Zanzibaris want more powers for Vice-President | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibaris want more powers for Vice-President

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MaxShimba, Mar 6, 2011.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  By Mwinyi Sadallah, IPPMEDIA

  Zanzibar Director of Public Prosecutions (DPP) Othman Masoud Othman has said the present form of the Union Government whereby President of Zanzibar is no longer Union Vice President following the 11th constitutional amendments is inappropriate.

  Othman, presenting a paper at the Isles EACROTANAL centre, said the amendments effectively ended the Union because the Zanzibar President no longer has a say in the Union Government.

  According to the DPP before the changes, the Isles President was part of the Union Government and took part in major decisions in Government of the United Republic. He added that the present arrangement does not present the sense of unity between the two parts of the union.

  He explained that based on the present constitution, the President of Zanzibar has limited powers even in the isles affairs since he is not a member of the cabinet and has no executive powers in the Revolutionary Government of Zanzibar.

  “Let’s ask ourselves, what important role does the Union Vice President have when he isn’t a member of the cabinet; he has no authority whatsoever in Zanzibar,” he stressed.
  http://www.ippmedia.com/
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  boooooo!
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Simuelewi ndugu Othman. Ana advocate makamo wa raisi aongezewe nguvu kwa mfumo uliopo sasa au ana taka raisi wa Zanzibar arudishiwe umakamo kisha makamo aongezewe nguvu? Maana ajue kwamba makamo wa raisi kuongezewa nguvu kwa sasa hakuta imarisha muungano kwa sababu je siku makamo akiwa Mbara? Pia hiyo ya makamo kuwa kwenye baraza la mawaziri sijaona nchi yoyote.
   
 4. F

  Falconer JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Ndugu Mwanafalsafa, si rahisi kumuelwa Bw. Othman kwa kuwa huu muungano wenyewe huuelewi. Ingelikuwa vizuri ukamsikiza katika MZALENDO.NET akitoa maelezo yake. Mwandishi, ambae ni mwana CCM bobea, hakuandika ukweli wote. Kwa ufupi huu muungano wenyewe ni wa mkatomkato hauna ukweli wala baraka za bunge la tanzania au zanzibar. Haya nyalikuwa ni manyago matupu (hot air).
  Wazanzibari wamechoshwa kutawaliwa. Wanadai nchi yao kwa njia ya diplomasia. Katiba mpya haitowasaidia kitu kama haitaangalaia suala zima la muungano. "IN SHORT, WE WANT OUT OF THIS UNION".
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Falconer Zanzibaris are free to leave the union wala sina neno na hilo. Najua muungano mzima ulikuwa na kasoro nyingi wakati wa kuanzishwa. Kwa hiyo Bw. Othman aki advocate muungano uvunjwe au katiba yote ibadilishwe nita elewa zaidi kuliko huu ushauri wake kuhusu makamo wa raisi ambao uta complicate vitu zaidi.
   
 6. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Vice President can not be more than vice President. Kuna watu wana desturi ya kulalamika. Kuna wakati bara pia tulitoa makamu wa Rais, kama sikosei ni katika kipindi cha Mzee Ruksa, hatukulalamika kuwa makamu wa rais hana madaraka ya kutosha. Kwa hiyo hoja ya kumuongezea madaraka makamu wa rais haina mashiko.

  Ni vizuri akileta hoja wazi ya kutaka kuvunja muungano ili Zanzibar nayo iwe na makamu wa rais mwenye madaraka makubwa.

  Uchu na ulevi wa madaraka vitavunja Muungano.
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu Bongolander ndiyo maana na mimi nimeshangaa. Maana kazi ya makamo wa raisi ni kama title ya cheo chenyewe kinacho ashiria. Kwamba kazi ya makamo wa raisi ni kumsaidia raisi. Kwa maana hiyo majukumu ya makamo wa raisi yata tegemea na majukumu ata kayo pewa na raisi. The Vice Presidency was never meant to be an autonomous institution kama vile ya waziri mkuu. Na pia hauoni mbali kwa maana yeye hoja yake haija zingatia pale makamo wa raisi ata kapo kuwa si Mzanzibar. Au ndiyo kusema kwamba makamo wa raisi akiwa Mzenji awe na madaraka makubwa zaidi?
   
 8. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Wakijitenga, ambacho wanatakiwa kufanya bidii kushughulikia, watakuwa na mamlaka yote juu ya nchi yao na tabu itakwisha. Itakwisha kwetu na itakwisha kwao.
   
 9. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Sijui kama watakuja kujitenga. Nafikiri ni kelele za wachache wanaopenda wajitenge lakini wanashindwa. Ndio maana wanaleta chokochoko tu ili watanganyika ndio wavunje muungano. Mara nyingine wanatoa hoja kuwa eti "Tanganyika inatawaliwa na zanzibar kwa hiyo ni Tanganyika ndio inatakiwa kudai uhuru". Ni kwamba wanataka Watanganyika wawasaidie kuvunja muungano ili wao Zenj wawe huru zaidi. Na hii naona ni kwa vile, kule kwao wameshindwa kupata support kubwa.
   
 10. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
   
 11. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Just go and leave our Nation, we do not need you either.!
  We are tired of complaints everyday.
   
 12. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Hawa watu huwa hawaangalii pande zote mbili bali huwa wanajiangalia wao wenyewe tu.
  N ahilo ndilo linalokuwa tatizo kubwa sana katika huu Muungano sababu sehemu moja huwa hairidhiki na kitu chochote kwao huwa ni kibaya.
  Pindi kunapokuwa na VP kutoka bara sijui nani huwa analalamika??
  Hizi ni tabia za ubinafsi usiokuwa na tija kabisa katika Taifa letu.
  Ni kweli kuna matatizo na michanganyiko mingi ya Muungano lakini hilo la VP halina mashiko yeyote kabisa.
  Sasa wao wanandahani hata akipewa majukumu mengi ndio watafaidika sana???[QUOTE=MwanaFalsafa1;1704567]Mkuu Bongolander ndiyo maana na mimi nimeshangaa. Maana kazi ya makamo wa raisi ni kama title ya cheo chenyewe kinacho ashiria. Kwamba kazi ya makamo wa raisi ni kumsaidia raisi. Kwa maana hiyo majukumu ya makamo wa raisi yata tegemea na majukumu ata kayo pewa na raisi. The Vice Presidency was never meant to be an autonomous institution kama vile ya waziri mkuu. Na pia hauoni mbali kwa maana yeye hoja yake haija zingatia pale makamo wa raisi ata kapo kuwa si Mzanzibar. Au ndiyo kusema kwamba makamo wa raisi akiwa Mzenji awe na madaraka makubwa zaidi?[/QUOTE]
   
 13. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mkuu una mawazo ya kufugwa, sasa hivi Zenj wanaenda kivyake vyake na hata sijui huko kutawaliwa kunatoka wapi.
  Na madaraka kuongezewa VP hapo ndo hakieleweki kwa waTanganyika.Tabia hii ya double standards za nyie wenzetu ndo inatukera.
  Bungeni mmejazana na mnachotetea hakieleweki in fact uwingi wa watu toka Zenj is a nuisence.
  Bunge lenu lipo ingefaa Baraza la Wawakilishi litumike kutatua matatizo yenu.
  Utatuzi wa matatizo ya Zenj si kwa mgongo wa Bara.
  Kwa kweli leo Zenj ikitoka katika muungano unaoelekea kufa sasa hivi , halitakuwa jambo la kushangaza sana maana hakuna aliye na ubavu wa kuongelea kuwa tumeunga kwa kitu gani haswa kwa sasa.[/QUOTE]

  Hapo umesema mkuu hawa wanataka kutatua matatizo yao kwa mgongo wa wabara.
  Kama wana bunge lao na baraza lao je nini zaidi wanachohitaji toka kwetu??
  Kama wabunge wao wenye watu wachache wasioelezeka wakiwa wamejazana bungeni dodoma ,hayo yote bado hawaridhiki tu??
  Hivi hawa wanataka cha nini zaidi??
   
 14. N

  Nonda JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mwanafalsafa1
  Huyo jamaa aliyekushauri usikilize mwenyewe huko, pata muda usikilize. Nimemsikiliza na anajaribu kuonesha katiba nyengine za muungano hutaja wanachama wake. sasa Katiba yetu inawataja Tanganyika na Zanzibar?
  Ipo sehemu yenye title.."Video Mpya – Migongano kati ya Mkataba wa Muungano na Katiba ya Tanzania"
   
 15. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu sija bishia hayo mengine aliyo yasema. Mimi nimembishia tu kuhusu hilo la makamo wa raisi. Nime jibu hoja kama ilivyo letwa kwenye hii thread ambayo inaelezea kuongezwa kwa madaraka ya VP. Sija criticize kingine zaidi ya hicho.
   
 16. N

  Nonda JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu.
  Nilikushauri tu usikilize huko kama hukuwa umesikiliza kwa sababu najua wewe ni mdadisi wa masuala haya kama mimi.
  Hakuna sehemu ambayo nimekutupia lawama au kukukosoa, mkuu.

  Nimeiopoa hii link

  http://www.mzalendo.net/video/videokuna-mgongano-kati-ya-mapatano-ya-muungano-na-katiba-ya-tanzania
   
 17. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  pumbafu sana! Na mtoke tushawachoka hata sie, mnadhani mnamtisha nani? watu 1.3milioni mna mawaziri 5, makamu na rais wenu bado mnataka nini? Au na dsm iwe nchi si ndio? Kwanza vilaza wakubwa, kutwa kuomba omba fursa kama wote wanawake. Hebu nambie, Tanganyika tunapata faida gani na uwepo wenu? Tokeni, tena mmechelewa fanyeni haraka kabla hatujaadhimisha miaka yetu 50 vilaza nyie.
   
 18. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tumeshachoka na chokochoko za Zenj. Kama wanataka kujitenga wawe wazi kuliko kuendeleza malumbano. Je wao wanadhani Watanganyika wanafaidika sana na muungano uliopo? Waachani wajitenge na wawe na nchi yao.
   
 19. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Du Mkuu punguza munkari, pamoja na kwamba hawa jamaa wanaudhi sana,vyenga wametupiga na magoli watufunge?
   
 20. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Si wadai kujitenga tuondokane na mzigo wa kuhudumia watu wasio na manufaa kwetu?
   
Loading...