Hii sio sababu mkuu tatizo ni bandari kuna lile crane moja tu lakushushia makontena na pia hakuna sehem ya kutosha ya kuegesha meli kubwa wanasema eti ukuta ni mbovu ukhanithi mtupu....wanunuzi wa hivyo vitu wengi wapo bara. Huku watu ni dhoful hal unategemea nini?
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kama haitochukua jitihada za haraka kuhakikisha bandari ya zanzibar inaboreshwa ili kutoa huduma kwa haraka itakosa mapato kwa wingi mno, kuna kampuni za meli zimesitisha safari za Zanzibar. Huo Ndio ukweli.
Hapa UK Kulikuwa na kampuni mbili za kusafirisha kontena, moja imekata safari za Zanzibar kwa sababu meli hizo zinapokuja Zanzibar hukaa muda mrefu tofauti na matarajio.
Na hiyo meli iliyobaki imepandisha bei kutoka £2,000 hadi 2,800 kwa 40ft high q.
Pia kontena zimekwama kufika Zanzibar toka mwaka jana, zipo Kenya bado kufika Zanzibar, wafanyabiashara wa UK kawaida kila mwezi hutoa kontena mbili, kutokana na usumbufu wa usafiri na bandari sasa watasafirisha kwa mwaka mtu kontena 3.
Nimefanya mazungumzo ya mmoja wasafirishaji wa biashara akilalamika juu ya biashara zao zilivyokuwa ngumu. Hapo awali kontena ilikuwa ni 4 to 6 weeks kufika Zanzibar sasa ni zaidi ya miezi sita.
Bye bye business Zanzibar, byebye uchumi wa Zanzibar
Umeongea vizuri kuhusu tatizo lililopo lakini umeshindwa kutoa ushauri wa nini cha kufanya.Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kama haitochukua jitihada za haraka kuhakikisha bandari ya zanzibar inaboreshwa ili kutoa huduma kwa haraka itakosa mapato kwa wingi mno, kuna kampuni za meli zimesitisha safari za Zanzibar. Huo Ndio ukweli.
Hapa UK Kulikuwa na kampuni mbili za kusafirisha kontena, moja imekata safari za Zanzibar kwa sababu meli hizo zinapokuja Zanzibar hukaa muda mrefu tofauti na matarajio.
Na hiyo meli iliyobaki imepandisha bei kutoka £2,000 hadi 2,800 kwa 40ft high q.
Pia kontena zimekwama kufika Zanzibar toka mwaka jana, zipo Kenya bado kufika Zanzibar, wafanyabiashara wa UK kawaida kila mwezi hutoa kontena mbili, kutokana na usumbufu wa usafiri na bandari sasa watasafirisha kwa mwaka mtu kontena 3.
Nimefanya mazungumzo ya mmoja wasafirishaji wa biashara akilalamika juu ya biashara zao zilivyokuwa ngumu. Hapo awali kontena ilikuwa ni 4 to 6 weeks kufika Zanzibar sasa ni zaidi ya miezi sita.
Bye bye business Zanzibar, byebye uchumi wa Zanzibar
Umeongea vizuri kuhusu tatizo lililopo lakini umeshindwa kutoa ushauri wa nini cha kufanya.
Dr Shein atakuwa huko kwa wiki 3 kwa nini msiongee nae?
Who are the neo colonists?"Get rid of the cramping neo-colonists crutches" --- that's the first initiative the next are mere decorations. 👁
Dah! Kama hicho ndio kipaumbele basi tujitafakari upyaNi kweli kabisa bandari ya Zanzibar imekufa tayari maana sio inataka kufa bali imeshakufa. Hivi juzi tu hapo siku kuu ya mfunguo mosi hakukuwa na mzigo wa nguo wala viatu vya kutosha sababu contena zimeshindwa kushushwa. Kwa sasa wafanya biashara wanashusha mzigo mombasa (Kenya) baadae ndo utolewe mombasa kuja Zanzibar yaani kiufupi ni usumbufu mkubwa na Serikali imekaa inajadili ni vipi tutaweza kushinda uchaguzi 2020.
Poleni sana kwa yote, but don't worry, be happy, the big brother is there, yupo for you, will bail you out.Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kama haitochukua jitihada za haraka kuhakikisha bandari ya zanzibar inaboreshwa ili kutoa huduma kwa haraka itakosa mapato kwa wingi mno, kuna kampuni za meli zimesitisha safari za Zanzibar. Huo Ndio ukweli.