Zanzibar ni Non secular state?

Zanzibar ni Non secular state?

Mkuu hivo ni vitu viwili tafauti. Kumpa uhuru mgeni nyumbani kwako na kumpa uhuru mwananchi wako nchini kwake. hata akiwa na imani ya kigeni lakini anabaki kuwa mwananchi wako, na anahaki zake kama mwananchi. Mgeni sio lazima kukuwepo kwako. Nandio mana atatakiwa afate taratibu zako kama haziwezi anaweza ondoka tu.
Kwa hiyo unaunga mkono wakimbizi Waislam kupigwa marufuku kuvaa hijab na kujenga misikiti kwenye nchi wanazokimbilia?
Kuna wazungu wenye misimamo mikali wanasema Uislam hauendani na Ulaya kabisa na wakimbizi wa Kiislam wasipokelewe, je unaungana mkono na hao wazungu?
 
Mbona Hapana tatizo juu ya hilo, Ila tu waache kujinadi kama wao wana haki za binadamu na wana uhuru wa kuabudu.
 
Uhuru wa kuabudu ni ujinga, maana wanaoongoza kwa kudai huo uhuru ndio hao wanaoongoza kuukandamiza wakiwa nchi zao
 
Kua wao wanakandazima hiyo ni kesi nyengine, Lakini mazali wao wamepewa fursa kwanini wasiitumie?
 
Hayo mambo ya uhuru wa kuabudu kwa wageni Waislam hayaungwi mkono na wananchi wengi kwa sababu ya Waislam ni wakandamizaji wa imani nyingine wakiwa kwao.
Ndio maana Ulaya sasa hivi wameanza kupigia kura vyama ambavyo vina msimamo mkali dhidi ya wahamiaji
 
Hiyo sio hoja kabisa, Huwezi mnyima mtu sadaka eti kwakua yeye hatoi. Hilo sikatika principle za sadaka kwa Imani yoyote ile.
Wao kama walishajieka principle hizo walitakiwa wazifate tu mbona wanazipindisha?
TAtizo kubwa ni kua wanachuki na Uislamu kwa kua ni maadui zao na ndio mana hawawezi au hawataki kuona athari zao ndani ya mazingira yao. Sasa hilo linawatofautishaje nahizo nchi za kiislamu unazozishutumu?
 
Uislsm inaonekana ni Dini ambayo haina uvumilivu kwa imani nyingine, wanaona wakiwakaribisha kwenye nchi zao wataanza ku demand wafuate njia zao badala ya wao ku adapt, so njia ni kuwakataa kabisa

Wewe unasema wanachuki na Uislam, kwa nini mtu awe na chuki na Uislam kana Uislam hauna tatizo?

Maana Wahindu wana matatizo na Waislam, Wa Buddha wana matatizo na Waislam, Wakristo, Wapagani wana matatizo na Waislam, hata Waislam wana matatizo na Waislam wenzao, wewe huoni Uislam una matatizo mahali?
 
Kama wao wanawakataa kabisa waislamu, wao wanakwenda kufanya nini kwenye nchi za kiislamu? Fitna zote nu vurugu ndani ya nchi za kiislamau zinatokana na nchi magharibi Afghanista, Irag, Yemen, Syria, Libya, Egypt Kwanini wanalazimisha kuingiza influence zao kwenye nchi za watu?

Penye haki lazima wengi wawe na matatizo napo. Uislamu ndio dini iliyokamilika, na hizo dini zote unazoziona zinabomolewa kwa hoja sana waislamu. Hilo litakua ni gumu kwako kuamini na sikulaumu kwa hilo kutoka na mazingira yako. Lakini ungeanza kujiuliza hivi kwanini nchi zote ambazo zina population ndogo ya waislamu au hata pakiwa na uwiano lakini waislamu wakawa hawana nguvu kwenye dola kwanini waislamu wanaonewa? kwanini waislamu wanyanyaswa? hivi huwa hamuoni? mbona akifanya muislamu tu mnakua na maneno mwengi na hasira?

Yanayowakuta waislamu wa China ule ni ubinaadamu? Myanmar nako uliyasikia? Waislamu wa India wanaishi katika mazingira magumu sana mbona hawatetewi na Ulimwengu? Palestina nako je? hamuhisi kama hawa wanaonewa? Lakini eti Waislamu kwenye nchi yao wakipanga taratibu zao nyinyi yanakuumeni?
 
Dini ni ujinga tu, ila huwezi kuuona huo ujinga sababu umekuathiri tangia udogoni

Asilimia kubwa Waislam wanavurugana wenyewe sababu nchi zao hazina demokrasia, ni maandamano, mapinduzi na kuuwana kila mara
Mfano Syria, Yemen, Sudan ilibaki kidogo tu ni vita, Misri kulikua na dikteta akapinduliwa kaingia dikteta mwingine, hata Zanzibar kama sio bara ungekuta wameshapinduana tena
Mnavurugana mnakimbilia nchi za watu, kisha mna demand kuweka utaratibu wenu
 
Na upagani si uerevu mkuu.

Bado umeshindwa kutoa sababu kwanini wa magharibi wayaingile mataifa ya kiislamu kama wao hawawataki? Hivi hujui kama huyo dikteta aliyeko sasa Misri ameingia pale kwa nguvu za wamagharibi? na vyombo vya habari vya magharibi nndivo vilovyotumika kuamnisha ulimwengu kama alikua Yupo kwenye haki. Hivi hujui U.S ndie anaewasport na kuwapa silaha waasi wa serekali ya Syria?

Matatizo yote ya Zanzibar yanatokana na Bara. Na Hayo mapinduzi yalipangwa bara. na yanaendlea kufanyika kila baada ya miaka mitano kwenye chaguzi.
 
Mtu wa lawama huwa haoni makosa yake
 
Naona hoja anazikimbia
Wewe unaongozwa na mahaba ya Dini yako huwezi kuona reason
Huwezi kuona Waislam ni watu wa ajabu wanaobagua watu kwenye nchi zao wakiwa wengi kwa kigezo cha utamaduni, huku wao wakienda nchi za watu wanadai haki za kuabudu, huwezi kuona hili kwa sababu umekulia kwenye uislam

So unaendeshwa na hisia tu kuwa Waislam wanaonewa ila huwezi kuona Waislam wanapoonea wengine
 
Je Wewe huendeshwi kwa hisia za chuki ulizolishwa?

Point kuu unaikimbia mkuu
 
No, mimi sina chuki
Mimi napenda binadamu wote tuishi kwa pamoja, na hata kama tuna imani au tamaduni tofauti kila mmoja anaweza kumvumilia na kumheshimu mwenzake

Hii pointi ya chuki ndio kimbilio la Waislam kila wanapokosolewa, ila kwa mtu neutral ataona Waislam ndio wenye chuki kwa wasio Waislam
Mifano ipo mingi kuanzia hapo Zanzibar, Misri, Sudan, Morocco, Saudi hadi Pakistan,ambako ukiwa tofauti na imani ya Kiislam utanyimwa haki nyingi za raia, kunyanyaswa na hata kuuawa
 
Back
Top Bottom