Zanzibar wajiandaa kudai Referendum for Independence + Devolution Max

Zanzibar wajiandaa kudai Referendum for Independence + Devolution Max

Devo Max kuelekea mamlaka kamili ndio habari ya mujini.
 
T2015CCM mi mimesoma zaman ila naomba unitajie nchi ndogo kuliko zote duniani (visiwa) alafu utuambie imeungana na nani na inajiendesha vp?, maana nakuona kabisa kama sio unabambiwa sijui…!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kinachotisha ni kawasaki wenye wasi wasi ni political elites akina Seif ma maswahiba zake waliopo CCM. Inaonekana kuwa kuna kitu kinapikwa na hawa ZNZ first ambacho kinatishia maslahi ya ruling elites na sitoshangaa kama hoi paper imefanyiwa kazi na political attaches wa jamaa wa Langley na Whitehall.

Lakini wakipewa DEVO MAX maana yake ni kuwa ZnZ itakuwa huru by 97% na watakuwa na option ya kujitoa vile vile wakiamua frm defence na foreign affairs
 
Mtoto akifikia umri wa kuoa anaoa na anahamia kwake kuendesha maisha kivyake. Tuwape Zanzibar Uhuru wao kama wanautaka kweli na wana uwezo wa kujitegemea.
 
Najiuliza reaction ya political elites ambao wanafaidi na mfumo uliopo kama akina Maalim seif itakuwaje wakijua watu washawachoka?
 
Jamaa waoga hawawezi thubutu ni kwere tuu! Mtaniambia
 
Tumechoka unafki wa waZnz. Wanajifanya hawapendi muungano ila matendo yao ni tofauti.
 
Upuuzi tupu,Wazanzibar kama ungekuwa unawafahamu wala usingesumbuka nao. Wakishakunywa urojo kinabaki kukata mauno kwenye ngoma za taarabu basi.
 
Upuuzi tupu,Wazanzibar kama ungekuwa unawafahamu wala usingesumbuka nao. Wakishakunywa urojo kinabaki kukata mauno kwenye ngoma za taarabu basi.

huwajui wazanzibar wewe , muulize marehemu karume .
 
Nadhani unafiki una run kwenye DNA yao

Kila kukicha wanalaunu bara jumbe problem iko kwao

shida kubwa ya wazanzibar ni viongozi wa ccm wa TANGANYIKA , KULE KWAO WOTE WANATAKA NCHI YAO , HEBU JARIBU KUISOMA KATIBA YAO , AMBAYO ILIPITISHWA KWA KAULI MOJA NA WAZANZIBAR WOTE , ACHA UVIVU .
 
Mkuu Ugweno Usangi, asante kwa hii, kiukweli siogopeshwi na hatua hii, mabadiliko ya 10 ya katiba ya Zanzibar, yameweke sheria ya referendum, ningeogopa sana kama Zanzibar wangeamua kupiga kura ya YES or No kuhusu muungano!.

Pasco

Pasco Muungano ni Watawala wa Tanganyika ndiyo wanaotaka kuuvunja,sababu kama Katiba ingepigiwa KURA kwa Demokrasia ya kweli basi kusingekuwa na wasiwasi wa kupoteza Muungano na Zanzibar.Ikiwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar amesema HAPANA ina maana kama taasisi ya URAIS Zanzibar imesema hapana kwa KATIBA ya Sitta ni kutokuelewa kwetu tu.Wazanzibar huku wamesema NDIYO walifika kwao hakuna zaidi ya Zanzibar,ndugu zangu CCM msilisheherekee hili ni bomu litakalopasuka siku zijazo.
 
Kama Zanzibar watakuwa wameaua kudai Referendum for Independence + Devolution Max watakuwa wameamutisha njia iliyo sahihi kabisa. Tumeshuhudia Wascottish wakidai kujitenga na Uingereza na hatimaye KURA YA MAONI imeamua mstakabali wa Wascottish.

Ngoja tusubiiri hawa machizi wa CCM kama wtaruhusu mchakato huu uendelee maana huu wa KATIBA MPYA tumeshawatumbukia nyongo!
 
Mimi naunga mkono referrendum free and fair kuhusu Zanzibar.

Kama demokrasia ni utawala wa watu, kwa watu na kwa ajili ya watu, kwa nini watu wasipewe nafasi ya kuamua kama Zanzibar iendelee au isiendelee kuwa katika muungano?

Kwa hiyo kimsingi sina tatizo na referrendum.

Kuna maswali ya msingi yanahitaji kujadikiwa.

Kwa kuwa sasa hatuna uraia wa Zanzibar, Mzanzibari ni nani? Scotland waliamua kwamba yeyote aliyepo Scotland physically aruhusiwe kwa sababu walishindwa kujibu swali hili.

Referrendum ifanywe Zanzibar tu au Tanzania nzima?

Ikifanywa Zanzibar tu, atakayeshiriki na asiyeshiriki watatenganishwa vipi?

Ikifanywa nchi nzima, basis ya decision iwe simple majority? Ya wapi? Ili muungano uendelee uhitaji kupata simple majority kote?
 
Kama wanataka kujitawala sawa,wapewe uhuru wao.nyerere alikosea sana kuimeza zanzibar.

Sure.

Nyerere was a disgrace to this nation.

Even though we are all going to die but thanks god for taking his soul away.
 
shida kubwa ya wazanzibar ni viongozi wa ccm wa TANGANYIKA , KULE KWAO WOTE WANATAKA NCHI YAO , HEBU JARIBU KUISOMA KATIBA YAO , AMBAYO ILIPITISHWA KWA KAULI MOJA NA WAZANZIBAR WOTE , ACHA UVIVU .

Hivi kweli kama wa Znz wanaamua kuwa na ajenda moja ya maslahi ya znz kama walivyofanya wapemba na CUF kuke Pemba kuna wa kuwaambia kitu Dodoma.

Adui wa mzanzibari ni mzanzibari mwenyewe na sio Tanganyika wala CCM bara.

Na waliokwenda Dodoma toka znz wamefanya hivyo kwa kujua hakuna wa kuwaambia kitu kuke Znz. Hawa watu wataishia kuwa maskini na watumwa wa akili.
 
Back
Top Bottom