kibwengomfupi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 675
- 674
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kama haitochukua jitihada za haraka kuhakikisha bandari ya zanzibar inaboreshwa ili kutoa huduma kwa haraka itakosa mapato kwa wingi mno, kuna kampuni za meli zimesitisha safari za Zanzibar. Huo Ndio ukweli.
Hapa UK Kulikuwa na kampuni mbili za kusafirisha kontena, moja imekata safari za Zanzibar kwa sababu meli hizo zinapokuja Zanzibar hukaa muda mrefu tofauti na matarajio.
Na hiyo meli iliyobaki imepandisha bei kutoka £2,000 hadi 2,800 kwa 40ft high q.
Pia kontena zimekwama kufika Zanzibar toka mwaka jana, zipo Kenya bado kufika Zanzibar, wafanyabiashara wa UK kawaida kila mwezi hutoa kontena mbili, kutokana na usumbufu wa usafiri na bandari sasa watasafirisha kwa mwaka mtu kontena 3.
Nimefanya mazungumzo ya mmoja wasafirishaji wa biashara akilalamika juu ya biashara zao zilivyokuwa ngumu. Hapo awali kontena ilikuwa ni 4 to 6 weeks kufika Zanzibar sasa ni zaidi ya miezi sita.
Bye bye business Zanzibar, byebye uchumi wa Zanzibar
Bwana chibuu
Tumeyataka wenyewe. Kwa sababu kinachotukwamisha ni kitu kdg tu. mkoloni mweusi ametushika mapumbu na wala hatuachii tupumuue. Naamini znz ikiwa nje ya muungano basi isingekosa msaada au hata mkopo kutoka kwa nchi rafiki kwa znz au hta Benki ye dunia. Halafu CCM znz ndio tatizo , ukiwaona kule bungeni wanashindwa kutetea hoja inapokuja issue ya fursa / haki za kiuchumi kwa znz. wabunge hawa wa CCM wanawaachia wabunge wa ACT wazalendo pekee yao wawasilishe hoja bila ya hta kusaidia. Hata wazanzibari wanapotukanwa na lile senge pevu la sumbwanga yule mwanaharamu asiye na radhi za wazee wake Wallah Wabunge wa CCM huwa wanapiga makofi kwa kufurahia matusi ya shombe lile la kairabu.
Amini Chibuu kama znz itabaki ndani ya muungano bila ya kuwa na sauti na nguvu ya kiuchumu , tutashindwa kuleta maendeleo znz. suluhisho ni moja tu. Tuachwe tupumue na tukipata uhuru huu tufukuze wabunge wote wa ccm Kutoka znz, shenzi zao.