D Deemsangi New Member Joined Sep 10, 2021 Posts 3 Reaction score 0 Oct 14, 2021 #1 Kuna mtu anaweza nisaidia wapi naweza pata zao la shairi kwa hapa Dar
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,978 Reaction score 5,418 Oct 14, 2021 #2 Shayiri ( barley)
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,942 Reaction score 9,491 Oct 14, 2021 #3 Zao tena au nafaka? Hahaaa unaenda kuoteshea Hydroponic baada ya kupata semina? Shauri inalimwa sana mikoa ya Kaskazini hasa Kilimanjaro Arusha na Manyara na pia Kanda za nyanda za juu kusini. Hii huwa ni contract Farming hivyo inapelekwa yote kiwandani ba pia hailimwi kwa wingi, Viwanda vinafanya kuagiza nje
Zao tena au nafaka? Hahaaa unaenda kuoteshea Hydroponic baada ya kupata semina? Shauri inalimwa sana mikoa ya Kaskazini hasa Kilimanjaro Arusha na Manyara na pia Kanda za nyanda za juu kusini. Hii huwa ni contract Farming hivyo inapelekwa yote kiwandani ba pia hailimwi kwa wingi, Viwanda vinafanya kuagiza nje
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,646 Oct 14, 2021 #4 Deemsangi said: Kuna mtu anaweza nisaidia wapi naweza pata zao la shairi kwa hapa Dar Click to expand... Shayiri
Deemsangi said: Kuna mtu anaweza nisaidia wapi naweza pata zao la shairi kwa hapa Dar Click to expand... Shayiri
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,085 Reaction score 2,523 Oct 14, 2021 #5 Deemsangi said: Kuna mtu anaweza nisaidia wapi naweza pata zao la shairi kwa hapa Dar Click to expand... Old bailey, iko UK hii
Deemsangi said: Kuna mtu anaweza nisaidia wapi naweza pata zao la shairi kwa hapa Dar Click to expand... Old bailey, iko UK hii
qualalumpagrinder JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 465 Reaction score 817 Oct 17, 2021 #6 Kama lengo ni fodder jaribu ngano pia, upatikanaji wake ni mwepesi