Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

Yes jeshi as jeshi ni moja, wale ni migambo
Hivyo rais wa Zanzibar ni amir jeshi wa migambo ya Zanzibar ya KMKM, JKU na vikosi vya SMZ.
P
Naomba kufahamishwa,
Km Rais wa Zanzibar ndie Kamanda Mkuu wa vikosi vya Zanzibar km KMKM,JKU,SMZ;
1.Je kuitwa vikosi sio kwamba ni majina tu kama kuitwa majeshi,pia vipi kuhusu mafunzo yaoyanatofauti ganina majeshi yetu,
2.Je huyo Kamanda Mkuu si ni sawa na amri jeshi katika vikosi vyake?
pia anauwezo wa kutoa oda yeyote na vikatekeleza ?
3.Je Rais wa JMT ambae ndie amri jeshi ana uwezo wa kutoa ida kwa vikosi vya Zanzibar na wakat huo vina Kamanda Mkuu ambae ni Rais wa Zanzibar
 
Naomba kufahamishwa,
Km Rais wa Zanzibar ndie Kamanda Mkuu wa vikosi vya Zanzibar km KMKM,JKU,SMZ;
1.Je kuitwa vikosi sio kwamba ni majina tu kama kuitwa majeshi,pia vipi kuhusu mafunzo yaoyanatofauti ganina majeshi yetu,
Ni majina tuu, lakini mafunzo ya kijeshi ni sawa kabisa!, tofauti ni utambuzi na mamlaka tuu, kama ilivyo kwa Rais Samia na rais Mwinyi wote ni marais sawa kabisa, ila wana utambuzi tofauti na mamlaka tofauti, mmoja ni rais wa nchi mwingine ni rais wa eneo, hata wewe mandomc nyumbani kwako, unaweza kupaita jamhuri ya mandomc, ndani kwako ukapandisha bendera, wiombo, ukajiita rais wa mandomc, ukabandika picha yako ukutani, utakuwa ni rais kweli wa mandomc, mlizi wako ukamuita ni jeshi la mandomc na wewe ni amiri jeshi mkuu wake, vyote hivi vitakuwa ni kweli ila tofauti ni utambuzi na mamlaka.
2.Je huyo Kamanda Mkuu si ni sawa na amri jeshi katika vikosi vyake?
pia anauwezo wa kutoa oda yeyote na vikatekeleza ?
yes ni amori jeshi mkuu wa vikosi hivyo viko chini yake, akitoa amri vinatekeleza.
3.Je Rais wa JMT ambae ndie amri jeshi ana uwezo wa kutoa oder kwa vikosi vya Zanzibar na wakat huo vina Kamanda Mkuu ambae ni Rais wa Zanzibar
Rais wa JMT ni amiri jeshi wa jeshi la JMT, hawezi kutoa order kwa hao migambo wa Zanzibar, kwasababu jeshi la JMT liko kote!.
P
 
Unaambiwa na Pengo , uulinde Muungano uliowekwa na mungu wenu

Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu​

- May 02, 2016

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
Unaona sasa ulivyo punguani propaganda za ccm kutugawa(kidini)zilivyoathiri moyo na akili yako.
 
Yaani gavana ndiye Pengo ? Kweli wewe una akili nyingi
Pengo anahusikaje kwenye hili yani wewe tangu Cuf ife hasira zako umeziamishia kwenye Muungano na hivi mmejiunga na tawi la ccm linaloongozwa na Zitto Kazi mnayo najua mpasuko lazima utokee japo utazimwa na dola maana waliohama Cuf hawapendi huu muungano na Ccm na Zitto hawatakubali issue ya muungano iwe agenda maana Zitto anahofia kungolewa kwenye cheo chake cha Mkuu wa chama na ccm-dola kwa sababu Zitto ana makubaliano ya kufifisha upinzani na atalindwa kwenye hicho cheo chake endapo Act Cuf wataanzisha harakati za kumng'oa maana wanajua kikwazo namba moja ni Zitto na ili wayafikie
malengo yao ya kudai Muungano uvunjwe ni lazima wamngoe Zitto ila kwa sasa wanajipanga, na Act ili kiwe chama cha upinzani kweli ni lazima Zitto aondoke kitu ambacho ccm hawatakubali kuona mtu wao akingolewa kwa kuwa wanajua Zitto akiondolewa Act Cuf itarudi kwa mlango wa Act na harakati zao za kudai Muungano zitaanza na kikwazo ni Zitto kwa hiyo kuna Kazi kubwa kumng'oa Zitto iwe kwenye chama au cheo cha Mkuu wa chama alichojificha ila itategemea namna atakavyoathiri maslahi ya ccm-dola kwenye makubaliano yao kwa hiyo waliohamia Act kutoka Cuf mjipange kwelikweli.
 
Ukisimama upande wa Zanzibar ukatazama Tanzania Bara, Zanzibar ni nchi huru

Lkn ukisimama Tanzania Bara ukaangalia Zanzibar, Zanzibar ni sehemu ya Tanzania ma sio nchi huru. Hili utaliangalia kupitia katiba za nchi hizi mbili

Lkn pia Kwa upande mwingine Zanzibar ni huru kwasbb imeamua kuungana na Tanzania Bara katika baadhi tu ya mambo, na ndio Maana tuna mambo ya Muungano yanayotuhusu wote na Tuna mambo yasiyo ya muuungano .Haya ambayo yasiyo ya Muungano yana sheria zake Kwa upande wa Zanzibar lkn Kwa upande wa Bara (Tanganyika)kuna Sheria Ya Muungano Kwa Maana zinazotuhusi wote. Hapa ndipo unapoweza kugundua kuwa Bara (Tanganyika)imevishwa koti la Tanzania lkn Zanzibar imebaki yenyewe kama Zanzibar

Infact no Common Answer kutokana na namna nchi hizi zilivyoungana,ila inategemea tu unataka kuelezea jambo lipi
 
Pengo anahusikaje kwenye hili yani wewe tangu Cuf ife hasira zako umeziamishia kwenye Muungano na hivi mmejiunga na tawi la ccm linaloongozwa na Zitto Kazi mnayo najua mpasuko lazima utokee japo utazimwa na dola maana waliohama Cuf hawapendi huu muungano na Ccm na Zitto hawatakubali issue ya muungano iwe agenda maana Zitto anahofia kungolewa kwenye cheo chake cha Mkuu wa chama na ccm-dola kwa sababu Zitto ana makubaliano ya kufifisha upinzani na atalindwa kwenye hicho cheo chake endapo Act Cuf wataanzisha harakati za kumng'oa maana wanajua kikwazo namba moja ni Zitto na ili wayafikie
malengo yao ya kudai Muungano uvunjwe ni lazima wamngoe Zitto ila kwa sasa wanajipanga, na Act ili kiwe chama cha upinzani kweli ni lazima Zitto aondoke kitu ambacho ccm hawatakubali kuona mtu wao akingolewa kwa kuwa wanajua Zitto akiondolewa Act Cuf itarudi kwa mlango wa Act na harakati zao za kudai Muungano zitaanza na kikwazo ni Zitto kwa hiyo kuna Kazi kubwa kumng'oa Zitto iwe kwenye chama au cheo cha Mkuu wa chama alichojificha ila itategemea namna atakavyoathiri maslahi ya ccm-dola kwenye makubaliano yao kwa hiyo waliohamia Act kutoka Cuf mjipange kwelikweli.
Yaani gavana ndiye Pengo ? Kweli wewe una akili nyingi
 
Mkuu sijui mm nilikuwa wapi sijaona bandiko lako huwa nikiona koment yako mahali popote Happ jf nafurahi mno na Kisha natulia kukufatiliza wew unasemaje au unamuelekeo gani hvyo nakuaminigi Sana chochote usemacho ,wee Ni member mmoja wapo nakukubali Sana Sana na sijui kwanin ??nitatatafuta siku moja nikione live live mnk navutiwa Sana na wew. Hapa ktk jamvi

Embu ona elimu uliyoshusha Happ jamvini kwa koment yako mmoja tu na nzito na kumfunika Hadi mleta mada

We w nadhani ccm ccm wakutumie vzr kwenye ishu hi ya muungano Kuna kitu ,vitu unavijuwa kwa uelewa mpana Sana

Happ awali nilidhani muungano ni muhimu kwetu cc kumbee unatunyonya cc watanganyika Ni kheri kubakia na jina bovu la tanganyika kuliko upuuzi huu wa Sasa HV

Ubarikiwe Sana mkuu kwa elimu ya bure uliyo nipa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu nashukuru sana, tuendelee kufanya kazi kwa bidii.
 
Siyo msimamo wangu. Ni msimamo wa Sheria za Tanzania na zile za Kimataifa. Rejea pia case ya Machano Hamis Machano iliyoamuliwa na Mahakama ya Rufaa ya Tanzania
Kwahiyo leo tusipokuwa na kiti kule UN basi hatuwi taifa au dola ?
 
Zanzibar ni nchi Kwa mujibu wa Katiba ya zanzibar
Screenshot_20221230-170221_1.jpg

Screenshot_20221230-170211_1.jpg
 
Ni kweli Zanzinzibar ni nchi kwa Katiba ya huko huko ila kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Zanzinzibar sio nchi ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hiyo sheria inayoitambua Zanzinzibar ni nchi kwa Katiba ya Jamhuri ni batili.
 
Back
Top Bottom