Zanzibar yaenda kuanguka kiuchumi

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kama haitochukua jitihada za haraka kuhakikisha bandari ya zanzibar inaboreshwa ili kutoa huduma kwa haraka itakosa mapato kwa wingi mno, kuna kampuni za meli zimesitisha safari za Zanzibar. Huo Ndio ukweli.

Hapa UK Kulikuwa na kampuni mbili za kusafirisha kontena, moja imekata safari za Zanzibar kwa sababu meli hizo zinapokuja Zanzibar hukaa muda mrefu tofauti na matarajio.

Na hiyo meli iliyobaki imepandisha bei kutoka £2,000 hadi 2,800 kwa 40ft high q.

Pia kontena zimekwama kufika Zanzibar toka mwaka jana, zipo Kenya bado kufika Zanzibar, wafanyabiashara wa UK kawaida kila mwezi hutoa kontena mbili, kutokana na usumbufu wa usafiri na bandari sasa watasafirisha kwa mwaka mtu kontena 3.

Nimefanya mazungumzo ya mmoja wasafirishaji wa biashara akilalamika juu ya biashara zao zilivyokuwa ngumu. Hapo awali kontena ilikuwa ni 4 to 6 weeks kufika Zanzibar sasa ni zaidi ya miezi sita.

Bye bye business Zanzibar, byebye uchumi wa Zanzibar
 
Ni kweli kabisa bandari ya Zanzibar imekufa tayari maana sio inataka kufa bali imeshakufa. Hivi juzi tu hapo siku kuu ya mfunguo mosi hakukuwa na mzigo wa nguo wala viatu vya kutosha sababu contena zimeshindwa kushushwa. Kwa sasa wafanya biashara wanashusha mzigo mombasa (Kenya) baadae ndo utolewe mombasa kuja Zanzibar yaani kiufupi ni usumbufu mkubwa na Serikali imekaa inajadili ni vipi tutaweza kushinda uchaguzi 2020.
 
Yaani Zanzibar inauliwa na wazanzibar wenyewe, saivi unaambiwa jamaa wanapanga ni vipi watapunguza wapiga kura wa upinzani kwa kuwanyima kitambulisho cha mzanzibar mkaazi, wamejidai kurenew ila Lengo ni kuwapa makada wote kwanza kimya kimya na kuwanyima wapinzani ili wajitathmini ni vipi wataweza kushinda uchaguzi jambo ambalo haliwezekani.
 
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kama haitochukua jitihada za haraka kuhakikisha bandari ya zanzibar inaboreshwa ili kutoa huduma kwa haraka itakosa mapato kwa wingi mno, kuna kampuni za meli zimesitisha safari za Zanzibar. Huo Ndio ukweli.

Hapa UK Kulikuwa na kampuni mbili za kusafirisha kontena, moja imekata safari za Zanzibar kwa sababu meli hizo zinapokuja Zanzibar hukaa muda mrefu tofauti na matarajio.

Na hiyo meli iliyobaki imepandisha bei kutoka £2,000 hadi 2,800 kwa 40ft high q.

Pia kontena zimekwama kufika Zanzibar toka mwaka jana, zipo Kenya bado kufika Zanzibar, wafanyabiashara wa UK kawaida kila mwezi hutoa kontena mbili, kutokana na usumbufu wa usafiri na bandari sasa watasafirisha kwa mwaka mtu kontena 3.

Nimefanya mazungumzo ya mmoja wasafirishaji wa biashara akilalamika juu ya biashara zao zilivyokuwa ngumu. Hapo awali kontena ilikuwa ni 4 to 6 weeks kufika Zanzibar sasa ni zaidi ya miezi sita.

Bye bye business Zanzibar, byebye uchumi wa Zanzibar

Koloni la Tanganyika hilo, ni lini koloni lilinyanyuka kiuchumi??😁😁
 
Umeongea vizuri kuhusu tatizo lililopo lakini umeshindwa kutoa ushauri wa nini cha kufanya.

Dr Shein atakuwa huko kwa wiki 3 kwa nini msiongee nae?
 
Ni kweli kabisa bandari ya Zanzibar imekufa tayari maana sio inataka kufa bali imeshakufa. Hivi juzi tu hapo siku kuu ya mfunguo mosi hakukuwa na mzigo wa nguo wala viatu vya kutosha sababu contena zimeshindwa kushushwa. Kwa sasa wafanya biashara wanashusha mzigo mombasa (Kenya) baadae ndo utolewe mombasa kuja Zanzibar yaani kiufupi ni usumbufu mkubwa na Serikali imekaa inajadili ni vipi tutaweza kushinda uchaguzi 2020.
Dah! Kama hicho ndio kipaumbele basi tujitafakari upya
 
Dr shein lazima ajikaze ili kupata uvumbuzi suala la muungano, Ndio vikwazo vya maendeleo ya zanzibar

Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kama haitochukua jitihada za haraka kuhakikisha bandari ya zanzibar inaboreshwa ili kutoa huduma kwa haraka itakosa mapato kwa wingi mno, kuna kampuni za meli zimesitisha safari za Zanzibar. Huo Ndio ukweli.

Hapa UK Kulikuwa na kampuni mbili za kusafirisha kontena, moja imekata safari za Zanzibar kwa sababu meli hizo zinapokuja Zanzibar hukaa muda mrefu tofauti na matarajio.

Na hiyo meli iliyobaki imepandisha bei kutoka £2,000 hadi 2,800 kwa 40ft high q.

Pia kontena zimekwama kufika Zanzibar toka mwaka jana, zipo Kenya bado kufika Zanzibar, wafanyabiashara wa UK kawaida kila mwezi hutoa kontena mbili, kutokana na usumbufu wa usafiri na bandari sasa watasafirisha kwa mwaka mtu kontena 3.

Nimefanya mazungumzo ya mmoja wasafirishaji wa biashara akilalamika juu ya biashara zao zilivyokuwa ngumu. Hapo awali kontena ilikuwa ni 4 to 6 weeks kufika Zanzibar sasa ni zaidi ya miezi sita.

Bye bye business Zanzibar, byebye uchumi wa Zanzibar
Poleni sana kwa yote, but don't worry, be happy, the big brother is there, yupo for you, will bail you out.
P
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom