DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 805
Hasa kile kipande anachojifanya kalewa kisha karigonga gari la maaskari ili apate nafasi ya kwenda kumfanyizia mtu wake selo,dahhh!!!Umeona eeh! Yaani haliishi hamu pia![]()
Hasa kile kipande anachojifanya kalewa kisha karigonga gari la maaskari ili apate nafasi ya kwenda kumfanyizia mtu wake selo,dahhh!!!Umeona eeh! Yaani haliishi hamu pia![]()
Mimi muda sanaa nilishampongezaMimi tayari bado wewe mkuu
Mitandao mkuu ina fursa sana ya udanganyifu. Ni kuyatazama tu na kuyaacha yalivyo mengi sana ni feki mno hadi aibu
View attachment 765719

Hasingekuwa amepita Diamond ningemwomba awe mke wangu maana Diamond kaacha mke LuluBaada Ya Davido kumzawadua Mpenzi wake Chioma gari wabongo walimsema sana kuwa Mond hajawahi mnunulia hata Rav 4.Hatimaye Bibie kajibu mapigo.
Hongera kwake Hard work pay. She's one in a Million. View attachment 765667
Hasingekuwa amepita Diamond ningemwomba awe mke wangu maana Diamond kaacha mke Lulu
Shuka kituo cha Skania Hapa vingunguti,kuna BMW za kutosha uje tupige picha nyingi tu,au maktaba pale.Nimegundua Zari anapenda sana Magari.
Tunaendana aiseee.
Yana thamani yake pia.Mwanamke wa shoka!
Hawa Wabongo wamebaki kupiga picha wamebinua makalio Instagram tu
ningekuwa mtu wa karibu na zari, ningemshauri aachane na drama za social media, angekuwa tu anafanya mambo yake kimya kimya bila show off.
tatizo na yeye licha ya umri wake mkubwa, anapenda sana apewe attention.
Domo akianza kuharisha mneno ni noma.Zari karudishwa utotoni na yule mhuni wa Tandale hizi heka heka ni kujaribu kuwaaminisha watu wake kua yuko sawa kabisa ila inaoonekana kuna pengo la mtoto wa Tandale na asipofanya ivi hakika atapotea midomoni mwa watu kitu ambacho hataki kitokee maana pamoja na yote dogo alimuongezea fan base hasa uku kwetu ambao ni 'machizi instagram'
Ila siku uyu mdogo wetu akifungua mdomo kuhusu uyu dada basi itakua balaa kwake maana naona dogo pamoja na vurumai za mzazi mwenzie amejitahidi kukausha.



