BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Habari wakuu,
Kwa wale ndugu zangu mliopo Zanzibar mnaopenda kitimoto na hamjui pa kukipata sasa suluhisho limefika.
U&I pork company tunafanya door to door delivery kitimoto popote pale ulipo ndani ya Zanzibar.
Tunauza kitimoto kibichi kwa sh. 12,000 kwa kilo na ilirostiwa kwa sh. 17,000 kwa kilo. Kwa wahitaji tuwasiliane inbox tufanye biashara bila kuathiri uhuru wa wenzetu wasiopenda nyama hii.
Karibuni sana ndugu zangu.