Zanzibar yakabidhiwa takwimu za uchimbaji mafuta, gesi

Kwahiyo ndio mana wazanbr wakija na biashara Tanzania bara wanalipa kodi ila Tanzania bara wakipeleka biashara zanbr free
Ndio mana zanzibar mtu akija na gari lake kutembea nalo Tanzania bara wanalipa kodi kubwa ila mkenya,Zambia na nch jirani wanaingia kwa kodi ndogo Kama kwao
Acha urongo
 
Huu muungano ni michosho kweli. Kitu chochote cha Tanzania, Zanzibar anahusika kwasababu Tanzania ni muunganiko wa Zanzibar na Tanganyika. Lakini kitu cha Zanzibar sio lazima kiwe cha Tanzania na Tanganyika haihusiki kabisa. Yaani kifupi Zanzibar wanahaki ya vitu vyote vya Tanganyika lakini Tanganyika(Tanzania bara)haina haki na vitu vya Zanzibar, yaani sielewi maana ya huu muungano.
Muungano wa hovyo kuwahi kutokea duniani..ila ipo siku sio mbali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ziliondolewa wakati wa uongozi wa JK na Karume, waliondoa kinyemela kwani mafuta na gesi yalikuwa miongoni mwa mambo 8 ya muungano na taratibu za kuondoka ni kuridhiwa na theluthi mbili ya binge la jamhuri na Baraza la wawakilishi kitu ambacho hakikufanyika.
Muungano wakimchongo SHERIA mambo ya Muungano kupita au kutopita NI thulithi mbili WA wabunge WA ZANZIBAR wapitishe si thulithi mbili za wabunge wote mumetuburuza Sana tumeamka sasa
 
Sawa Samia hayo ndio mliyopanga mkipata chance tu,mnachanja mbuga kwa mwendo wa swala.

 
Back
Top Bottom