Zanzibar (Unguja mjini) Mji mchafu kuliko yote Tanzania

Barabara zake hazina mitaro, mjini hapana "dustbin", vituo vya daladala havieleweki, mitaa haijulikani, usafiri chai maharage, mikokoteni ya ng'ombe, baiskeli. Hakuna service road
Kila kitu taflani.
Huo si uchafu ila ni poor town planning!
 
Mkuu, hapa tunawaza kesho hali itakuwaje kwenye BMK wewe unakuja kuchafua hali ya hewa hapa. Tafadhali usitutoe kwenye mada. JF kwa vituko!!!
 
hata uyole mbeya ni pazuri kuliko zanzibar!

Sadakta mbeya ni pazuri maana kila uzushi huanzia huko kuchuna watu ngozi, mjini wa biashara ya vipara, kuzika watu wazima wazima kwa imani za kichawi, una bustani nzuri kuliko ya foro, unaweza tembea wakati wowote bila ya kupigwa roba. yaani ni world heritage mpya badala ya zanzibar stone town
 
unguja ilikuwa safi sana kuliko dubei kbl ya muungano. uchafu wote wa unguja unaletwa na waTanganyika wanaoukuja unguja! teh teh teh
 
Barabara zake hazina mitaro, mjini hapana "dustbin", vituo vya daladala havieleweki, mitaa haijulikani, usafiri chai maharage, mikokoteni ya ng'ombe, baiskeli. Hakuna service road
Kila kitu taflani.

Hapo kwenye bold ulitaka service road ya kutanua? Maana naona miji mingi mengine mikubwa haina service road, ni barabara moja kwa moja tu.
 
Niko mkaazi wa znz..ni mzaliwa wa znz kila ktiu ulichoelezea ni kweli. Nakutaka ubadilishe neo Taflani..na uwandike Tafrani....ukifanya hivyo utakua umesema ukweli...Zanzibar ni Chafu kweli....
 
Sadakta mbeya ni pazuri maana kila uzushi huanzia huko kuchuna watu ngozi, mjini wa biashara ya vipara, kuzika watu wazima wazima kwa imani za kichawi, una bustani nzuri kuliko ya foro, unaweza tembea wakati wowote bila ya kupigwa roba. yaani ni world heritage mpya badala ya zanzibar stone town

na jambo la kuvutia hakuna makapi ya waarabu.
 
Hahaa unguja mji mkongwe aka stone town....daa kweli shida pale, check traffic right zao pale mkunazini huu ni mwaka wa tatu zimekufa na hakuna anae husika labda ze pombe ze magufuli alisemee hilo maana sirikali ya mapinduzi sijui wanatumia barabara zipi hilii wasilione. Acha mkuu wa polisi aendae kule shamba katika hotel ya breezes kwenda fuata makombo ya vyakula na kula yeye mwenyewe na wanao mhusuuuu....yani wakenya wapale mameneja wanawadhaaarau wa zenjibari
...kweli pole yao...na muungano wao....
 
Wakati ule the late Michael Jackson amekuja Dar alikuwa anaziba pua kuashiria jiji letu linanuka nilimuona ana maringo na hastahili, kumbe mimi nilikuwa sijawahi ishi nje ya Dar hivyo zile harufu sikuweza zismell, it was part of ma life. sasa nilipotoka na kuona miji mingine ilivyo misafi na haina harufu, kurudi Dar, duh!!!! nakumbuka sana na sasa nakubali michael jackson was right!
 
Barabara zake hazina mitaro, mjini hapana "dustbin", vituo vya daladala havieleweki, mitaa haijulikani, usafiri chai maharage, mikokoteni ya ng'ombe, baiskeli. Hakuna service road
Kila kitu tafrani.
Usifananishe Unguja na miji yenu ya Tanganyika mbwira wee sisi tunashindana na Dar es salaam tu katika miji ya huko Tanganyika.
 
...nchi jirani hata ikioza haituhusu maana ni wajibu wa rais wao na watu wake...
 
Sehemu yeyote waliokaa Wapemba lazima iwe chafu. Hapa Buguruni, Ilala, Kariakoo kote kuchafu sbb ya wapemba. Mtu mmoja ana watoto 7 na wengine wamezalia hap hapo basi ni rundo la watu kwenye kanyumba kadogoooo
 
kuna documentary moja niliona wazenji hawana utamaduni wa vyoo, wanajisaidia baharini! serious, hii sio uzushi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom