Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Asubuhi ya leo kupitia bbc nimefanikiwa kupata habari za uhakika kuwa diamond n zari wamepata mtoto wa kike
Source BBC Swahili
 
Mbona nimesikiliza bbc mwanzo,mwisho hakuna kitu kama hiyo??? Au bbc ya wapi wewe umesikiliza???

BBC Swahili Leo asubuhi wametangaza wamsema napo katika habari zilizo gonga vichwa vya habari katika mitandao ya jamii n zari n diamond kupata mtoto katangaza yule mdada halafu wakaweka ka tune Chao tatizo Una ckiliza habari ukiwa n stress
 
Mtoto wa Diamond priness tiffah amabaye Ana siku moja toka aje duniani ame mburuza na kumgaragaza mtoto wa pili wa Kiba, Kiba jr kwa idadi ya followers Instagram ikumbukwe Princess Tiffah account yake ya Insta gram siku moja wakati ya kiba Jr ina 76 weeks.
 

Attachments

  • Screenshot_2015-08-07-07-39-47.png
    Screenshot_2015-08-07-07-39-47.png
    49.6 KB · Views: 2,047
  • Screenshot_2015-08-07-07-40-25.png
    Screenshot_2015-08-07-07-40-25.png
    33.3 KB · Views: 2,017
Wewe itakuwa ni mmoja wa wazinzi ndio maana unatetea, kwani wangapi wamezalishwa nje ya ndoa na wanateseka pia?

Inshu ya ndoa hata haipo kwenye biblia, sijui qruani ila ni utaratibu watu wamejiwekea
 
glory to GOD hongera zari kwa kujifungua salama...!! kazi iliyo baki ni kumlea mtoto katika mazingira mazuri ili awe na afya nzuri ya ubongo...!!!
 
Back
Top Bottom