol
 
umeona yaani ikitokea cheating
kila mtu anajua whats next....lol mkataba uko very clear...
Yeahhh nzuri sana aisee. . . . no ifs and buts. . . no i'm sorrys and a lot of irrelevant explanations.

@Kongosho we ulitaka aunganishe na nani ili movie inoge?

@Fynest, hehehehhe yani ndo utajua kwanini jina lake la mwisho ni Ngedere.
 
We nenda kamkabidhi Visa/master card yako itatosha. Hayo mengine mbwembwe tu.
mbmbinho c na heshima yangu yote itaishia hapoooo.....c unajua ntakuwa cna hata hela ya kumnunulia mtori........au nitoe hela zote benki ndo nimpe hiyo visa/master card?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom