Zanzibar wajiandaa kudai Referendum for Independence + Devolution Max

Zanzibar wajiandaa kudai Referendum for Independence + Devolution Max

Sure.

Nyerere was a disgrace to this nation.

Even though we are all going to die but thanks god for taking his soul away.

Nyerere fell short on many a thing.

But calling him a disgrace is overfastidious if not outrigh facetious.
 
Thats an interesting question to say the least...

Umetuambia Zanzibar wapo raia, wana passport, unamaanisha vipi?

Wana passport za Zanzibar au za Tanzania?

Kama wana passport za Zanzibar zikoje? Kama za Tanzania utawatenganishaje na watu wa bara?

Pia unaelewa kwamba passport si uraia? Ni hati ya kusafiria tu.
 
Sidhani kama ni ishue kubwa sana. Mwenye right ni yule mwenye haki ya kuoiga kura Znz it's that simple.

Ambaye ni nani?

Ali Hassan Mwinyi aliyezaliwa Kisarawe na wazazi kutoka zanzibari kabla ya Mapinduzi ana haki ya kupiga kura Zanzibar au hana?

Kichuguu aliyezaliwa Zanzibar na wazazi wa kutoka bara baada ya Mapinduzi ana haki ya kupiga kura Zanzibar au hana?
 
Karume nae yumo kwenye list wanaoutaka urais wa JMT , balaa la Zanzibar utaliona May 2015 baada ya ccm kupitisha mtu wa bara ....tuombe uzima
Katiba waliyopitisha ni kuwa raisi wa Zanzibar atakuwa mmojawapo wa Makamu wa Rais. Full stop.
 
Cha ajabu ni anayejiita mzee wa speed viwango anaposhirikiana na mzee wa vijisenti na ufisadism kutengeneza katiba ya kuendelea kulikulitafuna taifa, Shame on them and their ccm
 
Ambaye ni nani?

Ali Hassan Mwinyi aliyezaliwa Kisarawe na wazazi kutoka zanzibari kabla ya Mapinduzi ana haki ya kupiga kura Zanzibar au hana?

Kichuguu aliyezaliwa Zanzibar na wazazi wa kutoka bara baada ya Mapinduzi ana haki ya kupiga kura Zanzibar au hana?

Kwa sheria ya Znz huwezi kupata Passport ya kusafiria kama huna au hujathibitisha Uraia wako.

Kama kazaliwa Znz na si mkaazi na wala hana makaazi ya kudumu Znz hana haki ya kupiga kura.

Lakini kitopiga kura hakumvui Kichuguuu uraia wake

Perhaps we can revisit sheria ya kuoiga kura Znz inasemaje?
 
Kwa sheria ya Znz huwezi kupata Passport ya kusafiria kama huna au hujathibitisha Uraia wako.

Uraia wa wapi?

Kama kazaliwa Znz na si mkaazi na wala hana makaazi ya kudumu Znz hana haki ya kupiga kura.

Kwa hiyo uraia si kigezo, na kwa hivyo paspoti ambayo umeitaja kuwa inaendana na uraia si kigezo.

Sasa kigezo cha kupiga kura ni nini?

Lakini kitopiga kura hakumvui Kichuguuu uraia wake

Uraia wa wapi?

Perhaps we can revisit sheria ya kuoiga kura Znz inasemaje?

Unaweza kuwa na sheria isiyo na mantiki vile vile, but that is not a bad place to start.

Swali la kigezo cha kupiga kura halijajibiwa bado.

Umeshasema uraia si kigezo.

Ndugu zetu wenye asili ya bara walioenda kufanya kazi mahotelini Zanzibar, wakazi wa huko, waruhusiwe kupiga kura?

Ikiwa hivyo, kwa kigezo au vigezo gani?
 
Natumai bado ni tetesi ila kama Mchumi naisubiria kwa hamu hiyo dosier kwani zisije kuwa kelele za kisiasa tu. Mie siiungi mkono vipengele vingi vya katiba ila nimefurahi swala la utaifa wa kitanzania kwani Rasimu ya Warioba ilitishia uhai wa Tanzania.

kuna Tanzania,Tanzania Bara na Tanzania visiwani,hili nalo unalizungumziaje???
 
nyie tanganyika mnaponzwa na kitu gani kuingangania zanzibar kiasi icho??? km si njaa na choyo, kama visiwa mnavyo tele, kama bahari mnayo, kama ardhi mnayo, sioni mnachohitaji kutoka zanzibar

Ndo hivyo mkuu njaa ndo inayotusumbua hatutaki mjitenge ili kila aina ya faida mnayotakiwa kuipata kimataifa ianze kwanza kwetu tuichakachue kuanzia misaada nk pia tunapenda kuishi kifalme kuhakikisha kila kiongozi aliyeko kwenye system anakua na matirioni ya pesa yeye na familia yake pia hatupendi kuwajibishwa rejea katiba yetu itakayopitishwa hapo mwakani kwa kila namna namshangaa mwanasheria wenu hana hata akili anataka kuleta zake na zanzibar ni lazima mtaipitisha tu hiyo katiba tutaleta jeshi hukO mtatutambua KIDUMU CHAMA TAWALA
 
Uraia wa wapi?

Kwa hiyo uraia si kigezo, na kwa hivyo paspoti ambayo umeitaja kuwa inaendana na uraia si kigezo.

Sasa kigezo cha kupiga kura ni nini?

Uraia wa wapi?

Unaweza kuwa na sheria isiyo na mantiki vile vile, but that is not a bad place to start.

Swali la kigezo cha kupiga kura halijajibiwa bado.

Umeshasema uraia si kigezo.

Ndugu zetu wenye asili ya bara walioenda kufanya kazi mahotelini Zanzibar, wakazi wa huko, waruhusiwe kupiga kura?

Ikiwa hivyo, kwa kigezo au vigezo gani?

Kiranga,

Spot one my brother ndio maana nikasema mjadala wa referendum nadhani utaanzia mahakamani kuuliza nina ana haki ya kupiga kura zanzibar? Na pili kama kigezo cha mzanzibari ni kitambulisho cha uzanzibari mkaazi je wale wasiokuwa wakaazi lakini wamezaliwa zanzibar unasemaje wao ni raia au siyo?Tatu kuna wabara walio na vitambulisho vya uzanzibari mkaazi lakini sio wazaliwa wa pale na wala hawana wazazi wa pale je nao kwanini wapewe haki ya kuamua mustakabali wa wazanzibari??

Maswali ni magumu haya wajameni!!!
 
Zaidi ya hayo, kwa nini wapiga kura wawe wa upande wa Zanzibar tu? Swali hapa ni kama Zanzibar iendelee kuwepo kwenye muungano au isiwepo.

Swali hili linawahusu hata wa bara.

Muungano unawahusu hata wa bara.

Kwa nini kura wapige wa Zanzibar tu?

Kwa nini wa bara wasipige nao?

In theory, watu wa Zanzibar wanaweza kuukubali muungano lakini wa bara wakaukataa.

Kwa hiyo ni muhimu referendum iwe nchi nzima.

Then una address suala hili na like la nani apige kura. Kwa sababu kura ikiwa kwa watanzania wote walio na miaka 18, then tunaondoa haja ya kuuliza nani Mzanzibari.
 
Hapa naona watu watakuja na mengi lakini siku ya kupiga kura taratibu wataenda kupiga kura ya NDIO.
 
Natumai bado ni tetesi ila kama Mchumi naisubiria kwa hamu hiyo dosier kwani zisije kuwa kelele za kisiasa tu. Mie siiungi mkono vipengele vingi vya katiba ila nimefurahi swala la utaifa wa kitanzania kwani Rasimu ya Warioba ilitishia uhai wa Tanzania.

We vipi! unakua na akili kama za sitta...!! hovyo kabisaaa!!!!
 
Back
Top Bottom