Zanzibar wajiandaa kudai Referendum for Independence + Devolution Max

Zanzibar wajiandaa kudai Referendum for Independence + Devolution Max

Referendum hata iwe ya Wazanzibar peke yao ni kupoteza pesa kwani jibu litakuwa wazi MUUNGANO DAIMA. Hivyo wanataka tutengane wakati umefika wanyamaze. Hawawezi kututenganisha katuuuu. QUOTE=ugwenousangi;10763229]Wakuu habari za ndani kabisa kutoka Visiwani ni kuwa tayari watu wa kule washaanza na Plan B wakati Dodoma bado ngoma mbichi.

Kuna watu wa Intelligentsia (sio inteligensia) ambao wana asili ya Pemba na Unguja (wamo CCM, CUF, waaio na vyama) wanajiita "Zanzibar First " na ni wasomi, wana influence, wana pesa, wako cultured, wako socially aware, wako exposed na dunia inavyokwenda na wana linkages na network na wenzao toka nchi mbali mbali dunian wameandaa "White Paper" au tuseme Blue Print ya future ya Znz na hoja zao kuu mbili ni

1.wapewe referendum for independence ili waamue kama wawe huru au waendelee kuongozwa toka Dar/Dodoma

2. Kura zao zikiwa NO wanataka Znz ipewe kitu kinachoitwa DEVOLUTION MAX ambayo watajotawala kwa kilakitu kasoro DEFENCE na FOREIGN AFFAIRS

White paper yao inaelezea jinsi gani watakavyo jitawala, kiuchumi, kijamii na kisiasa na wamejikita zaidi kwenye uchumi.


Inavyoonekana wanasiasa wote wa CUF na CCM ambao wanakula kuku kwa system iliopo watapata taabu sana kwani hawa jamaaa wamejiandaa kisawa sawa sasa cha kujiuliza je hawa jamaa wanajaribu kuwapindua viongozi walipo au vipi?

Nikipewa rukhsa na aliteninitumia hii doc naweza kuiweka hapa kwa faida ya wote.


Stay tuned...[/QUOTE]
 
Good thread.

Kiranga, et al.

Sijui utaratibu ukoje kwa sababu ZEC website yao inaonekana ni muflis kama za bara but I would imagine the following groups could be entitled to be on the electoral register for the referendum for Zanzibar Independence or Devolution Max as OP stated...


  • Tanzanian citizens who are residents in ZNZ.
  • African or non African citizens resident in ZNZ who are permanently residents in ZNZ
  • JWTZ personnel serving in the TZ or overseas with the armed forces who are registered to vote in ZNZ

  • State personnel serving outside the TZ on diplomatic posts etc who are registered to vote in ZNZ
 
SUPER DREAM
ONE DAY IT MAY BE TRUE
KONGOLE MKUU
NAAMINI BUNGE LA KATIBA LINAWEZA KUSHTAKIWA KWA KUHAKAHUA KURA.
KAMA WANASHERIA MUPO TUPENI MUONGOZO.
AMA KURA YA UHURU IT MAY BE IF Dr Shein say yes.
 
Ndo maana Rais ajae,awe lowasa,membe,pinda wanatakiwa waipe zanzibar uhuru wake.

UKAWA wanachotaka hasa ni kuvunja Muungano, only that! Waambieni waliowatuma mambo yamekuwa magumu na muwarudishie fedha zao!
 
SUPER DREAM
ONE DAY IT MAY BE TRUE
KONGOLE MKUU
NAAMINI BUNGE LA KATIBA LINAWEZA KUSHTAKIWA KWA KUHAKAHUA KURA.
KAMA WANASHERIA MUPO TUPENI MUONGOZO.
AMA KURA YA UHURU IT MAY BE IF Dr Shein say yes.
Mkuu umewahi kusikia hata siku moja Bunge limeshtakiwa? Haya UKAWA mkaaibike tena mahakamani!
 
rayun siyo watanganyika wote tuliuopenda hili litokee,hakuna kitu kizuri kama kuwa na maridhiano kw apande zote mbili.Leo upande mmoja unaamua mustakabali wa nchi ya pili siyo sahihi.Japo tunapenda Muungano lakini tatizo kubwa wabunge wenu wa Zanzibar ndiyo wakuwalaumu na wala si watanganyika.

Unajua kukataa laki 3 kwa siku kwa muda wote waliokaa Dodoma inataka moyo. Tatizo ni umaskini
 
kwa katiba hii Rais wa zenjo ni sawa na waziri huku bara
 
Wazanzibar washashindwa... Kama kutafutana watafutane wenyewe sasa. Wameshapitisha wenyewe...
 
Nyerere sijui aliwapa nini hawa w@emba. , hawataki kuiacha dodoma
 
Kaka mtetezi wa Zanzibar huru,leo baada ya hili la jana unatuambiaje?

Hatuna imani na katiba hatuna imani na muungano, hatuna imani na serikali, hivi ninavyo kuwambia iwe tetesi au sio tetesi, tunasubiri baraza la wakilishi lianze tudai kura ya maoni na tume huru, ikiwa ccm zanzibar watakataa hilo sisi wenye asili ya pemba tutaungamana na wapemba wazee wetu kudai pemba huru, hapo ndipo wataamua kuendelea kuwa moja zanzibar kama kabla ya mapinduzi au kuendelea na muungano wao wa unguja na Dodoma.

Hapo nitafurahi kusikia unguja mkowa kama mafia.
 
Hatuna imani na katiba hatuna imani na muungano, hatuna imani na serikali, hivi ninavyo kuwambia iwe tetesi au sio tetesi, tunasubiri baraza la wakilishi lianze tudai kura ya maoni na tume huru, ikiwa ccm zanzibar watakataa hilo sisi wenye asili ya pemba tutaungamana na wapemba wazee wetu kudai pemba huru, hapo ndipo wataamua kuendelea kuwa moja zanzibar kama kabla ya mapinduzi au kuendelea na muungano wao wa unguja na Dodoma.

Hapo nitafurahi kusikia unguja mkowa kama mafia.

Wajua kuna wengi wetu tuliokuwa tunawategemea sana Wabunge toka Zanzibar kuwa wataitetea Katiba ya Warioba hasa kwa upande wa pili wa kuonyesha namna uongozi bora unatakiwa uhojiwe na wale wanaouweka.

Pili Tulitegemea kutakuwa na MARIDHIANO ili pande zote za MUUNGANO zikubaliane namna ya kuuweka huu MUUNGANO wetu.Nina uhakika hata Wapemba mnaupenda Muungano ila ni namna au aina ya Muungano muutakao.

Bunge letu halikuwa pamoja nasi bali liliungana na UTAWALA wakiwa wengie wao wanasaka UBUNGE kwa njia ya NDIYO isiyo na maslahi kwa Tanzania.
 
Ghibbu
Tatizo liko znz na wa znz wenyewe


Hamuna msimamo
 
Back
Top Bottom