Zao la vitunguu mkoani ni bei gani?

Sasa ikiwa gunia 290,000 gharama za upakiaji ushuru n. K sh ngapi? Na bei sokoni sh ngapi ft

mama wawili
Mkuu hiyo ni bei ya shambani
Kujaza kupakia na kusafirisha ni juu ya mnunuzi.
Kinapotolewa ni mang'ola ambapo mpaka arusha kwa gunia moja transport ni 10k.
 
Back
Top Bottom