The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 836
Kama una amini siku zanzibar itarudi kua dola basi comment make ZANZIBAR great again
Soma Pia: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, itabaki hivyo daima gentleman.Kama una amini siku zanzibar itarudi kua dola basi comment make ZANZIBAR great again View attachment 3339346
Hapo mwazo ilikua before the union ilikuajeWatu hamna visogo kichwa kama tenesi mnawezaje kujisimamia? Tulieni
Zanzibar ni nchi huru na sio part ya JAMHURI YA muungano komaaaZanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, itabaki hivyo daima gentleman.
Hakuna haja ya upotoshaji 🐒
Nyinyi Wazanzibari ni kupe tu wa Tanganyika. Kutoka moyoni nikiwa kama raia wa Tanganyika, ninawachukia kutoka moyoni na huu muungano wenu wa kipuuzi wa changu changu, chako changu.Kama una amini siku zanzibar itarudi kua dola basi comment make ZANZIBAR great again View attachment 3339346
Watanganyika itakua ni wadudu ganNyinyi Wazanzibari ni kupe tu wa Tanganyika.
upotoshaji ni utumwa nonsense sana gentleman 🐒Zanzibar ni nchi huru na sio part ya JAMHURI YA muungano komaaa
Ndio wadudu gan hawaMAZAGA
Watu hamna visogo kichwa kama tenesi mnawezaje kujisimamia? Tulienwanaowapa
Mkuu bado mdude hatujampata usitake kutupa kazi mbiliMumchukue na bi kizimkazi wenu, mana anateka na Kuwapoteza watanganyika
upotoshaji ni utumwa nonsense sana gentleman Unaijua historia kamili au unajua ugali na dagaa tu chief
Bila ya Tanganyika na John Okello, mpaka leo na hivyo vichwa vyenu vya flat screen mngekuwa bado mnatawaliwa na Sultan Jamshid.Watanganyika itakua ni wadudu gan
Ayo maneno tuseme sisi mnatunyonya kila kitu embu huon wazanzibar tulivokonda ila uko tanganyika hadi wanaume mna viuno kma m'buyuNyinyi Wazanzibari ni kupe tu wa Tanganyika. Kutoka moyoni nikiwa kama raia wa Tanganyika, ninawachukia kutoka moyoni na huu muungano wenu wa kipuuzi wa changu changu, chako changu.
Huyu nae ana kariri historia nan kasema sultan katawala wazanzibarBila ya Tanganyika na John Okello, mpaka leo na hivyo vichwa vyenu vya flat screen mngekuwa bado mnatawaliwa na Sultan Jamshid.
Nyinyi ni Kupe tu. Mnajifanya hamuutaki muungano, halafu kutwa mmejazana Tanganyika na vichwa vyenu visivyo na kisogo.Ayo maneno tuseme sisi mnatunyonya kila kitu embu huon wazanzibar tulivokonda ila uko tanganyika hadi wanaume mna viuno kma m'buyu
Mwaio unamkua John okello peke katika wana mapinduzi si ndio mkuuBila ya Tanganyika na John Okello, mpaka leo na hivyo vichwa vyenu vya flat screen mngekuwa bado mnatawaliwa na Sultan Jamshid.