GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,006
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kama haitochukua jitihada za haraka kuhakikisha bandari ya zanzibar inaboreshwa ili kutoa huduma kwa haraka itakosa mapato kwa wingi mno, kuna kampuni za meli zimesitisha safari za Zanzibar. Huo Ndio ukweli.
Hapa UK Kulikuwa na kampuni mbili za kusafirisha kontena, moja imekata safari za Zanzibar kwa sababu meli hizo zinapokuja Zanzibar hukaa muda mrefu tofauti na matarajio.
Na hiyo meli iliyobaki imepandisha bei kutoka £2,000 hadi 2,800 kwa 40ft high q.
Pia kontena zimekwama kufika Zanzibar toka mwaka jana, zipo Kenya bado kufika Zanzibar, wafanyabiashara wa UK kawaida kila mwezi hutoa kontena mbili, kutokana na usumbufu wa usafiri na bandari sasa watasafirisha kwa mwaka mtu kontena 3.
Nimefanya mazungumzo ya mmoja wasafirishaji wa biashara akilalamika juu ya biashara zao zilivyokuwa ngumu. Hapo awali kontena ilikuwa ni 4 to 6 weeks kufika Zanzibar sasa ni zaidi ya miezi sita.
Bye bye business Zanzibar, byebye uchumi wa Zanzibar