Zanzibar ni Non secular state?

kwan kwa kuuzwa wabara kwa mabwana zenu wa uislam huo ni ubinadam, chunguza dini yako kabla hujaifanya kuwa kila kitu kwako.
 
Kwa takwimu zipi?
Angalia hata wingi wa misikiti na makanisa, wingi wa watu ktk siku zenu za sikukuu na za ukristo.. hakuna kitu nakuchikia duniani kama kuishi kwa kutumikishwa kiimani kwa dini zinazowapa maslahi waupe, upuuzi mtupu!!
 
kwan kwa kuuzwa wabara kwa mabwana zenu wa uislam huo ni ubinadam, chunguza dini yako kabla hujaifanya kuwa kila kitu kwako.
Mkuu najenga hoja kwamba Wazanzibar baba zao hawajauzwa kuwa watumwa kama ulivyodai. Hili la ubinadamu unalisema wewe baada ya kukoda hoja. Mimi nimejibu ulichoandika. Jaribu kuwa sober unapoandika. JF the home of great thinkers.
 
Kama kweli pepo ipo, siku ya kihama nikamkuta muislam yeyote peponi walahi nitaomba nichomwe motto tu, maana hakuna maana halisi ya neno pepo lenyewe.

Ahsante kwa mda wako na kwa kheri.
 
Angalia hata wingi wa misikiti na makanisa, wingi wa watu ktk siku zenu za sikukuu na za ukristo.. hakuna kitu nakuchikia duniani kama kuishi kwa kutumikishwa kiimani kwa dini zinazowapa maslahi waupe, upuuzi mtupu!!
Wingi wa nyumba za ibada hautoi yakwimu ya idadi ya waumini na badala yake unatoa takwimu ya idsdi ya hayo majeno. Majengo na idadi ya waumini ni vitu viwili tofauti. Hivyo mimi nataka ushahidi wa wingi wa waumini kwa mlinganisho.
 
Utaongeza majengo ilihali hakuna waumini, naona kizaa ktk kufkiri kwako!!
 
Kama kweli pepo ipo, siku ya kihama nikamkuta muislam yeyote peponi walahi nitaomba nichomwe motto tu, maana hakuna maana halisi ya neno pepo lenyewe.

Ahsante kwa mda wako na kwa kheri.
Hili la pepo na moto linakujaje? Lina uhusiano wowote na hoja ya utumws? Kuishi kwingi ni kuona mengi
 
Inafika wakati hata kwako ili upike itakubidi ufunge milango na uhakikishe haukaangi maana vyakula vikinukia tu wananchi hao wamekuvamia.
Umefikia huo wakati?
 
ongezea swali

Hivi kule ni kufunga au ni kushinda njaa mchana kutwa na kula usiku kucha
 
Sasa haupo Zanzibar ila unatoa ushauri kwa kitu ambacho unaelezwa na watu waliopo au waliwahi kuwepo Zanznibar
 
Nimeishi huko sehemu za kula utakavyo kipindi hiki ni kwenye makambi ya jeshi. Eneo la Dunga Ubago unajilia tu kule sheria za kipuuzi kama hizo hakuna
Sehemu zipo nyingi tuu, hata pale barabara ya mkapa kuna kambi ya jeshi akitaka anakula,
Pia akiona site ya ujenzi aende atapata msosi

Nimeishi Znz miaka kadhaa kipindi cha mfungo ni kweli sehemu za kula ni chache,
 
Hebu nipe hiyo mifano ya nchi yenye Wakristo wengi, ambayo inalazimisha Waislam kusitisha shughuli zao za kiuchumi kwa mwezi mzima au zaidi kwa ajili ya utaratibu tu wa Dini yao
 
Sio kweli kma ukipika kkmya kimya wakiskia harufu tu wanakuvamia ,

Wanalopinga ni kula hadharani kwan kuna watoto wadogo ambao funga haijawalazimu wanapikiwa na kula kama kawaida
 
Hebu nipe hiyo mifano ya nchi yenye Wakristo wengi, ambayo inalazimisha Waislam kusitisha shughuli zao za kiuchumi kwa mwezi mzima au zaidi kwa ajili ya utaratibu tu wa Dini yao
Duh yani kukueleza kote bado unarudia palepale tu!!!

Nimeshaeleza hadi kwamba hata kama serikali isingetangaza bado kuna biashara nyingi tu wenyewe wangefunga bila hata serikali kusema na nikasema hata huku bara kuna biashara nyingi tu za chakula wenyewe wanaacha kuuza mchana wa mwezi wa ramadhani bila kulazimishwa na yeyote,ila wewe umekazania kulazimisha na haoni kuwa hadi serikali imeweza kufanya hivyo(japo sio nchi ya kiislamu) kutokana na jamii yenyewe ilivyo. Kitu ambacho huku bara hakiwezekani kanisa ila huko zanzibar kuna hadi vijana hufikia kupiga watu bakora wanaokula mchana wa mwezi wa ramadhani.

Na chengine serikali haijalazimisha mtu kufunga bali inazuia watu kula hadharani mchana wa mwezi wa ramadhani. Sasa hapa tu hujanielewa na ndiyo maana unataka et nikutajie nchi yenye wakristo wengi yenye kulazimisha waislamu.
 
Wabara ndo waliuzwa kwani walionekana wao ndo wanaweza kufanya kazi nzito na ngumu sna

Hadi kuna kamsemo kapo hadi leo ila nikikitamka hapa nitaambiwa mbaguzi bora niache maana mwenyewe naishi bara ingawa ni mzanzibar fyoko kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…