Zao gani hili?

Zao gani hili?

Iruhusiwe tu bhana ina stimu nzuri sana,mi sivuti sigara hata bia Mara chache sana but navuta jani kwa siri kivyangu hata marafiki zangu wakijua watashangaa sana
Ni kweli mkuu hata mimi huwa naitumia kwa siri sana iruhusiwe tu
 
Nikichuma nikaenda kupika kama mboga, bado ntakua na hatia?
 
Utakumbana na mambosasa

Kwa kosa lipi? Sheria inatambua kwamba mmea ni haramu ukivutwa kama sigara, mie natumia kama mchicha au kisamvu, mambojana atanighasi kwa misingi ipi?
 
Inaonekana watumiaje wengi
 
Hi Mrembo Kasie...

Kesho au J4 napokea pesa zangu za Korosho.

All over JF I choose you-Anyplace out?

Wuuhuuuuuu yeeeeey

See you on Wednesday @Kigambonino along the beach ⛱. .......

Don't forget to wear your pataya. ....
 
-kijiti
-mmea
-mjani
-ganja
-weed
-cha arusha
-cannabis sativa
-bwana shamba
-bangi
 
Wuuhuuuuuu yeeeeey

See you on Wednesday @Kigambonino along the beach [emoji950]. .......

Don't forget to wear your pataya. ....

Yes! Yes! Yes!....Pataya

I have your number!!
Muamala ukisoma tu nakupigia
 
Mashada hewani

Ova
Ngoma inogile
IMG-20181022-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom