stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,461
- 15,249
wazee wa urojoWapi urojo
wazee wa urojoWapi urojo
Mimi nipo hapa kujifunza kila comment naipitia mkuu, sijaahidi laki 1 popote.
Mimi ni mwanafunzi nipo hapa, nimwkuwa na shauku ya kujua ushahidi unaoonesha kwamba zanzibar ilikuwa ni sehemu ya tanganyika
Tumewachoka ni hao hao tu, watu tunataka maendeleo mtu anakuja kubwabwaja kuwa anataka misikiti ili iweje, misikiti inatusaidia nini sisi wananchi?Bro jua kutofautisha kati ya waislam na BAKWATA