Zanzibar yenye Mamlaka Kamili

Zanzibar yenye Mamlaka Kamili

Sawa nimekusoma . Ukweli upo kuhiusu Zanzibar na hata kwanini Leo hii SSH hawezi kabisa kabisa kufanya mchakato WA Zanzibar huru japokuwa yeye NI mzanzibar.siri NI nyingi mno Tangu enzi za Late exile president of Zanzibar aliyetaka kuitoa Zanzibar Kwa muungano .
Samia ni rais ila yupo katika chama ambacho hakina sera hizo mkuu kwaio samia anafata katiba sera na Ilan ya ccm
 
Waislam ndio watu wanajilewa nenda kasome vitabu vya ukolon wa kijeruman vingi vinazungumzia kwamba waislam ni wagumu kuwatawala
Sawa . Waislamu wanajielewa ilaaa NI wabishi Sana . Kuna 100 k hapa nazitaka unaonaje argument yetu ikafanyika PM ? MORE PRIVATE?,😁
 
It's okay ila mwenzako mwanafunzi mchana nakua chuo kwann tusifanya saa2 usiku
No problem. Uko na lecture .ikitokea upo na sup Una NI pm nakusaidia Kwa H.O.D No matter which university you are?ila hapa JF 100 k nazitaka nikaenjoy talatala lounge . Upo ?Now NI PM .
 
Watu hamna visogo kichwa kama tenesi mnawezaje kujisimamia? Tulieni
Jana tu niliwasikia watu wanadai wawekewe misikiti ya kisasa kila mtaa na madrasa kama Arabuni, imagine, mtu hawazi shule eti anataka msikiti na madrasam kama si kufuga majini na ugaidi ni nini?
 
No problem. Uko na lecture .ikitokea upo na sup Una NI pm nakusaidia Kwa H.O.D No matter which university you are?ila hapa JF 100 k nazitaka nikaenjoy talatala lounge . Upo ?Now NI PM .
Sup zipo mana nasoma kitu hakipo moyon mkuu
 
Back
Top Bottom