Angalia video zilizoko You Tube zinazoonyesha mihadhara ya hao wanajiita uamsho. Hayo matusi ni ya hao wanajiita wazanzibar halisi wakiwatukana watanganyika. Hakika kwa matusi hayo hiyo Zanzibar huru mtaisikia hewani tu. Mnajua wazi kuwa huu muungano ulileletwa na mataifa ya magharibi ila kwa chuki mliyonayo kwa watanganyika mnatukana matusi kama watoto wadogo. Subirini Farujah nyingine inatua Zanzibar soon. Wote mnaopinga muungano ni njaa inawasumbua tu, as if baada ya muungano kufa ndio mtaishi peponi thubutu. You are loosers!.
Kuna taarifa kwamba lipo kanisa limechomwa usiku huu huko Zanzibar.
Angalia hii hapa
Ndio maana nikataka unipe ushahidi wa hilo,
Hawa ni watu wanatoa maoni binafsi, na hii sio kauli ya UAMSHO na ndio maana kila anaanza kuongea anasema "Mimi maoni yangu ni..........."
Umeelewa?
Angalia hii hapa
Zanzibar ni koloni la Tanganyika!
Hali visiwani Zanzibar si shwari. Taarifa tulizopata ni kwamba kumekuwa makabiliano baina ya polisi wa kutuliza ghasia FFU na kikundi cha kihuni kinachojiita Kikundi cha Uamsho. Je hawa wanaojiita Kikundi cha Uamsho wanaotaka muungano uvunjwe wametumwa na nani? Je ni yale yale ya kuigiza yale ya wenzao wa Mombasa Republic Council huko Kenya wanaodai kujitenga ili washirikiane vizuri na mabwana zao wa kiarabu? Leo wazanzibari wanakataa muungano wakidai wajitenge wawe huru. Je na Pemba wakidai kujitenga na Zanzibar huru mambo yatakuwaje? Mbona wenzetu wanashindwa kujifunza toka Comoro? Serikali ya muungano inapaswa kuingilia na kuhakikisha kikundi hiki kinashughulikiwa kwa njia stahiki yaani, kuruhusu wananchi kuujadili muungano. Je ni kwanini serikalil ya Muungano imekuwa kimya kwenye tatizo la muungano au ni ile hali ya serikali husika kushindwa karibu katika kila kitu? Je hiki kikundi kinachoanza kutumia mabavu cha Uamsho kinachofanya ni uamsho au Uangusho?
Dada yangu nimeangalia mwanzo hadi mwisho sijaona hayo matusi unayosema wametukanwa wabara isipokuwa haya yafuatayo ni ukweli:
Kuna Vibaraka wa Tanganyika hapo Zanzibar
Naam ni kweli kuwa Muungano uko kama ukoloni
Watoto wamenajisifa wakati wa uchaguzi.
Yaliyobaki yote ni yanayowahusu Wazanzibari wenyew wanavyoona na wanavyohisi Muungano unavyowatenda.
Na mwisho ni kuwa mna tahadhari tu kuwa siasa inaposhindwa basi uwezekano mkubwa wa kutumika nguvu.
kidumu chama cha mapinduzi
Usiupotoshe umma ndugu yangu, wanaokataa muungano huu feki sio kikundi cha uamsho tu, bali ni waZanzibari wengi kwa umoja wetu.
Uamsho na jumuiya za Kiislamu ni viongozi tu waliolivalia njuga suala hili ambalo kwa muda mrefu tukitegemea vyama vya siasa vitufanyie na vimeshindwa.
Kilichotokezea ni kiongozi mmoja wa Jumuiya ya Maimamu ambaye alikuwapo kwenye muhadhara pamoja na maandamano ya amani, alichukuliwa jioni hii toka msikitini na kupelekwa kituo cha polisi cha madema, polisi wakidai kwa ajili ya kumhoji.
Wafuasi akina sisi tulifika kwa wingi na umoja wetu pale kituoni, na maelfu ya watu tulokuwa pale tukitaka nasi sote waujumuishe kwenye hiyo issue, kwa maana ndio tuliofanya maandamano yake bila kusindikizwa na mtu, bali uzalendo na uchungu tu tulionao wa Zanzibar yetu. Hapo ndio polisi wakaamua kututawanya kwa mabomu ya machozi na risasi za moto hewani. Lakini hadi muda huu niandikapo hapa, bado tupo kwa umoja wetu na tunazidi kufurika hapa pahala.
Hatutasita na harakati zetu hadi Zanzibar yetu imerudi mikononi mwetu na siyo koloni la Tanganyika. Wengi wanotwita koloni letu, tumetawaliwa tunakubali kwa sasa, ila muda si mrefu tutajikombowa!!
Huyu Mungu wao jamani natia mashaka hivi kwa kauli zao ya Kaisari na Mungu ni yapi?
Hakuna aliko kojoa mwarabu penye amani!, mkojo wake una virusi vinavyoshambulia sehemu kubwa ya ubongo unaofanya kazi ya kutafakari.
Hebu jiulize we shabiki wa kuvunja:
TULIZA HASIRA, TAFAKARI KWA KINA
- Njia zoooote za kuvunja kwa amani zimeshindikana?,
- Kama kweli wazanzibar walio wengi hamtaki muungano, mmeshindwa nini kumwambia Shein na Maalim walisimamie hili kwenye katiba ijayo?
- Je, hatuwezi kuurekebisha muungano ukawa wa manufaa badala ya kuuvunja?, huoni kwamba unatumiwa na watu wenye uchu wa madaraka bila we kujijua, ambao watakutupa kama toilet paper au condom?
- Ndugu tafakari, kabla ya Maalim na kundi zima la CUF kuingia serikalini ulikua unapigania nini?, si umekipata? wamekusaidia kutatua matatizo uliyokua nayo? Huoni kama wamekutumia na wamekutupa?
- Ulishaambiwa akili za kuambiwa changanya na zako, usikubali kutumiwa na mtu yeyote kwa maslahi yake binafsi. awe mwanasiasa au kiongozi wa dini (kumbuka viongozi wa dini kazi yao ni kupambana na shetani, si vinginevyo).
- Tuliungana kwa sherehe na vigeregere, nadhani ni vizuri tukaachana bila ngeu wala makovu.
Watch this video uploaded in You Tube in 2007, recorded from ABC News showing child abduction by Uamsho group in Zanzibar.
THIS IS BIG FAKEN LIES PROPAGANDA VIDEO TO AGAINST MUSLIM AROUND THE WORLD