babulakibaha
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 287
- 326
Mkuu acha unafiki ina maana hujapenda au ndo una comment kwa sababu Shem yuko kando ndo ajue kwamba hupendagi haya mavitu?
!
Hajielewi huyu mkuu
Mkuu acha unafiki ina maana hujapenda au ndo una comment kwa sababu Shem yuko kando ndo ajue kwamba hupendagi haya mavitu?
!
Mi simo
Karibu tena.Nimeshitukia nimepita hapa kwaheri
Ule mswada wa sheria mpya za mitandaoni JK anasaini lini
Jamii Photos mda mwingine imekuwa kama Forum ya porn vile. JK pitisha sheria haraka sana.
Inadaiwa machale yamemcheza baada ya kupata barua toka kwa wanaharakati waliomshinikiza asitie mkono wake kwenye Muswada huo wenye ukandamizaji wa hali ya juu na kama atatia mkono basi wanaharakati watafungua kesi mahakamani kupinga sheria hiyo inayoshabihiana sana na sheria za nchi za North Korea, China, Syria, Russia na chache nyinginezo.
Kwani kuna sehemu nimesema huyo ni Zari?Huyo wala siyo Zari, Kyalankota, nakushauri utoke kivinginevyo!!!!
Lakini juzi taarifa kutoka ikulu zilikuwa zinasema raisi atasaini miswada yote iliyopitishwa na bunge ikiwemo hii ya mitandaoni wakasema juzi kuna majambazi walikamatwa baada ya hapo kuna picha ilisambazwa na mtu mwingine ikionyesha akiwa amemvalisha mchumba wake pete kumbe ile ya kweli sheria lazima uisaniwe ili kudhibiti watu wanaopotosha kama hao.wanaharakati kama walikuwa na mpango wa kwenda mahakamani kupinga huu muswada kutosainiwa na raisi bora wangewahi mahakamani mapema kwa Jk kila yeye yupo tayari kufanya.Inadaiwa machale yamemcheza baada ya kupata barua toka kwa wanaharakati waliomshinikiza asitie mkono wake kwenye Muswada huo wenye ukandamizaji wa hali ya juu na kama atatia mkono basi wanaharakati watafungua kesi mahakamani kupinga sheria hiyo inayoshabihiana sana na sheria za nchi za North Korea, China, Syria, Russia na chache nyinginezo.