Zanzibar yenye Mamlaka Kamili

Zanzibar yenye Mamlaka Kamili

Kwa jinsi ambavyo nawachukia hawa ngurue wenye visogo kama kibao cha kusukumia chapati lolote baya liwakute tuu hata kama ni volcano ilipuke iwachome wote kama wadudu sawa tuu
 
Wamemaliza kuuza huku sasa watakuwa nchinkamili insyopokea share huku.
 
Na wewe unataka evidence hivi .100 k napata .Kwa evidence tu? Unataka evidence ya Aina gani tuanzie hapo Kwanza.
Mimi nipo hapa kujifunza kila comment naipitia mkuu, sijaahidi laki 1 popote.

Mimi ni mwanafunzi nipo hapa, nimwkuwa na shauku ya kujua ushahidi unaoonesha kwamba zanzibar ilikuwa ni sehemu ya tanganyika
 
Sawa tuanzie hapa Kwanza . WEWE NI DENI GANI?
Mm sitaki nataka uombe tu samahan apa
Mimi nipo hapa kujifunza kila comment naipitia mkuu, sijaahidi laki 1 popote.

Mimi ni mwanafunzi nipo hapa, nimwkuwa na shauku ya kujua ushahidi unaoonesha kwamba zanzibar ilikuwa ni sehemu ya tanganyika
Hamna ichi kitu tangu dunia iumbe kitu peke nI kwamba kulikuepo na muuingiliano baina ya watu wa zanzibar na Tanganyika tena sio kiivo zanzibar sana ilikua na uhusiano na na sehem za lamu Mombasa
 
Mimi nipo hapa kujifunza kila comment naipitia mkuu, sijaahidi laki 1 popote.

Mimi ni mwanafunzi nipo hapa, nimwkuwa na shauku ya kujua ushahidi unaoonesha kwamba zanzibar ilikuwa ni sehemu ya tanganyika
Sawa nimekusoma . Ukweli upo kuhiusu Zanzibar na hata kwanini Leo hii SSH hawezi kabisa kabisa kufanya mchakato WA Zanzibar huru japokuwa yeye NI mzanzibar.siri NI nyingi mno Tangu enzi za Late exile president of Zanzibar aliyetaka kuitoa Zanzibar Kwa muungano .
 
Back
Top Bottom